True kiukwel majority tupo na putin urusi ni kama style ya mayele usipoipiga hadharani utaitest hata ukiwa mwenyewe bafuniTanzania tumekataa kusapoti upande wowote, tunaogopa kukosa misaada. Ila tupo na urusi.
Kama jana na mpaka sasa huko twitter na reddit, wanasema waache ku share picha za mashambulizi wanayofanya Russia in realtime kwamba itasaidia Russia kufanya correction ya mashambulizi😂😂😂.Aisee hapo ni zaidi ya kulogwa....yaani watu hawashangai wala kujiuliza kuwa hivi inakuwaje media kama BBC, Aljazeera, Skynews, na CNN hawazungumzi lolote kuhusu operations za kijeshi za Russia? Yaani kutwa wanazxungumzia kubomolewa kwa majengo na kinachodaiwa kuwa ni hospitali na theatre na vifo vya watoto na wazee...hawazungumzii kabisa madhara ambayo jeshi la Ukraine wanapata...ninachofahamu mimi hivi sasa jeshi la Ukraine liliokuwa huko Donebass limezingirwa yaani mbele yao kuna majeshi ya majimbo yale yaliyojitenga halafu nyuma yao kuna majeshi ya Russia yanatokea Mariupol na Kharkiv....Jeshi kubwa la Ukraine linakaribia kuzingirwa huko...Lakini hizi habari mbaya kwa ukraine huwezi kuzipata..media za ajabu kabisa...hakuna objective reporting kwa vyombo vya habari vya magharibi'
Huyo jamaa bana[emoji23][emoji23][emoji23]SASA HII NI KALI YA MWAKA
Wanatumia Udikteta hadi kwenye Vyombo vya Habari Ila Mrusi Bado Yupo sana TuKama jana na mpaka sasa huko twitter na reddit, wanasema waache ku share picha za mashambulizi wanayofanya Russia in realtime kwamba itasaidia Russia kufanya correction ya mashambulizi😂😂😂.
Hivi Russia iliyorusha satellite 1950's , haijui inapopiga?
Issue ni kwamba wakazi zile picha zina dis appoint sana Ukranian Nationalists na serikali kuona advancement ya Russia hizo zingine ni porojo.
Kiufupi mwambie huyo mbwana mdogo Urusi kama dunia tunaihitaji kuliko wanavyotuhitaji sisiNaomba nikuweke sawa mdogo wangu ujifunze na sio kupaniki wala kutukana. Vikwazo ni vibaya kwa nchi kama Africa ambazo bado hatuko industrialized tunadepend everything kutoka kwao ndomana tunakua waoga mbele yao. Ndomana nchi kama Zimbabwe iliathirika sana Russia vikwazo havijaanza jana hawa jamaa wana pambana na vikwazo toka muda.
Nchi kama Russia wanateknolojia ya kila aina usicompare na hao uliowataja kabisa ni kama unamtukana Russia. Russia exports > imports na ukiangalia vitu anavyo import vingi ni luxury tu ambavyo havina impact kubwa.
Unampa sanctions Russia ambaye anategemewa duniani? Huon impact tuliyoanza kuona ndani ya mwezi mambo ni haya je tukifika 3months? Unafikir hali itakuaje? Haohao waliompa sanctions sahv wanapingana kwa maamuzi waliyochukua hio kitu hata wao inawaathiri embu fanya research angalia jinsi inflation ilivyopanda kwa kasi Europe na nchi za africa imeanza kupanda pia.
Ni sawa na serikali impatie sanctions AZAM unafikir hali itakuaje nchini?? Hata kama tuta adapt itachukua muda sana kufikia level hio ndo economics nimekupa simple example ili uelewe utoe ujinga kichwani kwako.
Usichukulie uchumi juu juu tu sawa dogo tumia logic kufikilia mambo achana na propaganda Russia ni Taifa muhimu sana kwenye uchumi wa dunia. Naomba niishie hapa nadhan umepata concept kidgo
Russia sio Zimbabwe sio Venezuela hao ni next level, na biashara watafanya kama kawaida na maisha yatakwenda.
Objectives za Russia kwenye hii Operation ni hizo hizo walizotaja Warusi wenyewe. Mimi na wewe hatuwezi kuwanazo tofauti na za kwao.Objective ya Urusi ni nini? Naomba ihusishe na hizo goli tano na ushindi unaouzungumzia. Huenda objective unazozijua si ninazozijua. Sasa tusipokubaliana kwenye hizo objective hatutafika mwisho.
Na Ukraine 🇺🇦Mungu Ibariki Urusi
Wao wenyewe wamagharibi wanasema S-500 ni kiboko, stealth aircraft hazikatizi, zinanaswa kiwepesi kabisa...zitakuwa stealth kwa yale ma-vyuma chakavu ya USA+NATO (kina Patriot PAC-3, THAAD na shoga zao).Russia ni kama maji lazima uinywe tu[emoji28]. Sahv wanakubali S-400 ni mashine si kuna watu walikua wanaiponda humu ndani? Sasa hio S 500 itakuaje??
Anachofanya Amerca anataka mgombanisha Russia na Turkey hana lolote.
Mshaurini USA atie maguu Ukraine, mbona simple tu.Mshauri Vladimir atie mguu NATO - thubutu anajua vizuri kiama. Vamia mmoja umevamia wote- 30 member states blaza.
Angekuwa anajali uchumi wake asingeshinikiza vikwazo kwa Russia, kiasi kwamba hata yeye ameathirika na hivyo vikwazo.USA bado anatafakari ataingiaje ukraine kuipa sapoti ya kijeshi ya moja kwa moja ukraine kitu kinachomuumiza kichwa ni matumizi ya silaha za nyuklia endapo russia akitumia ila kuipiga ana uhakika ataipiga moscow ila kwa usaidizi wa NATO,wadau kumbukeni vita hata ukishinda kumbuka na ww lazima upate madhara ila hayatafanana na mpinzani wako yeye la lazima aumie zaidi ila wewe kidogo lakini kumbuka USA mpinzani wake wa kiuchumi ambae ni CHINA kumbuka yeye ni kama ametega anasubiri USA adondoke kiuchumi yeye apande , kwa hiyo wadau watu wasilaumu USA ni mdhaifu kuingia vitani ukraine, Yeye anataka kutumia akili ili apate njia ipi ni bora na urahisi kuingia vitani ukraine bila kupata madhara ya kiuchumi nchini kwake,ndo mana ameanza na vikwazo vikubwa vya kiuchumi ,Ila kwa akili za putini yeye ni kama hajali uchumi wa nchi yake na usalama wake yeye anawaza vita..
Wao wenyewe wamagharibi wanasema S-500 ni kiboko, stealth aircraft hazikatizi, zinanaswa kiwepesi kabisa...zitakuwa stealth kwa yale ma-vyuma chakavu ya USA+NATO (kina Patriot PAC-3, THAAD na shoga zako).
S-500 yadungua hata yale masetilaiti yao waliyoyajaza angani hayafanyi lolote la maana zaidi ya kutupunguzia hewa ya oxygen [emoji56][emoji56][emoji56]
View attachment 2165925
Umemsahau na mwamba PUT IN abarikiwe aiseeMungu Ibariki Urusi