Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hawa watu shule hawataki, na kusoma hawataki. Mi niliacha kuwaelimisha.. nimeungana nao matusi na ushabiki maandazi.
Ukiwaeleza norway wananchi wana maisha mazuri kuliko US watakutukana, watakwambia US ndio ina uchumi mkubwa.. wao wamekalili neno uchumi mkubwa.

Wengi ni hoya hoya wasio na kazi.. 24hrs wapo humu kubishana na kusifu. Wanadhani US anafanya la maana hapa duniani kumbe ni kjtajirisha makampuni yake ya silaha na madawa.
 
Ukraine wenyewe walikiri kwamba hizo ni useless
 
Katika silaha kubwa aliyopewa mwanadam kujilinda ni "Akili yake", na maana ya "Ufaham wake"... Hio ndio silaha kubwa aliyonayo kila mtu, kila kiumbe chini ya jua. Silaha zote hizi "physical" kama bunduki, mabom n.k ni kwa ajili ya uharibifu ingawa nazo chimbuko lake ni "akili ya mwanadam", "Ufaham wa mwanadam"...

Wengi katika sisi ile silaha yetu kubwa ya kujilinda haitusaidii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mind zetu zipo programmed juu ya nini iwaze kwenye jambo flan. Yaani 9 katika 10 tushakua destroyed kifikra, kimaumbile (apa nazungumzia afya kwa ujumla) kiuchumi na mengineyo...

Tunapozaliwa huwa tupo ka empty drive, then kile kinachohifadhiwa ndani baada y apo ndicho kitakachokuwa displayed baadae. Kuna ule msemo wanasema "What you feed your mind become the real you" wengine wanasema "...it become reality"...

Swali lako ni zuri ila shida sasa Uelewa...

Utaelewa ile ni kalam kwasabab akili yako tiar imehifadhi taswira ya kalam kichwani. Utaelewa ile ni nyumba kwasababu akili yako tiari imehifadhi taswira ya nyumba kichwani. Na mtu ataelewa kinachoendelea Ukraine ni nini kulingana n taarifa zilizopo kichwani teari.

Kwa jicho hasi la Putin, kinachoendelea Ukraine ni Uvamizi, Uuaji na unyonyaji, uhalifu mkubwa. Kwa jicho chanya kwa Putin kinachoendelea Ukraine ni Special military operation. Kwa jicho huru juu ya pande zote litarudi na maswali mengi ambayo yataishiia kukosa majibu.

Media are lying, Politicians are lying... They feed our mind na kile tu wanachotaka tuwe nacho na wanaficha kila wasichotaka tue nacho. Unfortunately tunaishi kwa hisia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kufanya maamuzi.

Kwasabab tushajengewa mazingira ya kumtukuza mmagharibi, kumnyenyekea mmagharibi, kumwona Aliye upande wa mashariki ni dictator, wauwaji, wakosefu bila kuhoji uthibitisho...

Yani tiari tuko programmed kifikra kuwaza hivo inakuwa no matter nini kitasemwa. Haijalish ni Fact or what tutaendelea kuwaona Wapinzani wa yule tulieelekezwa kumtukuza ni wakosefu. Najarib kuingia uku natoka ila we mtu mzima utakuwa ushanielewa.
 
Majeshi ya urusi yameishiwa chakula, [emoji3][emoji3][emoji3]
Usirudie upuuzi. Jeshi la Urusi haliishiwa chakula. Ila mfumo wao wa kusafirisha si mzuri, hivyo kuna vikosi vinavyokosa chakula, mafuta na mengine. Pia hawana mfumo mzuri wa kutenegeneza mitambo yao. Pia imeonekana kwamba ufisadi ndani ya Urusi umesababisha matatizo ya mitambo yao kwa sababu pesa iliibiwa njiani hakufikia kwenye vikosi. (taarifa za matairi mabaya, kukosa vipuli ; roketi ambazo mara kwa mara havifikii shabaha)
 
Hii habari sio nzuri aiseee.
Nasema Tena sio nzuri kwa wazungu,
Simaanishi wazungu wote,namaanisha wazungu wa west,hasa USA.
 

Russian military launch Iskander missiles during strike against Ukraine

The Iskander missile can carry nuclear warheads and also several different conventional warheads, including a cluster
munitions warhead, a fuel-air explosive enhanced-blast warhead, a high explosive-fragmentation warhead, an earth
penetrator for bunker-busting, and an electromagnetic pulse device for anti-radar missions
 
Japan baffled by demand to pay for Russian gas in rubles

Asian importers of Russian gas expressed confusion this week regarding Moscow’s demand to pay for deliveries in rubles. The new requirement concerns countries that have imposed sanctions against Russia over its military operation in Ukraine.

On Wednesday, Russian President Vladimir Putin said “unfriendly countries” would continue to receive Russian natural gas in volumes and prices fixed in contracts, but are now to pay for the commodity in the country’s national currency. In Asia, these countries include Japan, South Korea, and Taiwan, which import liquefied natural gas (LNG) from Russia’s Sakhalin-2 and Yamal LNG projects.
 
Uko sahihi 100% mkuu,nimekuelewa kabisa.Ni kwamba akili za the majority of people zimeshakuwa programmed au conditioned to see things in a certain way,to think in a certain way,to reason in a certain way,and that way is the NWO way.Kingine kinyume na hapo,sio sahihi. In short the majority of the people are boxed by the NWO,and cannot reason out of "the" box.Naiona wazi hali hii JF.
 
Da aisee Jamaa umeua kabisa,
Nahisi huko upande wa pili hali ni tete kabisa
 
Galip SV
Mzee wa hoja na data
 
pamoja na porojo zote ulizoziandika ila cha ajabu ikitokea mchongo wa kwenda New York, Moscow au Hong Kong. Cha ajabu utachagua
1. New York
2. New York
3. New York
4. New York
5. New York
6..........
7..............
8.............
9...............
10..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…