Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

👉 Ukraine haijamalizika kijeshi kwanza ndo limepanuka zaidi kutokana na silaha na wapiganaji wapya.
👉Ukraine inaongozwa na wayahudi sasa ukisema imekaliwa na wanazi inaonyesha ulivyokua mjinga
👉Ukraine tangia mwanzo haijapewa ndege vita hata moja na ndio maana wanazitaka wapeleke moto Moscow.
👉Putin amebadili msimamo baada kushindwa ichukua kyiv ndo kaamua kuelekea donbass.
 
Niwe tu muwazi sijalizishwa kabisa na performance ya jeshi la Urusi kule Ukraine

wakati vita imeanza nilitegemea ndani ya siku 7 watakuwa washaikomboa kyiv na kumkamata mateka rais mchekeshaji Zelensky lakini cha ajabu mpaka leo zaidi ya siku 30 bado wanarandaranda hovyo tu wameshindwa hata kuidhibiti Odesa

niwe muwazi wamenivunja moyo sana hawa wajuba waliofanikiwa kuulinda utawala wa Asadi kule Syria

Putin kokote uliko jua umetuabisha sana sisi tulio against double standard za US na mashoga zake EU + UK

kama vipi mzee mwenzetu Putin tumia Nyuklia kulazimisha hao madogo wa Ukraine kunyosha mikono juu
 
Nikujibu swali la kwanza, nadhani umeona Zelensky anachosema kuhusu msaada wa kijeshi hasa silaha kama ndege na vifaru, hivi hio kauli unaitafsiri vipi wewe?

Ujue kuna actual war halafu kuna hii propaganda war, kwenye propaganda war ipo wazi kwamba Ukraine imeshinda, hivi unafikiri media zingesema nini kama Russia ingesikika inasema inahitaji msaada wa ndege vita toka China?

Ukraine ilichofanikiwa ni kuchelewesha muda wa Russia kukamilisha mission yake, lakini kiuhakisia Ukraine inaanguka mkuu, hivi we ukikaa unaona kabisa Ukraine anashinda hii vita?

Russia imefikia point of no return yaani punda afe mzigo ufike.


Kuhusu unazi, Wasovieti wakikuita we ni mnazi, ujue ni adui mkubwa saaana, Ukraine wana ideology za unazi mambo leo.

Kwa hivyo Ukraine ilikuwa itumike kuiua Russia, so Russia is right Ukraine ni neo nazis.
 
Siku Ukraine akirusha hata risasi Moscow ndio siku Ukraine itafutwa rasmi kwenye USO wa dunia
 
Usipaniki hivo mzee huyu ni mdau mwenzio ...yuko team putin.....[emoji15][emoji15][emoji15]
 

Nato ndio wanaotuaibisha yani nchi 30 zinaufyata kwa nchi moja
 

Uongozi wa Russia ubadilishwe kivipi? Yeye ni nani? Huyu jamaa kapaniki sana acha Tuendelee kusukuma kete za moto.
 

Ile ilikua msg tosha [emoji28]
 
Nyinyi ni vichaa kweli , unasema Russia anapigana ili apate mkataba unaowakataza Ukraine asijiunge NATO. Huo mkataba uko kwa nani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…