Putin Anakimbia vita alimpa masaa 24 Raisi wa Ukraine ajiuzulu la sivyo Russia itamuondoa kwa nguvu imeshindikanaHizo taarifa zote ni ukweli japo hamtaki kuuskia Warusi wa Gongo la Mboto, operation iliyokusudiwa siku chache imebuma, Kiev imeshindikana, Urusi wameanza mkakati mpya wa kutafuta pakutokea, useless kabisa, na njaa inawauma balaa maana malori ya supplies yalipigwa mabomu yote, majenerali wameuawa, wanajeshi wengi wanaumwa Frostbites, waziri wa ulinzi hoi, Putin ana hamaki hajui ashike lipi, uchumi wa nchi unaangukia pua.
Juzi katoa kauli ambayo hata Uingereza na white house wamejiweka mbali nayo, kauli ya kuwa Putin hafai kuendelea kuwa raisi wa RussiaKila raisi wa marekani anaekaa madarakani,walau huwa anajaribu kutatua tatizo fulani kubwa lililopo,ili aache historia nzuri,Bush alimuua sadam na kuikomboa Kuwait,Obama alimuua Osama bin Laden,trump alimuu kiongozi wa ISIS na kuzungumza na kiduku WA korea,Yeye BIDEN,mwanachama muhimu mtarajiwa wa NATO,anavurugwa mbele yake,na hana la kufanya na NATO wake,Kwa mzungu mwenzao,historia itamkataa sana,baada ya vita hii,mataifa mengi ya uarabuni yataanza kununua silaha za urusi,mfano ant missile za s400,Saudia wanazitamani sana,sema ndo wamekabwa na marekani...
Unadhani Russia ni mgeni wa vikwazo? Wenzako wakipewa vikwazo they find a way out and come stronger than before, wewe na mimi tukipewa vikwazo tunabaki kulalama tu hadi tufe. Tangu 2008 alipoivamia Georgia, 2014 alipoivamia Crimea ni mwendo wa vikwazo tu, actually tangu kipindi cha Chechnya Russia anapigwa vikwazo tu...Wewe inaonekana hata hujui hii dunia inaenda wapi naona kama upo upo tu na ushabiki wa Cold War Era.
Hujui kwamba Russia ya Putin haina future hata kampuni moja ya huko Russia inayotengeneza vifaru imeshaacha baada ya kupandisha bei na kushindana na serikali ya Putin inayokabiliwa na ukata.
Russia is obviously at crossroads and the country will be forced to follow the rough road as a panacea to the looming economic ills as well as altering the man at the helm.
Unampa mzee wa miaka 80 kuongoza nchi unategema nini? Akili zimebaki kisoda tu!!Juzi katoa kauli ambayo hata Uingereza na white house wamejiweka mbali nayo, kauli ya kuwa Putin hafai kuendelea kuwa raisi wa Russia
Uraisi wa zari.Unampa mzee wa miaka 80 kuongoza nchi unategema nini? Akili zimebaki kisoda tu!!
Maoni yangu ni kuwa Maslahi ya NATO ni kuidhoofisha Urusi. Ukraine anatumika tu na amejitahidi sana kuhold jambo ambalo NATO ni faida kwake.Unadhani!
Natamani nijue ni vipi ushindi wa zelensky (kwa haraka) hautakuwa na mslahi kwa NATO. Unaweza kushare maoni yako ya nini maslahi ya NATO hasa hapo ukr
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
kwi kwi kwi lini hii ππππleo jamaa wamesarenda wenyeweView attachment 2166666View attachment 2166667
Alafu utaambiwa Russia inashinda.