Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Maelezo mazuri mkuu! Wenzetu wakifungiwa mlango mmoja hata dirishani wanaweza kutokea.
 
Sahihisha SWIFT wamefungiwa this year. Pia sio benki zao zote zimefungiwa hapo kwenye SWIFT. Benki zinazopokea miamala ya gesi na mafuta kutoka ulaya hazijafungiwa. Halafu ufaransa imegoma kununua kwa rubble maana mikataba iliyopo inasema italipwa kwa dollar za kimarekani /Great briain pound or Euro. Rudi kasome taarifa zako kwanza. Na pia hiyo system ya kichina haiwezi kupitisha dollar. Inapitisha Renminbi ya kichina tu na hiyo rubble ya kirusi. Yeyote anayefanya transcaction ya dollar lazima utumie SWIFT. China ameshaonywa na marekani kuhusu kumsaidia huyo Mrusi. Uwezo wa kumsaidia anao ila kukitokea vita ya kiuchumi kati ya marekani na china anayeumia ni mchina maana kuna baadhi ya technologia bado hana na pia watu wote wanaofanya nae biashara wanatumia dolar na sio fedha ya kichina.
 
US haeleweki mpk watu wanajiuliza
 
Maelezo mazuri mkuu! Wenzetu wakifungiwa mlango mmoja hata dirishani wanaweza kutokea.
Hakika that's why tukiwaambiwa hawa wamarekan wa Machame kua Russia sio kama Congo au Zimbabwe wanatujia juu kwa kejeli na matusi.

Ngoja nikuache na kibonzo cha wamarekani HALISI uko waliko.



[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwenye kujenga hoja ukiona mtu anaingiza maneno " wewe una uwelewa mdogo,mpumbavu ....." na vijimaneno maneno vya dharau kwenye sentensi yake ya mwanzo, ujue hizo sifa zinamhusu yeye.
 
Safi mkuu!
 
Kenya wamekoswaje...wanapenda sifa mjue!!! H ahaaha ha haa (Just joking)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…