Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hii ni hatari sana kwa Urusi kama kweli hao jamaa wote 620 ni agents wa FSB. wao UKR wamewajuaje magent wa FSB!?

Ngoja tuone

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Akina King Bulan
Umenikumbusha na Talmud.

Hawa watu ni wanyama sana! Na kuna jitihada ya makusudi inafanyika kufuta kwenye historia isifahamike kama kuna tribe iliyokuwa inaitwa Khazar duniani.
 
Hii ni hatari sana kwa Urusi kama kweli hao jamaa wote 620 ni agents wa FSB. wao UKR wamewajuaje magent wa FSB!?

Ngoja tuone

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
FSB wanaakili hawawezi kufanya huo upuuzi
Watu wanaishi kwautambulisho feki wakiwa makazini mwao
Hio niishara yakuwapaka tope raia wa RUSSIA ama ishara kwamba wanawakhofia
 
Original Info [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tukiitafsiri itakosa ladha... Wale wamarekani na NATO wa ifakara karibuni muendelee kubeza ila mda huwa ni mwalim mzuri siku zote.



[emoji145][emoji235]🪄 And with a sleight of hand, the golden Ruble... The RF Central Bank pegged 1 gram of gold to 5000 rubles (about $50 USD).

From March 31, oil and gas can only be purchased in rubles. Meaning, it is pegged to gold, using paper rubles as a proxy.

Europe will need to either buy rubles in gold, or they will have to buy directly in gold. Which means, there will be a lot more demand for rubles.

Currently, the forex rate for rubles to dollars is about 100:1. But with 5000 rubles now equaling 1 gram of gold, and oil being priced directly in gold - there will be a price disruption in terms of how much gold a dollar can actually buy.

Countries holding dollar debt notes will see less use for them & want to dump them, in order to get something which holds value better. This will have a deflationary effect on rubles.
 
Kwenye military technology russia hawezekaniki

Hahaha

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Maweee mwanakulitafuta mwanakulipata........
Mwanzo wa dollar kuwa makaratsi au sijaelewa ebu ongeza sauti upande wa pili wasikie🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 

Kwa ufafanuzi vizuri wa maelezo... Hapo mwishoni kuna sentensi inasema This will have a deflationary effect on rubles

Deflation ni kinyume cha Inflation yenye maana ya Mfumuko wa bei ambao hupunguza purchasing power.

So deflationary effect kwa rubles maana ake italeta impacts kwa consumers positively kwasababu ita increases their purchasing power, na kuwafanya waweze ku'save more money as their income increases relative to their expenses.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…