Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

kama wasingepigana isingekuwa simple hiv kma russia wangekuwa wamekamata kiev na kharkiv mamb yangekuwa tofauti, wangeandka na upya mustakabali wa ukraine na kuweka watu wao km walivyofny east, ukraine isingejinasua kwe hio situation, atleast now kwa masharti hayo na ht km watakubal kuachia kule east na crimea ni sawa coz walishapotza hayo maeneo na hawakuwa na control nayo
 
km wasingepigana kutetea kiev na kharkiv saiv wangekuwa wananegotiate nn km urusi ingekuwa ina control maeneo hayo?? saiv ungesikia tu ukraine inaandika katiba mpya na kuandaa uchaguzi moscow wangekuwa wanacontrol everything....
 
Wasichopenda kusikia pro Russians ni kwamba warussia wamegwaya kuingia kyv

Soma hii utaelewa.

Russia’s announcement of a de-
escalation in the Kiev direction is also due to the fact that there are people in Kyiv who need to make decisions, Medinsky said.

He added that the de-escalation in the Kiev and Chernigov directions does not mean a ceasefire.
Galip SV Liwagu
 
Kwa hiyo wewe Mkuu unaamini kua Urusi kashimdwakukamta Kyiev?
 
Russia Lost the war, baada ya mazungumzo

Ukraine wamekubali kutokuwa na Upande na kutjiunga NATO kwa Makubaliano ya Kusaidiwa ulinzi na Mataifa ya NATO, pia Russia wamekubali Ukraine wajiunge na EU, This means ikitokea Russia anavunja Mkataba wake kwa Ukraine basi Itabidi apigane na Turkey, UK, US na Germany.

Hili ni somo kwetu ambao Marais wetu wananguvu ya kufanya hata wanayoambiwa na wenza wao
 
ukraine itaenda kuwa km sweden, pia russia atakua ameipoteza rasmi ukraine, hawatajiunga nato but ni wazi wataimarisha maradufu ,mahusano yao na EU kuchumi na kisiasa
 
Wa-ukrain wanastahili kupongezwa kwa kupambana kulinda taifa lao.
Russia pamoja na mikwara yote na kujidai wababe lkn wametolewa kamasi.

Sasa hakuna tena kuteka nchi ila ni kukaa kwenye meza ya majadiliano.
 
Ili uteke kyv inatakiwa uingize ground boots. Hapo ndipo mizoga ya Russians ingezagaa mitaani
 
Kwa hiyo wewe Mkuu unaamini kua Urusi kashimdwakukamta Kyiev?
, kiuchumi na kisiasa na jinsi vita ilivyokuwa inazidi kuwa bloody kila kukicha haikuwa ktk interest ya urusi kuendelea, shida unaangalia ktk angle ya kijeshi pekee. kuhusu swal lako km vita ikiendelea mda mrefu kiev itaanguka maana russia ina uwezo mkubwa kuliko ukraine
 
Russia wameshindwa kuipindua serikali halali ya Ukraine pamoja na uwepo wa hizo S-400 air defence systems na matokeo yake wamepoteza maaskari wengi na silaha kibau.
 
Asee this is not America itz ameruka
 
Kila baada ya dakika moja wawe wanakata kipande cha nyama kwenye miili yahao wapuuzi nakuwatupia UMBWA
Wasiwape KULA mpaka waagane na nyongo bila ya kusahau na virungu vya UGOGO
MBWA hao
 
mwezi february lavrov alifny ziara central asia aliwahakikishia majiran wake eneo hilo kuwa urusi haina nia ovu dhidi ya ardhi zao, hiz ni nchi rafiki but still urusi ikaona izihakikishie usalama wao, hivi ndio vitu muhim sn hasa kpnd hiki ambacho west wanaipaint urusi km nchi aggressive kwa jiran zake, central asians wamekua kimya kabisa kuhusu vita vya ukraine
 
Wanakubalije haya makubaliano wakati walikua wanayaelemea majeshi ya RUSSIA au nikweli tulikua tunapigwa kamba na CNN na BIIBIISII
Wameogopa phase ya pili ya OP hawa KENGE tungewatwanga mpaka wajue tunachokitaka
Haya waanze kujenga hayo mamagofu yao UMBWA hao
Naole wao wakaidi ama wakengeuke maagizo ya GIANT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…