Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

niliposoma marengo badala ya Malengo nikaacha kusoma gazeti lako all in all jifunze kuandika kiswahili vizuri
ngoja nipate muda nitasoma hili gazeti
kuna somo liko kwa vitabu vya kiada za shule zenu hapo Bongo Inaitwa '' Learn through common Mistakes'' ulilielewa kweli?? au ulikuwa mtoro ndugu!...hivi umewahi jua ''Perfectionism'' ni ugonjwa halisi wa vilaza wengi??

Nisikuchanganye sana dogo nielezee nini maana ya ''common error"?? Wakurya si wako Bongo hapo kipunguni au??
 
Ukraine wanatakiwa kuanzia sasa wasahau kuhusu Donesk na luhansk na Mariupol.majimbo mengine kama Kherson na Melitopol wanaweza kurudishiwa
 
ngoja nikuache maana unapovukwa sana
 
Mkuu una wakati mgumu sana,mshindi wa vita ni yule aliye timiza lengo lilimpeleka vitani haijalishi amepata hasara kiasi gani.

Urusi tangu mwanzo ili kuwa inakataa Ukraine kujiunga na NATO lakini viongozi wa Ukraine waka endelea na ukaidi.

Na kama una kumbuka vizuri Urusi ilisha iandikia barua mpaka Marekani ikitaka kupewa hakikisho la Ukraine kutojiunga na NATO jibu la Marekani likawa hapana na kejeli kibao.
Tamaa kubwa ya Ukraine ni kujiunga na NATO lakini kwa sasa mashambulizi ya Urusi yamesababisha abadili muelekeo ambapo ni dalili ya kushindwa.
Siku zote unapo razimishwa kufanya jambo lolote ambalo hautaki kufanya tiyari una kuwa umesha shindwa.
 
mkuu bibingi hiyo rashia ndo nchi gani ?
 
Zelensky ali bet maisha ya wenzie, kuna kitu amejifunza juu ya unafiki wa west. Taiwan ajifunze kitu pia.
 
Achana nao hao ndio walokua wanasema kwamba KYIV ni TAIFA huru wanahaki yakujiunga nataasisi yoyote waitakayo
Lei hii wamepewa dozi halaf wanaamriwa namna yakuishi bado wanaambiwa wameshinda VITA
Wanadhani RUSSIA ni failure kama ilivyokua kwa US kule kwa ASSAD
 
Sawa ukipenda kumpa Putin taji la ushindi, bila shaka litamfariji sana wakati uchumi wake unaendelea kuporomoka.
Ilhali hakuna aliyekuwa tayari kupokea Ukraine katika NATO kabla ya uvamizi, utaiona kama hekima kubwa kwa Putin kuchinja maelfu ya vijana wake hadi Zelensky anasema mwenyewe kwamba hataendelea kutafuta nafasi ya kujiunga na NATO?
Na bila shaka unaiona kama hekima kubwa ya Putin kuimarisha NATO pamoja na nafasi ya Marekani katika Ulaya?
Sawasawa...
 
Kila mtu akahukumiwe kwa Matendo yake. Wewe Pambana na ya kwako, mambo ya mwingine kustahili au kutostahili mwachie anayehukumu.
Nime-generalize sijamnyoshea mtu specific kidole.Ila naomba nirudie,ili ustahili kuingia Mbinguni,ni lazima umuamini Bwana Yesu,short of that you will be condemned to hell.Hakuna shortcut mkuu.
 
Itategemeana na Russia,kama ataona plan yake sio operation kuwa ya muda mrefu basi anaweza kubadili strategy take kijeshi na bado akafanikisha dhumuni lake maana uwezo wa kijeshi wa kuamua hilo anao.
 
Nime-generalize sijamnyoshea mtu specific kidole.Ila naomba nirudie,ili ustahili kuingia Mbinguni,ni lazima umuamini Bwana Yesu,short of that you will be condemned to hell.Hakuna shortcut mkuu.
Sawa boss, ila anayehukumu si wewe Mathanzua na sababu ww ni mkristo utakubaliana na mm kuwa kila mtu atahukumiwa kwa Matendo yake, mwenye kipimo cha hayo matendo yupo hivyo tusipende sana kumsemea. Kuna watu vijiji vya India, China, Misitu ya amazon huko hata YESU hawajawahi msikia na wamelala mavumbi huenda wakiwa na matendo safi mbele ya mtoa hukumu.
 
Mk
Mkuu kumbuka mwanzoni mwa vita Russia walishawahi kusema/kuwaambia wanajeshi wa Ukraine wamuondoe Zelennsky Ila hawakumsikiliza.(means regime change) .
Mkuu usiwe msahaulifu, nakukumbusha!
 
Sasa kwa bahati mbaya wateja wake hawana hizo sarafu na hata mkataba walioingia hausemi watalipa kwa Ruble au dhahabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…