Ni kweli alisema hivo kwa sababu russia aliona hatari iliokuwa mbele yake ....afu kumbuka zelensky ni puppet wa marekani so anakaribisha nato kuweka silaha nzito nzito kinyemela yaani kisiri siri na kutaka kujiunga nato na ni kinyume na makubaliano ya enzi za cold war ........ni sawa tu na marekani enzi hizo ilivo kataa russian people kuweka kambi za kijeshi pale CUBA yenye zana za nyuklia .....mpaka ikatishia kuinukes CUBA .....mbona wadau humu wameshaliezea sana hili jambo la marekani na russian federation...[emoji635][emoji635][emoji123][emoji123]Mk
Mkuu kumbuka mwanzoni mwa vita Russia walishawahi kusema/kuwaambia wanajeshi wa Ukraine wamuondoe Zelennsky Ila hawakumsikiliza.(means regime change) .
Mkuu usiwe msahaulifu, nakukumbusha!
Roman Abramovich in Istanbul, where negotiations between the Russian and Ukrainian delegations are taking place.
Before the meeting, he spoke with Erdogan.
Galip SV Liwagu View attachment 2168120
Mmmh ni kitu ambacho hakiwezekani ...acha kueneza uongo humuRussia Lost the war, baada ya mazungumzo
Ukraine wamekubali kutokuwa na Upande na kutjiunga NATO kwa Makubaliano ya Kusaidiwa ulinzi na Mataifa ya NATO, pia Russia wamekubali Ukraine wajiunge na EU, This means ikitokea Russia anavunja Mkataba wake kwa Ukraine basi Itabidi apigane na Turkey, UK, US na Germany.
Hili ni somo kwetu ambao Marais wetu wananguvu ya kufanya hata wanayoambiwa na wenza wao
Janja ya Urussi tu ile! haya yooote yame pikwa na Urussi muda mrefu sana na haka kajamaa ka rais ka ukraine kametengenezwa na Urusi ili kasalimu amri kinafiki!! ili KGB wavuke Kirahisi wakaipepleleze NATO Ili kuidhoofisha baadayeMkuu una wakati mgumu sana,mshindi wa vita ni yule aliye timiza lengo lilimpeleka vitani haijalishi amepata hasara kiasi gani.
Urusi tangu mwanzo ili kuwa inakataa Ukraine kujiunga na NATO lakini viongozi wa Ukraine waka endelea na ukaidi.
Na kama una kumbuka vizuri Urusi ilisha iandikia barua mpaka Marekani ikitaka kupewa hakikisho la Ukraine kutojiunga na NATO jibu la Marekani likawa hapana na kejeli kibao.
Tamaa kubwa ya Ukraine ni kujiunga na NATO lakini kwa sasa mashambulizi ya Urusi yamesababisha abadili muelekeo ambapo ni dalili ya kushindwa.
Siku zote unapo razimishwa kufanya jambo lolote ambalo hautaki kufanya tiyari una kuwa umesha shindwa.
Sawa,Ila tendo kubwa ni kumuamini Bwana Yesu,hayo mengine ni ushahidi tu kwamba hukumuamini au ulimuamini Bwana Yesu.So in principle kinacho kuingiza Mbinguni ni kumuamini Bwana Yesu.Anyway, thankyou for sharing.Sawa boss, ila anayehukumu si wewe Mathanzua na sababu ww ni mkristo utakubaliana na mm kuwa kila mtu atahukumiwa kwa Matendo yake, mwenye kipimo cha hayo matendo yupo hivyo tusipende sana kumsemea. Kuna watu vijiji vya India, China, Misitu ya amazon huko hata YESU hawajawahi msikia na wamelala mavumbi huenda wakiwa na matendo safi mbele ya mtoa hukumu.
Nilivyoona yule mama rais wa eu amekaza mishipa ya shingo nilidhani ana plan b. Inavyoonekana hana, hivyo kawaweka wenzake kwenye matatizo....wanunue ruble hakuna namna.Kwenye Swala La Kuwekeana Vikwazo Huwa Hatuangalii Mikataba Inasemaje?
No Ruble No Ges[emoji23]
Naomba usome nilichoandika juu kuhusu swali la mshindi. Nilimjibu mchangiaji aliyemwona Putin kama mshindi, hapa sijagusa swali la haki. Nilisema sidhani kutakuwa na mshindi kweli, nikataja vifo upande wa ukraine pia.Mkuu hapa hatujadili ninani yuko sahihi au nani asiye sahihi.
Maana Ukraine na Urusi wote wako sahihi kwa minajili ya maslahi yao .
Upande wa Ukraine una pigana kulinda mipaka na uhuru wa nchi yao na upande wa Urusi inapigana kuhakikisha mipaka yake ina baki salama ,na mshindi ni yule atake hakikisha ana timiza kile alicho enda kupigania.
Unanichekesha sana, yaani unaona ni sawa kwa raisi wa Ukraine tuteketeza maelfu ya vijana wa nchi yake na miundo mbinu waliyo ijenga kwa miongo kadhaa kwa ajili ya kulitetea taifa lao ,ila hapo hapo unaona si sahihi kwa Putin kuteketeza vijana wake kwa ajili ya usalama na maslahi ya taifa lake?
Mwana jeshi hajawa mwana jeshi kwa ajili ya kuvaa magwanda na kubebelea bunduki kama pambo, bali yupo kwa ajili la kufa akipigania maslahi ya taifa lake lililo mlea kwa hiyo hata akifa hakuna mjadala juu ya hilo.
Hata sisi tuna vijana wetu hapo kongo na mpaka sasa ni zaidi ya vijana kalibia 40 wamesha uawa hao vijana walikuwa na familia,wazazi ,marafiki walio wapenda lakini walikufa kwa ajili ya kutetea maslahi ya taifa na hilo ni jukumu lao na wala sio ombi.
hakika MKUU No RUBO No GASWatumie Kuni No Ruble No Gas[emoji23][emoji23]
Naomba vifungu vya sheria unayorejea hapa....na tueleze Marekani amelipa shilingi ngapi Vietnam!. hata kama wanapatana kusitisha mapigano, swali litakalofuata litahusu pesa za Urusi kwenye benki za kigeni, nadhani kidogo zaidi ya nusu ya hazina ya Putin. Maana kufuatana na sheria ya kimataifa Urusi inapaswa kulipa fidia kwa uharibifu wote katika Ukraine. Mshambuliaji anatakiwa kulipa. Putin atakataa, na hapo nahisi hatapata pesa yake.
Hayo yote yanaweza kuweka msingi wa kuanza upya...
hahaha nashkuru mkuu. Japo tuko mahasimu kweny hii vita .Ok wacha nikuridhishe nafsi yako.......NAMAANISHA (RUSSIA ) RASHIA ...[emoji849][emoji849]
MKUUMk
Mkuu kumbuka mwanzoni mwa vita Russia walishawahi kusema/kuwaambia wanajeshi wa Ukraine wamuondoe Zelennsky Ila hawakumsikiliza.(means regime change) .
Mkuu usiwe msahaulifu, nakukumbusha!
Acha ujuaji kwani hujaelewamkuu bibingi hiyo rashia ndo nchi gani ?
[emoji3][emoji3][emoji3]...naona umempa kubwa ..[emoji375][emoji375][emoji375]....alafu la utosini ...[emoji375]Acha ujuaji kwani hujaelewa
Kitakwimu ulaya ni wanunuaji wa "kuni" yaani briquettes. Lakini katika biashara hii Russia naye uwauzia kuni nyingi tu! Sasa akiamua na kuni ni kwa ruble...winter hapatatosha!hakika MKUU No RUBO No GAS
Kuna vitu havihitaji ligi kwasababu havina faida[emoji3][emoji3][emoji3]...naona umempa kubwa ..[emoji375][emoji375][emoji375]....alafu la utosini ...[emoji375]
Nianze na hukumu ya Mahakama ya KImataifa ya Umoja wa Mataifa dhidi ya Uganda kwenye Februari 2022; milioni $ 325 kwa JD Kongo kama fidia kwa uharibifu uliosababishwa na jeshi la Uganda katika Mkoa wa Ituri wakati wa vita ya Kongo 1998-2005.Naomba vifungu vya sheria unayorejea hapa....na tueleze Marekani amelipa shilingi ngapi Vietnam!