nakunukuu "Ukiwa EU Russia hana shida na wewe , yeye anashida na NATO" .EU Sio NATO.
Urusi Hana shida na Eu.
Kuna Wana NATO wengine sio wa EU,mfano Ututruki.
Na kuna Wana NATO wengine sio wa EU mfano UK.
Na kuna wa EU wengine sio wa NATO mfano Finland na Sweden.
Ukiwa EU Russia Hana shida na wewe,
Yeye ana shida na NATO.
Itakuwa we ni muajiriwa kwenye NGO's moja ya kimagharibi. Sio kwa mahaba hayoKaka amka, acha ndoto.Hadi sasa tatizo la Ulaya si njaa, ni unene wa kupindukia.
Gesi iko, uzalishaji unaendelea. Bei zinapanda; walifaulu kuvuka matatizo makali ya UVIKO na lockdown, wanaendelea.
Kama Putin ataamua kweli kufuta mapato yake kwenye mchezo wa Rubel, tutaona karibuni.
Kwa sasa tuombee kwanza amani kwa watu wa Ukraine na wanajeshi wa pande zote mbili. Mauaji yaishe.
Mengine tuone baadaye.
Hasira za nini ?? 😂😂😂😂Wewe pro marekani .....kwa hiyo unawachukulia warusi ni mapongoyoyo zumbukuku ......yaani unarahisisha tu eti Germani turkey sijui ufaransa wataipiga russia ikikiuka mashart kirahisi rahisi tu ...
..hizi ndoto za mchana tuziachege jamani .[emoji848][emoji848][emoji848]...kwamba russian wao hawajaweka mashart yao mezani .....
😂😂😂😂😂Is EU a military alliance!? Kuna kipengele cha collective defence kwenye EU!? Alafu kwanza nikuulize Turkey ipo EU!?
Demilitarization, Denazification, Protecting of Russian speaking UKr of PRL & PRD. Hizo ndio lilikuwa lengo la Urusi hapo UKR
Russia lost the war!? Which war!? Hahaha
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
The sanctions that the West has imposed on Russia have shown other countries the danger of becoming too dependent on the dollar.
This was stated by Singaporean economist Yip Sau Leung in an interview with Chinese media:
“We will see more and more countries using other currencies for payment and as a reserve currency. The US dollar may no longer be as strong as it is now, because all governments will not continue to act stupid and rely solely on the dollar: US sanctions have shown them not to do this.”
The economist added that the tightening of sanctions, which are being feared in Washington, will be detrimental to both the American and the global economy:
“Prices for materials will also rise, and in this case, inflation could rise to eight, nine, even ten percent.”
Galip SV Liwagu View attachment 2168850
Hizi sanctions mpya zitakuja kwa jina lipi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].... Za mwanzo walitumia mwamvuli wa Ukraine [emoji849][emoji849][emoji849] hizi je? MFs PsychopathWashington is considering options with the introduction of new sanctions against Moscow, as well as expanding existing ones.
This was stated by the director of communications of the White House Kate Bedingfield. She declined to elaborate on details.
“We will continue to apply sanctions pressure and do not expect the options for new restrictions to dry up in the near future,” she said.
Bedingfield also commented on Biden's words that Putin "can't stay in power":
“Only President Biden decides what he will say. The statement was only confirmation of what you heard from the president. This announcement did not signify a formal change of policy."
Galip SV Liwagu View attachment 2168854
Hadi Sasa Russia haijaiteka Mariopol Wala Donbas alafu mnataka aanzishe vita na Poland [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]