Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

RUSSIA hata kama alikua anataka regime ipo sawa ila baada yakuona jamaa anakaidi amri
Ila lengo kuu la RUSSIA nikuona UKRAINE inakua haina upande na hili kafanikiwa maana tayar kwenye yale makataa lipo hili jambo
Lengo jengine la kuuvunja uwezo wa kijeshi wa UKRAINE hili tayar kashafanikiwa nakueka makataa yakwamba majamaa hawatakiwi kua Nyuklia power ndio kawaweza kabisaa maana angekua nyuklia power hili alilofanyiwa na RUSSIA asingefanyiwa hata kwabahati mbaya
Kuhusiana na kulose kwa UKRAINE hili wala halitaki tochi unadhani UKRAINE ya mwezi mmoja kabla ya na baada ya VITA zinafanana!!?
Kuhusiana na hayo majimbo pia nikupoteza kwa UKRAINE sababu ndio nchi inagawika hvyo unadhani UKRAINE baada ya makubaliano kiukubwa waeneo itakua kabla ya ya haya mambo
UKRAINE kapoteza kwenye angle nyingi KISIASA KIJESHI KIUCHUMI nk hili mbna halina ubishi hatta
Mwisho kuhusiana na hizo sababu nilikwambia huko juu kwamba iliupate uhalali wakumuua MBWA kwanza mpe jina baya nandio alofanya RUSSIA nandio maana akapata uungaji mkono tofauti na kama angevamia tu UKRAINE bila hata sababu za uongo DUNIA mpaka swahiba zake wangemshanga hii kesi refer US walivyoivamia IRAQ kwakisingizio cha silaha za Sumu zilikuepo au zipo!!?
Kwenye hii vita UKRAINE kapoteza zaidi kuliko RUSSIA
 
Wamagharibi wa machame utawaona wanavyoshupaza shingo ... Na video wameziona na wamesikia Nini walikuwa wamepanga hao NATO na USA Kwa ujumla kuhusu kupigana vita wapi dhidi ya nani.
 
Sawa kabisa!Hapo ndio ninapomuona Putin Ni Zero Kama Ile Alana yake,Sasa Kama anamjua vizuri adui yake klsi apigane na adui yake?kwa Nini awaue hao unaesema Ni ndugu zake?
NDo nikakuambia inahitajila muda ili tueleweshane dada yangu.
Baba au mama kumchapa mtoto sio kwamba hampendi.
Hata kwenye familia zetu Huwa inatokea mzazi wakazozana na mtoto inafikia hata hatua ya kutozikan,hii Dunia Ina mambo mengi sana dada.
Putin ni mtu muungwana sana narudia Tena na Tena kukuambia.
Ila inahitaji darasa refu.
Any way kama tunaona mzozo huu kama ushabiki wa Simba na yanga Mimi Sina la kukuambia.
 
Ohooooooo .... Vyote hivyo Kwa RUBO ulaya ulaya wajiangalie
 
super power Upepo umekata
Nyie ndio wale wanawake vihelehele nipigeeeeee nipigeeeeee sasaaa ...ukipigwa mbata Moja matata unaanza kupiga kelele Kwa majirani ndugu na jamaaaa.... Lakini ndio mbata umekula(Ukraine) kelele umepiga sura imeharibika Mumeo(Urusi) anakuacha Hapo unahuzunika unaanza kutamba tena anipige tena aone.... Shenzy kabisa
 
Da! Uchambuzi Mzuri sana huu.
Kweli umeitendea vema kabisa elimu Yako.
 
Sawa kabisa!Hapo ndio ninapomuona Putin Ni Zero Kama Ile Alana yake,Sasa Kama anamjua vizuri adui yake klsi apigane na adui yake?kwa Nini awaue hao unaesema Ni ndugu zake?
Uelewa wako wa masuala mbalimbali na hasa ya kimataifa unatia shaka mno Ndugu yangu....Nadhani kwa upande wa geo-politics uelewa wako ni sifuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…