President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Achana na hao, wanatumia simu iliyotengenezwa kwa msaada wa USA, Mama zao wanazaa kwa USAID afu wanajifanya wanapingaHii mbona Kama kamba Mkuu,yaani Ukraine warundike vifaru Mia pamoja kwenye workshop badala ya kuvisambaza maeneo tofauti tofaut ili kuepuka kulipuliwa na cruise missile za Urusi!!!!!
Hebu tupe source Mkuu
Hivi unaakili kweli hao jamaa ni muhumu kwemye utalii hata Tanzania?Warussi hawana faida yeyote katika utalii.
Mzee USAID ni kwa pro USA tu. Watanzania na waafrika walikuwa wakizaa kabla ya hayo mambo ya USAID.Achana na hao, wanatumia simu iliyotengenezwa kwa msaada wa USA, Mama zao wanazaa kwa USAID afu wanajifanya wanapinga
The supply agreements are for a term of 20 years and first deliveries are expected to begin in 2026, the Dallas-based pipeline company added.
The companies did not disclose the purchase price, but said it is indexed to the Henry Hub benchmark plus a fixed liquefaction charge.
The number of US proposed LNG projects to reach final investment decision is expected to get a push following demand from Europe to replace Russian gas over the next few years.View attachment 2169642
Mkuu naomba link ya telegramWatu wanahasira nae duh[emoji23][emoji23][emoji1787]yan wangeachiwa wangemuua huyo,sema warusi hawawatesi kama Nazi wanavyofanya,ila NAZI wametesa sana watu huko kuna videos zinatumwa telegram zinasikitisha sana wanavyowafanyia raia wanaotaka kuondoka au wanaongea Kirusi,Jamaa wanaroho ya kishetani sana hii operation isiishe mpaka waishe wote!
Wee jamaa utakua una matatizo sio Bure.The Kremlin plays down hopes of a breakthrough following talks between Russian and Ukrainian delegates in Istanbul yesterday
Wafuasi wengi wa Putin humu Ndani hawana uwezo mzuri wa akili, Russia yenyewe imeona aibu ya kukubali walichozungumza Jana, ila wao Bado wanaamini Russia hajafeli kwenye operation yake
Pro Ukraine SI walisema lavrov kajiuzulu?FM #Lavrov: Isolation doesn’t exist & is brought up exclusively by those who mentally & ideologically have resigned themselves to inevitability of a Western dictatorship on global stage. This dictatorship is supported primarily by West itself which is loath to lose its positions
Da yaani kama sio kumkanusha huyu jamaa nadhani kwenye vijiwe vya kahawa nawakusanya na kuwapata kweli mazuzu.Endelea kujipa moyo, Russian na silaha za NATO hizo NLAW wapi na wapi? Hao ni wenzenu wa NATO wanatoa mafunzo kwa UkraineView attachment 2169557
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika watu ambao huwa na wadharau na kuwaona mna uwezo mdogo wa kufikiri ni nyinyi wenye mawazo magando kama nyie.Achana na hao, wanatumia simu iliyotengenezwa kwa msaada wa USA, Mama zao wanazaa kwa USAID afu wanajifanya wanapinga
Ha ha haa,aisee una hasira sana,Huna tofauti na Ramzan Kadriokov.Haya mazungumzo yavunjike tu kwanza hayana maana yeyote pili waukraine wa East Afrique wanaanza dharau
Soon tunaendelea tulipoishia kabla yamazungumzo
Huyu jamaa angekuwa ndio rais wa Urusi Ukraine ingekumbana na maafa makubwa sana.Ha ha haa,aisee una hasira sana,Huna tofauti na Ramzan Kadriokov.
Huyu jamaa kaomba ruhusa kuendelea na vita Hadi malengo yake yatimie.
Anaponda sana mazungumzo hayo,anasema hayana faida yoyote.
Kwa hili siwezi kukubishia Mkuu.
We umeona wapi US anakurupuka hovyo kuhusu ishu za maslahi?Nadhani hii USA walilipia kabla ya hii Vita kuanza,hua wanalipa karibu Dola million 90 Kwa siti moja (mwanaanga mmoja). Lakini sasa Urusi wameshasitisha hiyo huduma Kwa NASA (Marekani). Lakini Kwa sasa Marekani hana hiyo shida tena sababu Space X wanafanya hiyo huduma na mwezi ujao watapeleka wanaanga wanne kwenye ISS,pia cost za Space X ni rahisi kushinda za Soyuz (Russia) nadhani Kwa space X wanacharge $50 million.
Jamaa Kwa fitna hawana mpinzani[emoji119]We umeona wapi US anakurupuka hovyo kuhusu ishu za maslahi?
Ni kweli kaka lugha sio yetu. Kwahiyo hapo hujaona ulipokosea? Ila mimi nimekutafsiri ni mapenzi yako tu Russia ndo yamezidi na sio kwamba umekosea.Nilivyo haribu wapi mzee hii lugha sio yetu kuna sehem tunakosea
Ehee leta tafsiri yako yatofauti namimi tuione