Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Duniani ogopa Teknolojia na watu.

Kwa mtu asiye kujua atadhani unamchukia kweli Vladirmovich pekee.

Ila watu wa aina yako, huwa wanachukia sera, mifumo na aina ya siasa isiyo ya kiliberali.

Sisemi ya kidemokrasia maana hata Marekani yenyewe hakuna hiyo demokrasia kama wanavyotuhubiria huku?

Kwao wanaamini thamani ya tamaduni ya Magharibi ni bora.

Hivyo Kuoa mke zaidi ya mmoja si sawa, ila wanaume wakipandana kwao ruksa.

Tujiulize je Boris Yeltsin alipokuwa raisi wa Urusi. Ilichukiwa Urusi au Boris

Je kipindi Cha Nikita Khrushchev? Alichukiwa Nikita au Urusi.

Kumbe unagundua hawa wazungu Wana sababu zao za asili za kumchukia Urusi Toka kale.
Na haijalishi raisi Gani yupo Ikulu,
Ila Kuna watu wamemezeshwa sumu na sumu imewaingia kama ndugu yetu mleta mada aka mwanamkiwa.

Nawasilisha
 
Niongezee kidogo mkuu hapa

Vladirmovich aliikuta Urusi ipo katika hali Gani wakati anaingia madarakani Kiuchumi?

Je Hali za maisha ya Warusi kwa kipindi Cha uongozi wa Vladirmovich imepungua au zimeongezeka?

Jeshi la kirusi limeimarika au limezidi kuwa dhaifu kwa kipindi Cha putin?

Influence ya mrusi imeongezeka au imeshuka duniani?

Soko lake la siraha ,napo vipi?

Biashara zake za Kimataifa?

Miundombinu ndani ya Urusi? Wakati unajibu hili keep in mind MOSCOW ndio jiji Bora zaidi kwa mwaka 2021.
 
Kwanza tatizo la unene uliopitiliza, lipo zaidi Marekani kuliko ulaya.

Gesi ni tatizo Ulaya.
Usifikiri Taifa lenye uchumi imara zaidi Ulaya linaweweseka, je hao wengine wakina Finland, Hungary, Slovenia?
 
Caring Russians shared their autobiography and form of admission to state secrets of the commander of the communications battalion (control centre) of military unit 41600 Lieutenant Colonel Alexander Tambovtsev, who is now in Ukraine.
ALL war criminals will be punished!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…