Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kama ulifuatilia timbwili la Syria ..alisema anatoa majeshi yake ... Lakini kilichofuata ni kipondo UPGRADED. Sijui hapa kitachofuata atarudi au atatoa Toledo jipya la kichapo.
 
Hii Russia yenye vifaa vya kijinga ambavyo vinalipuliwa kila siku?Ukiondoa nuclear stockpile Russia uwezo wake wa kijeshi unawalakini[emoji848]
Kwa nini uondoe nuclear!?

Vifaa vya kijinga sio!?;

Wakati akihutubia bunge March 2018 VVP alifichua uwepo wa program kubwa 5 za mifumo ya silaha za nyuklia. superoruzhie kwa mujibu wa bwana VVP au 'super weapons'
1. Samart - S28 Samart ICBM
Huyu bwana ndio mwisho wa reli. Super heavy, luquid fuelled. Na ndio ICBM kubwa zaidi (duniani) range up to 18000km.
2. Avangard - Yu71 Hypersonic glide vehicle HGV. Huyu bwana nae habari zake kubwa sana hasa kwenye suala la kumanoeuvre na kukwepa interception.
3. Poseidon nuclear armed Unmanned underwater vehicle UUV. - Oceanic Multipurpose system status 6, nuclear tipped torpedo speed mpaka 70knots na uwezo wa kudive chini mpk 1km.
4. Burevestinik - 9M730 Burevestnik ground-launched, nuclear-powered cruise missile Unlimited range (in practical terms) makes it difficult to detect.
5. Kinzhal - 9-S-7760 Kinzhal (dagger) air-launched ballistic missile ALBM. Speed mach 10, range 2000km (from point of release). Can be fired from mig 31K, Tu-22M3M Backfire bomber or Su-57 Felon fifth-generation fighter aircraft.

Haya makitu ndio yaliyomfanya Biden afkirie mara mbili swala la kupeleka ndege za Poland kwa Zelensky





Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Vifaa vingi vya Russia ambavyo ni advance vipo Kwenye majaribio kumbuka kutengeneza Ili viwe deployed Kwenye operation yahitaji fedha na Russia hana hizo Hela unazofikiri.
Nuclear zilizopo ni za tangu enzi za USSR!0
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…