Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Hao Wayukraine wa nanyumbu mpaka uwatwange kama mpunga ndio unaweza kuwatenganisha na upumbafu wao kama utenganishapo makapi na mcheleAkili mtu wangu, akili!
Military expenditure
China 200b usd, Russia 60b usd
Militart strength
China 3rd, Russia 2nd
Unajua hesabu za cross multipilication. Unafikiri nini kitatokea endapo Russia akafikisha 200b usd of military expenditure!?
Unasema Russia hana hela!? 60b usd in military expenditure alf unasema hana hela. What abt UK ambaye yuko less than!? Naye pia hana hela!?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ndege za kivita za urusi zilipita anga la sweden usiku wa kumakia leo huu ni muendelezo wa kuitia aibu mifumo ya ulinzi ya marekaniView attachment 2169985
zilikuwa zimepachikwa mabomu ya nuclear
Mzee wa porojoView attachment 2169972View attachment 2169970View attachment 2169971hii s 300 ya ukraine haikulipuliwa ila ilipigwa jamming mpaka active ya batteries zikapata joto kali na kuungua
Afu kuna kenge watakuja hapa na shobo kibao kuwa USA na EU ndiyo superpower Nations [emoji16]
Lakini bado huwa siamini kabisa DW, VOA, BBC, CNN, ALJAZEERA, FRANCE 24 HRS maana huenda wakawa wameipindisha sana hii habari kuwanufaisha wao kumbe kiuhalisia RUSSIA ndiye mwenye faida nyingi sana katika hiyo biashara ya gesi [emoji3526]
Tukiwambia pro Putin hamna akili mnalia lia sasa wewe umekisoma hiki ulichojMambo ni yaleyale........tena wanapitisha pesa kwenye benki ya mrusi ambayo hawajaifungia huko kwao..........hawaendi na ruble ila kinachofanyika ni kama wanauziwa ruble kwa pesa yao......kwahio lazima mrusi atayabase mafuta yake na gesi kwa pesa yake halafu hao walete pesa zao zenye thamani inayoendana na idadi hio ya ruble.......kabla ya hapo base currency ilikua ni dola................mrusi systematically anaipa nguvu sarafu yake....View attachment 2169886View attachment 2169887View attachment 2169888
TBCCM ....Mkuu Media Za Mabeberu Hazinatofauti Na TBC [emoji16]
Sababu wameuleta wao wew bwana kila saa msaada msaada hujishangai
Hujui maana ya msaada go and enlighten yourself utanishukuru baadaeHujui hata ARV mnapewa kwa Msaada wa Marekani
Brainless and brainwashed kwelikweli hawajui hzo n propaganda na useless politics mwanzo walisema Ukraine is winning Pro NATO masikio juu wanaamini they think Russia is Syria or Libya[emoji23]Na naongezea hapo hapo jomba hiyo nchi anayoiita maskini Kibabu Biden kinajua kua ni ya 11 kiuchumi duniani.
View attachment 2169889
Ye nani kuiita nchi masikin? Hawa Pro NATO na Pro USA tukiwaambia wana uwezo mdogo wa kufikiri wanasema tunawatukana.
Kauli za viongozi wa kimagharibi wanasema wanashambulia uchumi wa Russia kuudhoofisha...
Sasa kama nchi ni maskini kama anavodai, hao wanaokunjana mashati na Raia wao kuudhoofisha Uchumi wa Russia, wanadhoofisha uchumi upi kama kweli Russia Maskin?
Kwanza jua kwamba military budget za nchi nyingi haswa za kidikteta waga ziko underestimated. Hio 60bn unaweza pata ni marakumi zaidi
Pili, urussi haina ubavu kiuchumi kujitanua na marekani katika bajeti ya jeshi.
Tatu kumbuka marekani inakambi nyingi za kijeshi DUNIA nzima ambazo ni gharama kuziendesha. Usisahau na misaaada ya silaha na mafunzo wanayotoa ulimwenguni
Sema US kasema hawezi kupeleka new technology ukraine, maana zinaweza kukamatwa, ata hizo Juvenile ni za zaman ndo mana kapelekaRUSSIA anamtia aibu USA asee teknolojia zake zimeonekana weak sana mbele ya Russia. Airdefense za US zimefeli kabisa kumzuia Mrussi mpaka anaforce turkey apeleke S-400 ya Mrussi pale ukraine[emoji28][emoji28].
Nasubir mapovu ya wa NATO[emoji28]
Zelensky chenga tu nilijua anapanic ovyo ovyo toka siku ile alipotoa hizi kauli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mzee wa Green Screen leo kaja na mpya... Eti wale mabalozi wake nchini Morocco na Georgia walioshindwa fanikisha kupata msaada wa silaha, Vikwazo kwa biashara za Warusi watafte kazi nyingine za kufanya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na bado kuna wanadai wanashinda.
View attachment 2169973
Zelensky recalls Ukrainian ambassadors in Morocco and Georgia for failing to secure anti-Russian sanctions and arms supplies from the countries they are in.
‘There are those who work together with everyone for the defense of the state. So that Ukraine can win its bright future. We appreciate the work of each person.
And there are those who waste time and go to work only to stay in their important position. Today I signed a first decree to recall these people, such as the ambassador of Ukraine from Morocco and the ambassador from Georgia. With all due respect - no weapons, no sanctions, no restrictions on Russian business? Please look for another job.’
Naamini unajua sababu ya Russia kupunguza vikosi vyake Kyiv kama unafuatilia mambo hilo halihitaji kuwekeana evidence hapa zishawekwa nyingi toka juzi kwenye kikao chao.Picha za kuokoteleza moja moja , zingine za mwanzo wa conflict ili kujifariji , hata hvyo casuality ya hvyo ni kawaida mana tupo vitani , tunachojua sa hv Russia ana retreat kuikimbia kyv , alaf leteni reality show kama hzi , na mjue Tu tank moja ikipigwa inaua more than 4 russian elite soldiers....
View attachment 2169979
View attachment 2169980
Alafu kibano cha sanction kinaendelea [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2169982
Ndo mjue kuna superpower mmoja tu duniani [emoji12]
[emoji3]Putin huyu amebatizwa hilo jina na raia wa ukraine
Marekani mbona hawajui Hilo?wakisikia Russia wanaanza kuweweseka alafu Kwa vifaa vya jeshi hakuna nchi inyoikaribia RussiaHii Russia yenye vifaa vya kijinga ambavyo vinalipuliwa kila siku?Ukiondoa nuclear stockpile Russia uwezo wake wa kijeshi unawalakini[emoji848]