Mimi nilishaacha kujibu hawa watu baada ya kugundua pro NATOAMERICA ni watoto .Kuuliza 'Russia ana silaha gani bana?' Kutamfanya mtu asikujibu maana suali ulilouliza linaonesha itakuwa ngumu kuelewa jibu! Mtu anayejua military 'stuffs' hata layman hawezi kuuliza swali kama hilo. Wewe ni beyond layman. Hatuwezi kumfundisha mtoto hesabu za aljebra wakati yeye yupo kwenye '...unaweka moja kichwani...'
Kaa hapo hapo kwenye 'Russia ana silaha gani bana?'
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hujuii lolote kuhusu dictatorPopularity ya madikteta infaa kuchezea 90%, sasa ya Putin ni 70%. Hio inamaana amepoteza umaaru mwingi sana.
Vvp is above their level vibaraka wa US hawawez elewaImepanda kutoka 60%s kabla ya vita mpaka 70%s kama hiyo kwako inamaanisha kushuka basi mambo yanastaajabisha zaidi huko kwenye 'perspective' yako.
Russia chini ya VVP imeheshimika sana duniani. Kuanzia kumkingia kifua Assad huko syria, maduro Venezuela, Crimea, na sasa Zelensky. Si umewahi kusikia influence za Urusi kuwin host ya WC mpk kina Blatter wanajiuzulu. Umesahau operation Lakhta iliyoamriwa na VVP mwenyewe kuinterfere uchaguzi wa marekani na kumuweka raisi wanayemtaka hahaha.
Undisputed Putin [emoji91]
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Huo usingizi wa Pono hawezi hata kukubali Kama amelala akikubali saana atakwambia kafumba machoThese and are fake news from the mainstream media.Hivi mtu na akili zako unaamini taarifa kutoka the Daily Express kweli,hayo si magazeti yao,unategemea waandike nini?Wake up,umelala sana!
Wanalala snaa hawa watuHivi Ukraine ni kibaraka wa Nani vile?!?!
Fact [emoji635]US hana teknology yoyote ya kumzidi Russia. Bora uniambie Israel ntakubali
Kutengeneza na kuwa na technologia ya kuweza kutengeneza ni changamoto mbili tofauti. Unaweza kutengeneza kwa kutumia technologia ya mtu. Siku akisema hakuna ujue ndo mwisho wako. China bado hajamaster technologia nyingi. Anazo ila kwa kukodishiwa kutoka marekani na ulayaHaya sio kweli, zilikua ishu za biashara tu ili mchina adondoke semiconductor mzalishaji mkubwa ni mmarekani akiwa anazalisha 44% zinazotumika duniani na mchina yeye anazalisha 5.6% zinazotumika duniani, ndege nazo mchina anazalisha na ni wa 10 kwa uzalishaji duniani kwa sasa hakuna kinachomshinda mchina walikua nyuma zamani sio leo tusidanganyane
Hapo Ni saw nakuanza kumfundisha kuvuka barabara babu aliyekulia kijijin Serengeti maisha yake yote[emoji3]Kuuliza 'Russia ana silaha gani bana?' Kutamfanya mtu asikujibu maana suali ulilouliza linaonesha itakuwa ngumu kuelewa jibu! Mtu anayejua military 'stuffs' hata layman hawezi kuuliza swali kama hilo. Wewe ni beyond layman. Hatuwezi kumfundisha mtoto hesabu za aljebra wakati yeye yupo kwenye '...unaweka moja kichwani...'
Kaa hapo hapo kwenye 'Russia ana silaha gani bana?'
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Most of them are totally brain brashed you can't liberate themMimi nilishaacha kujibu hawa watu baada ya kugundua pro NATOAMERICA ni watoto .
Я был там пять лет назадГде в России ты живешь
yeah hasa semiconductorsKutengeneza na kuwa na technologia ya kuweza kutengeneza ni changamoto mbili tofauti. Unaweza kutengeneza kwa kutumia technologia ya mtu. Siku akisema hakuna ujue ndo mwisho wako. China bado hajamaster technologia nyingi. Anazo ila kwa kukodishiwa kutoka marekani na ulaya
hahahaa sio wapuuzi mkuu lazima tuheshimu mawazo yao ila kwe ukweli tunasemaUsibishane na hao wapuuzi
Unajua nanotechnology ni nini!? Unaonekana hujui.Sijakataa kuwa hizo kampun haziwez andika circuits ktk level ya manometer na nkakutajia kuwa znaandika kwe size ya 45 lkn haziwez kuandika kuanzia size ya nanometer 10 na kushuka ambayo ni msingi wa hoja yangu but kila unapojibu unazunguka haujbu ni kampuni gani ya urusi ina fab ya kuandika nanometer 10 na kushuka, huwez andika hio size bla ultaviolet lithography machine, umetoa maelezo mengi sn but kuwa specifc just mention one russian fab inayoandika chip yenye size ya nanometer 10 na kushuka just one, kila mtu ana internet ataangalia, km huwez taja moja tu basi, mi ntakutajia samsung ,intel na TSMIC ukigoogle utasoma vzuri, ulizotaja ww zote hamna ht moja inayoandika kwa size hiyo, sjui ht tunabishana nn, unataja hizo lithography techs as if kila lithography tech znaandika size zote, ndio maana wantk kumuwekea sanctions asiagize advanced chip ambazo yy hawez tengeneza
Western Sanctions Aim to Cut Off Russia from Critical High-Tech Goods
President Joe Biden has asked Singapore, Japan, and Taiwan – all three being major producers of semiconductors and other high-tech products – to support severe sanctions and export controls against Russia as its invasion of Ukraine intensifies.www.forbes.com
Watapita kimya hapaKremlin decree indicates foreign currency can still be used to buy gas
A Kremlin decree, published by state media, says “unfriendly countries” can continue to pay for natural gas in foreign currency through a Russian bank that will convert the money into roubles.
It sets out that a designated bank will open two accounts for each buyer, one in foreign currency and one in roubles.
The buyers will be able to pay in foreign currency and authorise the bank to sell that currency for roubles, which are placed in the second account, where the gas is formally purchased.
Pro Putin, US Dollar ni issue nyingine