President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Hilo sio kweli, mwenye patent right anaweza asiwe innovator Marekani wanaongoza kwa kununua technology zinazokua innovated nchi zingine, kwa sasa China iko mbele kwa technolojia nyingi ndo maana wamefikia hatua ya kuwaza kuunda vitu vya ajabu, wana space station ya kwao baada ya kukataliwa na marekani wasijiunge ISS halafu unakuja kutudanganya hapa bila data, Huawei wamewekewa vikwazo ila sababu network ya kiwango cha 5G wao walikua mbele na haijawazuia Huawei kutengeneza simu, kampuni moja kutegemea vipuri kutoka kampuni nyingine ni swala la kawaida kabisa ili kuokoa muda na kupunguza gharama za uzalishaji. TUSIDANGANYANEKutengeneza na kuwa na technologia ya kuweza kutengeneza ni changamoto mbili tofauti. Unaweza kutengeneza kwa kutumia technologia ya mtu. Siku akisema hakuna ujue ndo mwisho wako. China bado hajamaster technologia nyingi. Anazo ila kwa kukodishiwa kutoka marekani na ulaya
Ohoooooo ...bei ya mafuta ya kula Mungu wangu .... Itazidi kupanda ...The Cabinet of Ministers of the Russian Federation has temporarily banned the export of sunflower and rapeseed seeds, the press service of the Russian government reports.
Galip SV Liwagu View attachment 2170739
Hakuna nchi ya kinafiki kama Marekani, kwa hiyo hiyo mbolea wataenda kulipia kwa Rubl sio ?Washington has eased sanctions on Russian agricultural products, including fertilizers, placed on Moscow over the crisis in Ukraine. The move aims to protect US farmers from a shortage of chemical products as food prices in the country continue to soar.
The Office of Foreign Assets Control (OFAC) of the US Treasury recently published a new general license dated March 24, which effectively removed restrictions on the import of Russian fertilizers.
The document authorized transactions relating to the exportation and re-exportation of agricultural commodities, banned last month by Washington’s ‘Russian Harmful Foreign Activities Sanctions Regulations’.
The list of agro-related products now exempt from sanctions includes food for humans, live animals, vitamins and minerals, food additives and supplements, seeds for food crops, fertilizers, and reproductive materials.
READ MORE: US ramps up imports of ‘banned’ Russian oil
Exemptions also cover medicine, medical devices, software updates, and replacement parts for medical devices and Covid-19-related medical components. Analysts say the EU may soon mirror the measure
Rt.com
====
Taratibu tutaanza kuelewana.
nafikri problemaa kwa ulaya ni gesi mafuta sio saw na ges[emoji631][emoji921]As the Biden administration announces the release of a record 1 million barrels daily from its oil reserves over the next six months to alleviate a supply crunch, Donald Trump says it will not lower prices but instead will deplete the nation’s strategic stocks.
Trump gave his own administration credit for building up American oil reserves to 100% during a period of low prices, and argued it should only be used for large-scale emergency or conflict.
"He’s going to take what we so carefully and magically built, and what will be a futile attempt to reduce oil and gasoline prices. They will soon bring it down to empty again," he said.
Ruble ni kwa bidhaa ya mafuta na gas Lakini, wamesema kuwa hao nchi ziso rafiki zikizidi kuzingua, ruble itaamia kwenye bidhaa ya chuma na kadhalika...sasa mbolea yaweza kuwa kwenye kundi la kadhalika.Hakuna nchi ya kinafiki kama Marekani, kwa hiyo hiyo mbolea wataenda kulipia kwa Rubl sio ?
Спасибо брат, приятноПривет, товарищ
добро пожаловать в дебаты
Dunia hii tuliyopo na miaka hamsini mbele itaendelea kutawaliwa na technoogia ya mzungu. Huawei yupo mbele kwenye technologia ya 5G ila ataenda nayo wapi wakati kafungiwa kwenye soko lenye hela? Uchumi wa nchi za magharibi unaruhusu watu kununua luxury tofauti na uchumi wa china ambao bado haujastabilize. Serikali ya china ikiacha kuusapoti uchumi wake kwa kutokupump hela nyingi kwenye ujenzi na bond ule uchumi wao utapungua asilimia za kuongezeka. Kwa sasa bado kwenye technologia china hajafika na ndio maana haichukui Taiwan kwa nguvu. Siku china akifika unapopasema Xi anatuma jeshi fasta kuichukua Taiwan maana hataogopa sanctions kwenye eneo lolote. Xi ni katili kupita maelezo ila bado anacalculate risk maana anajua hana uwezo bado kwenye higher technology. Bado uwekezaji ambao marekani ameufanya kwenye vyuo vyake ni mkubwa kiasi kwamba ukiwa tu genious ukienda kusoma kwao mara nyingi hurudi maana watakung'anga'nia.Hilo sio kweli, mwenye patent right anaweza asiwe innovator Marekani wanaongoza kwa kununua technology zinazokua innovated nchi zingine, kwa sasa China iko mbele kwa technolojia nyingi ndo maana wamefikia hatua ya kuwaza kuunda vitu vya ajabu, wana space station ya kwao baada ya kukataliwa na marekani wasijiunge ISS halafu unakuja kutudanganya hapa bila data, Huawei wamewekewa vikwazo ila sababu network ya kiwango cha 5G wao walikua mbele na haijawazuia Huawei kutengeneza simu, kampuni moja kutegemea vipuri kutoka kampuni nyingine ni swala la kawaida kabisa ili kuokoa muda na kupunguza gharama za uzalishaji. TUSIDANGANYANE
Mafuta na oil !!?? Mzeee shuka kwenye bodaboda uandike ukiwa umetulia basi ...Ruble ni kwa bidhaa ya mafuta na oil. Lakini, wamesema kuwa hao nchi ziso rafiki zikizidi kuzingua, ruble itaamia kwenye bidhaa ya chuma na kadhalika...sasa mbolea yaweza kuwa kwenye kundi la kadhalika.
У нас есть память о холодной войне. Мы танзанийцы, помните, как Россия помогала нашим военным. Я помню БМ-21Слава России! Путин должен продолжить спецоперацию по демилитаризации и денацификации Украины любой ценой
Oil na gesi!! Ha ha haall tupo mlima manyani na bodaboda ndiyo sababu!Mafuta na oil !!?? Mzeee shuka kwenye bodaboda uandike ukiwa umetulia basi ...
Kama viburi PRONATOAMERICA SI walipue tu hizo pipeline ..... Urusi abaki na gesi yake..... Wameleta upuuzi Russia kafanya ujinga
Clone of JF. Fikiria zaidi ya hapo. Try to be innovative.