Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu hebu tenga muda utuandie vizuri kuhusu hii mada, naona taarifa nyingi za pro Russian wa hapa Tz zina ujinga mwingi.
Hakuna mtu hapo Alie ishi Russia, Hao ndio walio lipwa Embassy, Kaja na mbwembwe ili awateke wenye akili ndogo, Hakuna mtu anayejua akaja na style hii. Tumia akili za darasa la saba tu kutambua hili
 
Kuna mwehu Mmoja nilimwambia aniondolee ujinga eti linakaza shingo subiri ifike midnight Urusi atakiona kutoka NATO na EU.... na lipo kisii tu Hapo sasa najiuliza midnight bado tu .... Yaani Kuna watu VICHWA vikubwa kama BOGA AKILI ULEZI ...
Halafu hawashangai taarifa zote za mlipuko zinatolewa na russian medias.
 
Putin deadline imepita, swali kwa pro Moscow
~ Ni nchi gani EU imefata masharti yake
~Je urussi inaweza survive bila pesa za EU
 
Nimekuelewa.
 
Biden kumwaga mapipa milioni moja ya mafuta (kutoka hifadhi ya taifa ya mafuta)kwenye soko kwa kipindi kijacho cha miezi 6. Katika kipindi hiki cha miezi 6 uzalishaji utaongezeka kufidia pengo la mafuta ya Vladimir Putin. West imejipanga kweli kweli. Vladimir atasubiri sana hostile nations kununua mafuta kwa rubles. Kapewa middle finger.

“Today I’m authorising the release of one million barrels per day for the next six months – over 180 million barrels,” Biden told reporters from the White House on Thursday afternoon.
“This is a wartime bridge to increase oil supply until production ramps up later this year. And it is by far the largest release from our national reserve in our history.”
 
Ficha ujinga wako .kwenye Uzi wako huo unauliza hypersonic halafu ndio uweze haya mengine unakichwa Cha kuku hakibebi mzigo ....
 
 
Wakati umefika wa Ukraine kulipua mabomba ya mafuta na gesi yanaotoka urussi kuelekea EU.
 
Wewe si fundi wa kugoogle laser wakati hypersonic haujui ... Google sasa kama Urusi hana ....
 
Wamejaribu mwenzenu anayo ...we ni KIAZI KITAMU
 
Muongezee hii

Russia started its airborne laser weapons program in the 1970s, with plans to use an aircraft-mounted laser as an anti-satellite weapon.
Kuna matoto majinga sana Bora ubadiriashane na Gunia la mkaa utapikia ... yaani nilienda kwenye Uzi wake huo nikawasoma nilipofika tu pale wanaulizana kwani HYPERSONIC MISSILE ndio ikoje inatofauti Gani na missile zingine nkaona hili darasa sio langu ntawachanganya Hawa watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…