Kwani Roots ndio wenye mafuta mkuu.Yaani Watanzania sijui mkoje,mmeharibika mpaka mambo ya msingi mnayaingiza kwenye ushabiki wa Yanga na Simba!!Poleni sana,you need to be serious.Kuvunjwa Bomba ni kupoteza muda na ujinga TU,
Dawa yake ni kuacha kununua mafuta ya Urusi na pia kama mmaweza kausheni hayo mafuta ardhini,
Na ikiwa mkiacha kununua atauza kwa nchi nyingine kama Uchina India na mataifa mengine.
Wanunuzi sio nyinyi TU.
Hongereni kwa ushindiHaya endelezi ngebe tumeonesha twaweza ingia hadi kwenu, mkileta ujinga tutawalipua hadi moscow
Wachambuzi feki hao. Get your facts straight ->Wachambuzi wa uchumi wanasema hiyo ni kama kumwaga gunia la sukari baharini!
Demand ni mapipa milioni 100+ per day!Sasa hayo mapipa milioni 1 yatareplace vipi Pipa mil 100+!
Biden anahaha maana Kuna uchaguzi unakaribia hivyo anajaribu kupunguza makali Kwa wananchi wake!
Kwanini walipue?Mzee mwenzangu wa "wazee wa mikeka" ... Hilo nimelisema zamani sanaaa kama NATO na EU ni viburi na wapo serious si walipue mabomba. Naona ndio mmeanza kuja nalo ... Lipueni Mzee mwenzangu ndio mtajua KWA NINI KUKU ANAKUNYWA MAJI LAKINI HAKOJOI.View attachment 2171372
Sijakuelewa wame ukanyagaje moto... Na nikina nani hao...?SASA WAMEUKANYAGA MOTO.
Sijui nisemeje, ila una uelewa finyu mno kwenye mambo hayo.Kukomesha kiburi cha Urusi ni hizo bomba kuvunjwa
Nina wasiwasi Russia itakuwa imepiga yenyewe. Yaani hii taarifa wa kwanza kuitoa ni wao wenyewe na siyo Ukraine.
No need kulipua mabomba, Vladimir apewe hizo takataka zake. Ndani ya miezi sita West watajenga mfumo madhubuti wa nishati usiotegemea mafuta wala gesi ya Urusi. Putin atakoma kutisha kuangamiza dunia kwa mabomu ya nuklia. Ataangamia yeye kabla ya dunia-huo ndio ukweli.Kwanini walipue?
Muongezee hii
Russia started its airborne laser weapons program in the 1970s, with plans to use an aircraft-mounted laser as an anti-satellite weapon.
Wewe si fundi wa kugoogle laser wakati hypersonic haujui ... Google sasa kama Urusi hana ....
Smile biyach
Kuna matoto majinga sana Bora ubadiriashane na Gunia la mkaa utapikia ... yaani nilienda kwenye Uzi wake huo nikawasoma nilipofika tu pale wanaulizana kwani HYPERSONIC MISSILE ndio ikoje inatofauti Gani na missile zingine nkaona hili darasa sio langu ntawachanganya Hawa watoto.
Anaelewa huyo basi tu anakaza ndongaUnaongelea nn hapa? Una taarifa yoyote ambayo umeona Russia ameingiza meli ya mafuta toka taifa jingine? Sasa nenda USA hapo wanaiport Crude Oil toka Russia tena hapa karibuni wameiport kwa wingi sana toka vita ianze ili wawe na akiba ya kutosha ya mafuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii habari imetangazwa na Urusi yenyewe kwa hiyo ina walakini mkubwa sana kama ni kweli au kuna lengo fulani linalo kusudiwa.Njia nyingine ya kujua kinachoendelea katika hii operation ya Urusi kwa Ukraine ni kupima majibu ya wafuasi wake kwa kuangalia aina ya matamshi wanayotoa wanapoielezea Urusi kwa wanaowakwaza.
Kuhusu Urusi kulipuliwa maoni yangu ni kuwa kuna watu hawataki hii vita iishe na hao watu si Urusi. Sidhani kama Urusi amefanya igizo la kujilipua.