Anayeuza gesi sana (Qatar) alishasema haiwezekani kureplace gesi ya urusi inayotakiwa ulaya! Kama EU wakiachana na gesi ya Russia option nzuri ilobaki ni qatar na ndio hao wamesema haiwezekani kumreplace kwenye soko la energy duniani.Mimi nimesema demand ya EU per day kutoka Russia!US si anatoa reserve yake Kwa EU kureplace utegemezi Kwa Russia!Sasa 15 bil cubic meters ni chache kulingana na 150 bil cubic meters anazotoa Russia!
Demand ya EU per day kutoka Russia ni barrel mil 100+!
Mfumuko wa bei hautakwepeka iwapo Russia hatauza gas yake!US hawezi kureplace gas ya Russia anayowauzia EU!
Huyo ndio hafai kbs bora hata PutinHuyu Dmitry Medvedev mwanzo nilikuwa namchukulia poa kumbe nae kauzu atari [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]....
inawezekana ila sio rahisi hivyo hasa kwa helicopters kuna military jets zinaweza zikafanya hivyo nausiulize mara mbili x2, lakini kama ni helicopter aisee especially amid hii millitary operation nitakuwa mtu wamwisho kuamini hiloEvidence ndo hizi, Russia is very weak, MANPAD moja ingetosha kuziangusha.
Mzee nataka nikuekeze kidogo tu. Tuanze kama ifuatavyo:-Trivial matter- google energy conversion systems .
Warusi waongo sanaWachambuzi feki hao. Get your facts straight ->
EIA’s preliminary data for 2021 indicates that U.S. total petroleum production averaged about 16.582 million barrels per day (b/d), which included:
- crude oil—11.185 million b/d
- natural gas liquids—5.397 million b/d
- biofuels and oxygenates—1.145 million b/d
- refinery processing gain—0.954 million b/d
Total U.S. petroleum consumption (reported as product supplied) averaged about 19.782 million b/d in 2021. The difference between petroleum consumption and production is mainly composed of net imports (imports minus exports) of petroleum and changes in petroleum inventories.
Let freedom ring:To life,liberte' and pursuit of happiness.
Wazungu wajanja sana hawatalipua maana wanajua Putin hatakaa muda mrefu, wanaweza kubali umia kwa miaka 5 ila Urusi itaumia muda mrefuNo need kulipua mabomba, Vladimir apewe hizo takataka zake. Ndani ya miezi sita West watajenga mfumo madhubuti wa nishati usiotegemea mafuta wala gesi ya Urusi. Putin atakoma kutisha kuangamiza dunia kwa mabomu ya nuklia. Ataangamia yeye kabla ya dunia-huo ndio ukweli.
Ngoja PRONATOAMERICA media zingechachamaaa nayo kinomanoma ... Zamani wakati bado Kuna ubabe tulikuwa nikupita mbele yako najipiga mtama paaa .naanguka na wanafunzi wanaona nakushushia kichapo... Na ulienda Kwa mwalimu nakushinda nnaushahidi umeanza kunipiga mtama (kumbe nimejipiga mtama)..... Tatizo kichwa yako ni OPEN-ENDED PIPE ... Kinachoingia upande wa kwanza kinatokea upande wa pili ..kichwa yako haiifadhi kitu.Governor wa urussi amekubali we mkaazi wa kwa mpalange ni nani upinge.
Poland akiwapa Ukraine zile ndege 28 Urusi atapata taabu maana atapigwa ndani.... Hapo ndo Nukes zitatumika kwa mara ya 2Kuna taarifa kuwa Ukraine imeshambulia ndani ya Russia
Hii Habari imeripotiwa na BBC, Reuters na Shirika la Habari la Urusi
Ukraine denies attacking fuel depot inside Russia, mayor says fire almost out
Russia accused Ukraine of carrying out an air strike against a fuel depot in the Russian city of Belgorod on Friday, an incident the Kremlin said could affect peace talks, but a top Kyiv security official denied responsibility.www.reuters.com
Jana Jeshi la marekani lilithibitisha msaada wa Silaha umefika Ukraine zikiwemo Helcopter, Habari bado haijathibitishwa na Jeshi la Ukraine ila Gavana wa jimbo lilishombuliwa anasema ni Helcopter za Ukraine..
Nadhani kama hali ndio hii endapo Ukraine watapewa Ndege za kijeshi basi watashambulia Ikulu ya Russia, this is very worrying to Russia
Mikataba iheshimiweRussia’s Gazprom says gas exports to Europe via Ukraine continue
Russian state-owned energy giant Gazprom has said it was continuing to supply natural gas to Europe via Ukraine in line with requests from European consumers.
The company said requests stood at 108.4 million cubic metres (mcm) for April 1, down from 109.5 mcm a day earlier.
Watanzania acheni kujidanganya EU na Ulaya ni Mataifa yenye uchumi mkubwa sana, kwa sasa wanaweza kutunishiana misuli na USA labda na China ila si Russia...
Kwan kwasasa RUSSIA ni STRONG !!!??A weaker Russia is good for the world
Kwamba unabishana na waliotoa taarifainawezekana ila sio rahisi hivyo hasa kwa helicopters kuna military jets zinaweza zikafanya hivyo nausiulize mara mbili x2, lakini kama ni helicopter aisee especially amid hii millitary operation nitakuwa mtu wamwisho kuamini hilo
Vladimir hodari wa kucheza disko toto! Mwisho saa kumi na moja jioni🙂🙂
Mzee nataka nikuekeze kidogo tu. Tuanze kama ifuatavyo:-
As a laser travels to its target, “it encounters atmospheric effects that distort the beam and cause it to lose its focus.” Particles in the atmosphere such as water vapor, sand, dust, salt, and pollution can all absorb or refract a laser’s energy, and thermal blooming is of particular concern in high-power laser weapons.
First, a laser can only stop a missile if it generates enough energy to cut into its electronics package. By adding a harder, thicker layer of outside shielding, adversaries can strengthen a missile’s “skin” and prevent it from being disabled.
Second, lasers can only focus on one target at a time. An adversary could simply launch a salvo attack to oversaturate laser defenses.
Third, laser weapons can only destroy targets in their line of sight. This means most systems would be unable to target low-flying cruise missiles. Moreover, line-of-sight systems are restricted by the curvature of the earth and risk letting targets get away over the horizon—a limitation not faced by heat-seeking kinetic interceptors.
We ni mwehu ....BREAKING NEWS: How the Armys recent successful laser test could change the future of warfare
In December, the U.S. Army successfully tested a vehicle-mounted laser, destroying more than 90 mortar rounds and several unmanned aerial drones. HEL MD Success Video 2013 - YouTube And an Army official tells Yahoo News that the test could have broad implications for the future, giving the...www.jamiiforums.com
Silaha za laser "Laser weapons" ndio silaha zinazotegemewa kuwa silaha za viwango vya juu zaidi duniani kuyasaidia majeshi dhidi ya makombora yote katika karne ya 21.We ni mwehu ....
HakikaWanyukane tuu , maeneo ya kufyeka fyeka na kujimilikisha yameisha sasa hivi ni kuanex tuu .
Na si Jambo jipya Toka enzi na enzi .. vita vimepiganwa na vita vitapiganwa.
Survival of the fittest
Hakuna kitu kigumu kama kumwelewesha mfuasi wa jua linakozamia. Ngumu mno tena mno.Mimi nimesema demand ya EU per day kutoka Russia!US si anatoa reserve yake Kwa EU kureplace utegemezi Kwa Russia!Sasa 15 bil cubic meters ni chache kulingana na 150 bil cubic meters anazotoa Russia!
Demand ya EU per day kutoka Russia ni barrel mil 100+!
Mfumuko wa bei hautakwepeka iwapo Russia hatauza gas yake!US hawezi kureplace gas ya Russia anayowauzia EU!
Nothing like that. Mzee nakushauri ujifunze. Hata hivyo laser weapon Russia wameanza kutengeneza miaka ya 1970s.Silaha za laser "Laser weapons" ndio silaha zinazotegemewa kuwa silaha za viwango vya juu zaidi duniani kuyasaidia majeshi dhidi ya makombora yote katika karne ya 21.
Silaha za laser ni silaha za aina gani?
Silaha za laser ni silaha zitakazokuwa zinatumia nguvu za miale ya laser kuharibu mifumo ya vifaa vya kijeshi kama maroketi, helicopters, ndege, rada, makombora n.k ishindwe kufanya kazi zake, kutembea au ishindwe kulipuka kama ilivyokusidwa kwenye target yake pale miale hiyo ya laser inapoelekezwa katika vifaa hivyo.
Hizi ni silaha mojawapo katika kundi la silaha zinazoitwa Directed Energy Weapons (DEW), nyingine ya silaha katika kundi hili zitakuwa ni za microwaves, particle beams na sound beams.