Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu, endapo russia asingekuwa na nukes, UK, France, German n.k zingeweza kumtoa putin kwa mtutu madarakani.
Nchi kama Russia, China na North Korea huanguka from within, Hofu ya haya mataifa ni nani atachukua utawala wa Nchi mfano ni CCM.

CCM haina nguvu ya kushindana na EU au USA in terms of militarily, so Ina option kuu moja ya kuwa chama cha kinafiki Kuabstain kwenye mambo yatakayo muuzi bwana mmoja wapo.

Anayehakikisha CCM haitoki madarakani ni China na Urusi, na kuhakikisha watu Fulani wanadili na wapinzani wao Kisiasa ni watu wa Ulaya au China...

Mfano now CCM Kuna makundi mawili yaliyohakika na Bayana... Leftist (Akina Bashiru), Rightist (Akina Samia na Kikwete) Samia anatamani sana kuwalaumu Russia lakini anashidwa kwa sababu atamkasirisha bwana mwingine...

But all in all this scenario ndio itaiangusha CCM na ndio itazingusha nchi kama North Korea na Russia
 


RT ipo sema kuna watu wamefungua ac nyingi inabidi uchek yenye subscribers wengi t.me/rtnews
 
Yaani wakinitajia kingdom au empire yeyote powerful kipindi Cha medievalism kutoka Bara America wataje .. halafu wataje powerful kingdoms katika mabara mengine halafu tuone urithi wa historian unasemaje..up to current situations.. ndio maana marekani amebaki anabweka tu ... Anajua lakini Wayukraine wa Bukamdwe Mbogwe huko anakaza shingo.. eleweni dunia invyoenda ... Angalia Empire zote zilivyokuwa zinashuka na kupanda empire ambazo zilikuwa eneo la Urusi ya Leo kama imeshawahi kuwa chini ...
 

Hii taarifa niliona mitandaoni nikajua masihara kumbe kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🏀 Italy, Iceland and the Netherlands refuse to play with the Russian national basketball team in the first qualifying round of the 2023 World Cup

😨 “Following the decisions of other European countries and the statement of the President of the Italian Olympic Committee, Giovanni Malago, and after informing the Deputy Minister of Sports, Valentina Vezzali, the Basketball Federation has decided that the national team will not play the fifth match of the first qualifying round of the 2023 World Cup. A similar decision was made by the federations of the Netherlands and Iceland, ”the Italian Basketball Federation said in a statement.
Galip SV Liwagu
 
naona wanaanza kutafutana heheee
 
Betting hiii
PUT IN bado yupo yupo sanaaaa
 
Peskov: Shoigu reported to Putin that NATO countries are strengthening their military potential on our western borders. And Putin instructed Shoigu, and our Ministry of Defense is now working on this, to develop a plan to respond to increase and strengthen our military potential on the western borders. Of course, this will be done in such a way as to protect us and to maintain the necessary parity in everything, so that it would not occur to anyone, in Russian speaking, to attack us.
Galip SV Liwagu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…