Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukrainian artillerymen pick out cockroaches from shelters
 
Warusi bure kabisa Orlan 10 imefungwa na maplasta 😂😂😂

Poltava region, a local resident found a fallen Russian UAV "Orlan-10". Scotch delivers, of course
 
Vikwazo vinaanza uma baada ya mwaka, kwa sasa mwatumia reserve yenu yote
 
Nchi yenye uchumi mkubwa Ulaya ni Ujerumani ikufuatiwa na Ufaransa.

Uturuki, Canada, Iceland, Norway, Estonia, Albania, na Montenegro hawako EU ila ni wanachama wa NATO.

Huna point hapa.
Hii mijamaa huwa haisomi
 
Hawawezi fanya hivyo maana Urusi atawalipua wote na hivyo vifaru
 
Duuuhhh, kweli Putin anawaput in
 

Mmarekani ni shetani hapendi
Maendeleo ya wenzake hata siku moja sahv anampiga vita mrussi sababu ameona anapata faida kwenye uuzaji wa nishati so anachofanya kuharibu haribu.

Ukweli wa mambo marekani anaungwa mkono kinafiki sana. Ukweli ameshachokwa watu sahv wameamka usingizini hawaogopi tena.
Marekani anajivunia vikwazo ila ajue dollar yake itaenda kuangukia pua na utawala wake utaanguka.

Nchi ipo America imekuja NATO kuungana na nchi za ulaya anatafuta nini!? Akili mtu wangu kwanini asiungane na America wenzake kule amekimbilia ulaya?.

Marekani anatumia nguvu sana kuwa mtawala wa dunia anatumia propaganda kibao Africa anatuletea Vimisaada vyake ndo hvo viongozi hawana sauti.

Niliwaambia watu humu ndani zikipigwa kura za siri mataifa yote yakahusika marekani hawezi kuzidi hta 10% ya kura wanaokubali huo ndo ukweli.

Asia huko hawana time nae kabisaa hawataki hata kumsikia Africa tuko neutral kasoro SA tu ameonesha waziwazi yuko side ipi.

Marekani ushawishi wake unapungua kila siku huko NATO tu kuna wanaompinga anaforce waache kutumia nishati za Russia ili uchumi wa Ulaya ushuke yeye aendelee kuwa superior na awauzie LNG yake, sasa ulaya wameshtuka itakua ghali sana.

Hakuna marefu yasiyo na ncha na hakuna jambo lisilo na mwisho kila utawala huwa unaanguka kutokana na historia ya dunia. Utawala wa US utaanguka tu.
 
Fanya Urusi iwe Kenya ama DRC the Ukraine iwe Bongo. Ungeandika huu ujinga? Yaani wakati huo watoto wako na familia wameenda ukimbizini na hujui ni wapi, wewe uko frontlines na hujui kama utarudi salama. Kila siku Dar, Dom, Arusha nk zinapigwa mabomu. Na bandari ya Mtwara imezungukwa hakuna kutoka wala kuingia

Unadhani ungeandika hizi pumba?

Naona vita ikiwa kwa jirani inakuwa tamu eeh?

Russia na Ukraine zote viongozi wao vichwa maji tu. Wanawaza kupigania ideologies zao na sio hata wananchi wao. Kama wangekuwa wametanguliza interest za wananchi wao, hili suala lingetatulika kitambo bila risasi hata moja kurushwa, bila wakina mama wa Urusi kupoteza watoto wao vitani wala wa Ukraine kupoteza raia wake na wengine kwenda ukimbizini.

Vichwa maji wawili wa Boss Klaus wameleta shida!
 
Vishnu Gupta, the President of the Hindu Sena organisation, has slammed the Biden's administration, accusing the US President of escalating "the Ukraine-Russia Crisis" and US VP Kamala Harris of "gigglying" over the misery of "Ukrainians & Russian citizens".

The statement comes as a protest against the "continuous bullying of India" by the Biden administration, amid increasing pressure from the United States on India to adopt sanctions against Moscow over Russia's special operation in Ukraine.

🗣 "India doesn't need a history lesson from a country which invaded Yugoslavia and Iraq without even United Nations approval and has destroyed at least a dozen countries for not bending their knee to American Imperialism," a Hinda Senu press release reads
 
Binadamu sisi ni wachoyo kiasili. Tumehalalisha uchoyo kwa kujigroup na kujiita nchi. Ndani ya nchi pia tumejigroup kwa majimbo, mikoa mpaka familia ila mwisho wa siku sisi ni binadamu tu hakuna jipya zaidi ya kujidanganya ili tuuane na kunyanyasana sababu tu wachoyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…