Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Russia Strikes Ukraine With Iskander-M Ballistic Missile Attack

The Russian Ministry of Defense released video footage of a Iskander-M ballistic missile launch.

The strike video from the missile attack was released on March 30 but it could have been filmed earlier and held back for OPSEC reasons.

On March 26 Russia already released drone footage of an alleged Iskander-M missile strike on a Ukrainian Buk system in the region of Kyiv.
 

Kutumia neno urussi na Uchumi katika sentensi moja ni ubatili mkubwa.

Urussi hii moja iliopewa misaada ya vifaa vya kijeshi kuanzia 1941-1945 vyenye gharama ya 11bn$ na Marekani.
 
Ukiona mpolish kaongea ujue kwali maji yako shingoni walivyo hawampendi mrussi[emoji28]

Nieleze kwanini unaona sanctions hazifanyi kazi, ukitumia hio logic ya ruble kupanda thamani.

Leo ndo tutajua kama ulisoma ama ni shabiki maandazi
 
Umekuwa mshabiki siku hizi badala ya kuwa mchambuzi
 
Wanaelekea kupatana hawa, mbona sioni kile kichapo kitakatifu kama mwanzo? Biashara ya gesi Kati ya Russia na EU inaendelea, kilichofanyika ni kumzuga US, akili kubwa imetumika.

Ukraine kaona mwisho wa siku ni yeye anapoteza. Vita inapiganiwa kwake.. mpaka next week tutakua tunazungumZa kikao cha Putin na Zelensky, hakika somo limeonekana... watu watajifunza sana kwa hili.
 
Mbona thamani imepanda maradufu na kurejea kwenye kiwango Cha juu...Sasa hiyo valueless imetoka wapi?!?! You have to be objective sometimes ..
Rubo imeimarika kutokana na speculation ya investors wanayoikimbilia wakidhania kuwa EU watanunua kwa rubo.

Lakini baada ya muda , rubo itarudi kuendelea kuanguka kama kawaida yake dhidi ya dollar.

Rubo imetimiza vigezo zote za kuitwa valueless
 
Value imepanda kutokana na speculation ya investors wanaodhania kuwa EU watanunua kwa rubo.

Baada ya muda kama mwezi hivi, rubo itarudi kuendelea kuanguka kama kawaida yake dhidi ya dollar.
Rubo imetimiza vigezo zote za kuitwa valueless
Sio speculation ni reality. Jamaa watafungua account nyingine kwenye account za benk za kirusi ikiwemo Gazprom bank. Watalipa kwa euro then pesa itakua converted kwenye pesa za kirusi (rubles)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…