President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
67 fighters of the Armed Forces of Ukraine and neo-Nazis surrendered near Kiev. They took them off "warm", literally as soon as they were brought to the rear for filtration.
Dry food for the healthy, painkillers for the wounded - briefly about how our prisoners are treated. This is despite the fact that I alone know many in Russia who will wince from such marmalade.
Galip SV Liwagu
View attachment 2160293
NASA wanagwaya baada ya Russia kutaka kuwaacha yatima. Hii hapa ni barua yao. Russia siyo Zimbabwe
View attachment 2173712
View attachment 2173716
View attachment 2173717
Makaburi ya halaiki yameanza kugundulika Ukraine katika miji ambayo wanajeshi wa Urusi walikuwa wameikalia na sasa wameichia na kurudi nyuma.
Katika mji wa Bucha makaburi ya halaiki ya raia 300 waliouwa na majeshi ya Urusi yamegunduliwa.
Hali ya mauji ya halaiki ya raia Ukraine katika miji iliyokaliwa na majeshi ya Urusi inahofiwa huenda ikafanana na yale yaliyotokea katika vita vya pili vya dunia katika miji iliyokaliwa na majeshi ya Kinazi ya Ujerumani.
The sanctions games of the Western countries dealt a strong blow to the dollar and the euro, said Dmitry Peskov.
This process can no longer be stopped, many countries are switching to settlements in national currencies, the press secretary of the President of the Russian Federation added.
Demokrasia hiyo. Ujerumani wapinzani wanalindwa na polisi. Urusi wanakamatwa mara moja na kupigwa.Olaf Scholz booed in Essen, Germany.
During the speech of the German Chancellor, people shouted to him: “Get lost!”, “Liar!” and "Scholz must go!"
In Germany, due to rising prices against the backdrop of anti-Russian sanctions, people began to use less heating and electricity. Meanwhile, annual inflation in the country in March reached a historical record - 7.3%.
Galip SV Liwagu
Raia wa Ukraine walikua wanafanyiwa yote hayo na wanajeshi wa Ukraine pale walipotaka kuondoka via Humanitarian corridor.
Pia wanajeshi wa Ukraine walikua wanatumia raia kama human shield, na wanafanya mashambulizi wakijificha nyuma ya raia hiyo inapelekea eneo lote hilo kuwa valid military target jeshi la Russia linajibu mashambulizi kutoka eneo hilo ambalo wao wanashambuliwa hiyo pia imepelekea raia kufa.
Hivyo acha kijifariji kwamba wameuliwa na wanajeshi wa Russia wakati ushahidi unaonyesha wamefanyiwa ukatili huo na wanajeshi wao wenyewe wa Ukraine
View attachment 2173714View attachment 2173725View attachment 2173726
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwingineko wanashauriwa kwa watakoshindwa kumudu gharama wameambiwa wasitumie Berbecues (Yale majiko outdoor ya kuchomea nyama samaki n.k) Ku'heat their houses...View attachment 2173723
This is how German will live.
Ni aibu kubwa sana mpaka sasa Rashid Matumla anakwenda round ya 10 dhidi ya mshindani wake Tyson hayo mengine ni Mtu mzima anatafuta Exit plan baada ya the so called special operation kuflop.Urusi ilitangaza kusitisha operation yake ya kijeshi kaskazini mwa Ukraine ikiwemo kwenye mji mkuu kiev baada ya mazungumzo ya amani kupiga hatua kubwa baada ya Ukraine kukubali takwa kubwa la Russia la Ukraine kutojiunga na NATO .
Kilicho baki ni kukubaliana kuhusu Cremea na mkoa wa Dombas na leo waziri wa mambo ya nje wa Urusi amesema wana karibia kukubaliana.
Gharama za maisha zimepanda hali si haliNa kwingineko wanashauriwa kwa watakoshindwa kumudu gharama wameambiwa wasitumie Berbecues (Yale majiko outdoor ya kuchomea nyama samaki n.k) Ku'heat their houses...View attachment 2173745 Nimeanza kuwaonea huruma [emoji848][emoji848][emoji848]
Hiyo ni kwa upande wenu nyie mashabiki ila Rais wenu alikua anaona yanayoendelea na alishafikia hatua anatamani kuongea na PutinNi aibu kubwa sana mpaka sasa Rashid Matumla anakwenda round ya 10 dhidi ya mshindani wake Tyson hayo mengine ni Mtu mzima anatafuta Exit plan baada ya the so called special operation kuflop.
Umefika manerumango 😂Msafara wa KM 64 🤣🤣🤣🤣🤣🤣