Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mtu mzima kaumbuliwa vibaya sana,haya mengine ni blah blah tu za kutaka kuufurahisha moyo wako pia.Alivyoamua kuivamia Ukraine hakuyajua hayo yote ya kuharibu miundo mbinu na kupoteza maisha ya watu? Super power unachakazwa na mtu unamzidi kwa kila kitu,Superpower kumbe ni puto tupu liliojaa upepo.😀
 
Hapa unaona jinsi gani wananchi wa nchi hiyo wanasikitika unyama wa Putin ili wanadai viogozi wao wasimame dhidi yake, hata wakijua kuna gharama kubwa. Ila wanakumbuka historia yao; Hitler alipoanza kuvamia nchi nyingine, kaanza Austria, baadaye Chekoslovakia, hakuna aliyekuwa tayari kumzuia. Kilichofuata kilikuwa Vita Kuu ya Pili iliyoharibu Ulaya na sehemu nyingine za Dunia.
 
Putin na viongozi wake wa kijeshi wanaoendesha uvamizi wa Ukraine wanapaswa kuhukumiwa katika mahakama za kimataifa kwa makosa ya uhalifu wa kivita na binadamu kama wanazi katika Nuremberg Trial.
Niliwahi kusema, tunachosikia kwenye media ni kidogo mno cha uhalisia. Watu wengi wamekufa Ukraine, maisha ya ukraine yamevurugika, kama watalii raia wa Ukraine wapo zanzibar wanashindwa kwenda kwao sio sababu ya kukosa nauli. Muda utasema.
 
Kama Putin angeshinda kwa kishindo kwa muda mfupi Ukraine Ulaya ingekuwa uwanja wa fujo kwa sababu angeendelea kuvamia nchi nyingine zilizo jirani ambazo zina mfumo unatofautiana na Russia wa siasa na uchumi.
 
Habari ya ukraine kutoka kremlini ni kuretreat acha na hizo screenshot zako uchwara ambazo hata source id haionekan kwi kwi kwi
Nani kakwambia wanaretreat maeneo yote? Ni kyiv na chernihiv Sehemu nyingine mapambano yanaendelea.

Off topic hivi Ghost of kyiv aliishiaga wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna mtu alinibishia humu mwanzoni kwamba putin sio war criminal imekuwaje sasa
wanataka wamfikishe huko ICC?
 
Russia anamzidi nani vile ki uchumi? Hivi hata katika Top 15 Countries ki Uchumi yupo kweli.
11th mind you hapa ana vikwazo zaidi ya 2700.

Alf na uchumi wake (unaosema ni mdogo) lkn bado kijeshi hana mpinzani.
Greater Nuclear arsenal, military technology bora zaidi (missiles + air defence systems), Military intelligence etc. etc.

For the record Putin/Russia ndio anaeyeweza kuwadindia USNato&Allies popote pale ref. Syiria/Assad & Venezuela/maduro. Na yeye ndio anaweza kufanya jambo lolote bila kuhofia UsNato&Allies ref. Georgia, Crimea US election & Ukraine.

1 vs 30+ na bado anashinda. Pretty Iconic. 'Cross Multiply' ujue itakuwaje siku ikiwa 1 vs 1.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…