Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nimeona Al Jazeera,sasa sijui na wenyewe ni Western Propaganda
😀😀😀. Ingekuwa ni habari kuwa Ulaya imelipa kwa pesa ya Urusi hapa ndani tweets zingeshajaa na screenshots.
 
36-year-old "lover of the motherland" from the Abkhazian village of Kutol Akhra Kirkinadze went to Donbass from 5 children and made them orphans on 03/31/22, successfully hit by a shell
 
Sehemu kubwa ya jeshi la Russia lililoko Ukraine ni Conscripts(wanajeshi wanaopelekwa jeshini kwa lazima) na halina maafisa au uongozi unaoleweka karibu yao kulisimamia, hiyo ndio sababu imepeleka Majenerali wengi wa Urusi kuuwa baada ya kwenda mstari wa mbele kutoa na kuhakikisha amri zinafwatwa.
Propaganda hizi tokea vita imeanza RUSSIA alikua anapigwa hii halaiki kaifanya muda gani
Majeshi ya RUSSIA wameshiba mafunzo hawawezi kufanya huo unyama
Achaneni na PROPAGANDA
 
Kiev region: in a mass grave and in the sewer, the bodies of the headman of the village of Motyzhin Olga Sukhenko, her husband and son, who went missing on 23/03/22 ,
 
Duh..interesting😀
 
#Gostomel , inspection of the Russian Ka-52 helicopter, landed it another 02/24/22
 
Hawez peleka hizo tanks uko, hizo ni Abraham tanks, zina tecnologia kubwa ata kuzioperate hawawez, na pia sizan marekani anaweza toa siraha yake ambayo anaitumia sasa uko
 
We fala , ushoga wewe unakusu nini ?unampangia mtu matumizi ya mkvndu wake ?,na we si utumie wako , mpvuzi wewe
Umesahau kumuhusisha huyo unayempa elimu ya hicho kiungo. Ujumbe wako upo hewani tu.
 
Kwanini ugeuke sheikh yahaya kwa nchi za wenzako urusi sio kama family akifa baba inateteleka ukiwa unaiongelea urusi usifikiri ile ni iran
 
Inawezekana uko sahihi kwa maelezo haya
 
Umekuwa ukiwaponda Pro Russia ya kwamba hawa ongei kwa hoja badala yake wana ongea kwa ushabiki lakini na ww huna tofauti na hao unao waponda tofauti ni kwamba mnashabikia pande tofauti.

Hili ni jukwaa la kuelimishana kwa hiyo hoja ni jambo muhimu na si mihemko dada yangu.

Sasa Ukraine ina shinda vita alafu wakati huo inakubaliana na matakwa ya aliye kuvamia ili ahachie baadhi ya maeneo yako anayo yashikilia?

Ww ambaye hujui hata bunduki inashikwaje huwezi kuifundisha Urusi ugumu wa vita maana Urusi kapigana vita nyingi mno na ndio maana nchi hiyo ina eneo kubwa kuliko taifa lolote duniani hayo maeneo wameyapata kwa vita kwa hiyo ugumu wa vita anaujua.

Na siku zote vita haijawahi kuwa rahisi kwa yeyote yule tumejionea kwa Marekani na Urusi kwa nyakati tofauti walivyo shindwa vita nchini Afghanistan taifa masikini na dhaifu ,tumeshudia saudia na washirika wake wakishindwa vita nchini Yemen taifa masikini kuliko yote kwenye ulimwengu wa kiarabu ,tumeshudia Marekani akishindwa vita nchini Vietnam nchi ambayo wakati huo hata Tz tulikuwa tunaizidi maendeleo.

Kuhusu kuharibu miundo mbinu hilo halikuwa jukumu la Putin kuzuia uharibifu wa miundo mbinu ya Ukraine bali lilikuwa jukumu la viongozi wa Ukraine kukubaliana na matakwa ya Urusi kabla ya huo uharibifu kufanyika lakini badala yake miundo mbinu imeharibiwa na bado wamerazimishwa kukubali yale walio kuwa wana yakataa sasa nani atakuwa amepoteza?

Sisemi Urusi haijapoteza hapana maana imepata hasara kubwa ya vifaa vyake vya kijeshi na imepoteza askari wake jana wizara ya Ulinzi ya marekani ilikadilia hasara ya vifaa iliyo ipata Urusi ni zaidi ya $19bilion lakini kwa upande wa wamepoteza pakubwa sana Ukraine hasara walio ipata ni zaidi ya$570 billions.
 
Mpaka muda huu wanataman kuiondolea urusi vikwazo ila wanaona aibu tulisema hapa vikwazo vitawachapa wao wenyewe kuna wamarekani wa pale mabibo mwananchi walitubishia

Hao US wenyewe wanaanza kuondoa vikwazo kwa aibu, fertilizer na ngano tayari wameanza kuondoa vikwazo ili kuondoa hatari ya baa la njaa duniani, huyo mmarekani anazidi kununua mafuta toka Russia.

Pro US hadi aibu wanaona, hao UK, EU wenyewe wakiongozwa na France na Germany wanasanda taratibu.
 
Msemo wa njaa haina bausa unaenda kutimia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…