NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Ile ni mbinu ya kivita, ndio maana mpaka leo sio Marekani ama NATO anayejua mipango na mikakati ya Urussi ndani ya Ukrane.Mwambie na pale Russia walipokataa kuwa has at a is ham ilia Ukraine badala yake Yale yalikuwa ni mazoezi tu ,aliwaamini ?
Na je anapata wapi uhalali wa kuwaamini ikiwa walishawahi kudanganya mwanzo!?
Muwege mnasoma Taarifa sahihiπ€£π€£π€£ Wafinland na Wasweed wanataka kujiunga na NATOFinland amesema kwa sasa haoni umuhimu wa kujiunga na NATO.
Huko tayari hakuna hata majeshi ya US na walau mabomu yale yalokua ynapigwa na US hayapo tenaRefers to Vietnam war or Afghanistan war!
Muwege mnasoma Taarifa sahihi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wafinland na Wasweed wanataka kujiunga na NATO
Walishindwa Zalgiris vs Crvena Zvezda Red Star free live score and video stream(2022/04/03 23:59) - AiScore Basketball LiveScore.Red Star basketball players refused to participate in the Euroleague campaign in support of Ukraine
π Before the away match with Zalgiris, the teams had to raise a large banner in the colors of the Ukrainian flag with the inscription Stop war.
However, the players of the Serbian team did not do this.
As a result, Lithuanian fans booed them.
Galip SV
Ilhali mnamwona mzee, amefanya vizuri sana kuunganisha NATO. 1000x bora kuliko Trump. Sishangai Putin alijaribu kumsaidia Trump maana wakati wa Trump NATO ilidhoofika ikaonyehsa dalili za kumegeka.Mzee wangempumzisha tu, wanazidi kumvuruga tu.
Hao NATO ndio waliompigia kura?...Ameunganisha NATO lakini wananchi wake wananunua mafuta mara mbili ya bei ya mwaka jana..sasa hapo amefanikiwa nini?Ilhali mnamwona mzee, amefanya vizuri sana kuunganisha NATO. 1000x bora kuliko Trump. Sishangai Putin alijaribu kumsaidia Trump maana wakati wa Trump NATO ilidhoofika ikaonyehsa dalili za kumegeka.
Putin ni MonsterHaiwezi kurudi kwa haraka, itachukua muda kusafisha na kuhakikisha kuwa silaha zilizozagaa kwa raia hazipo ili nchi itawalike maana waasi wanaweza zaliwa iwapo silaha zipo. Raia wengine hawapo, walikimbia wasiuwawe na Puttin. Puttin ni Bully. Ametumia nafasi na nguvu aliyonayo kuiharibu Ukraine na raia wake.
Kama hujajua: wananchi wake walimchagua !! (ajabu kwako?). Hisabati yako - kumbe unafuata desturi ya kitaifa!Hao NATO ndio waliompigia kura?...Ameunganisha NATO lakini wananchi wake wananunua mafuta mara mbili ya bei ya mwaka jana..sasa hapo amefanikiwa nini?
Haha Warussi wa JF sasa havi wanajivunia uharibifu wa miuondombinu na makazi ya watu kuwa ndiyo ushindi [emoji3]Ukivamiwa na Jambazi wakakutupia mawe yakavunja vioo vya nyumba yako na kubomoa vifaa vingi lakini mwisho wakakuachia nyumba yako baada ya wewe kupigana kuwazuia, wewe ni mshindi japokuwa umepata hasara.
Unatoa wapi hizo takatakaFinland amesema kwa sasa haoni umuhimu wa kujiunga na NATO.
Basi ndo maana wanaua sana watu maana wana hasiraNjaa mbaya sana,hivi unakula vipi chakula ulichopewa na adui?[emoji848]View attachment 2174712
Ukraine na NATO wa bongo wanajivunia Nini?! Maana Ukraine imeshagawanywa Tena na muda siyo mrefu Ukraine it's kuwa nchi kasoro bahariHaha Warussi wa JF sasa havi wanajivunia uharibifu wa miuondombinu na makazi ya watu kuwa ndiyo ushindi [emoji3]