Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Usafirishaji vya vifaa vya kijeshi ni udhaifu wa Warusi. KAma ni kweli - sawa walete tu chakula na maji Mariupol, kazi nzuri.
Ila ni kitu tofauti na uwezo kupeleka vifaa wakati wake kwa wanajeshi mbele katika hali ya mapigano na miendo ya kila siku. Hapo ni dhahiri mara kwa mara walishindwa. Habari za vifaru au magari yaliyoachwa tu bila uharibifu nimeona hadi sasa.
 
Nimeishia tu Hapo "LABDA MAITI ILISOGEZWA KIDOGO" ..... niongeze Nini zaidi ndugu.
Kila unachojua, karibu!! Ajabu ni nini kama mwili unaokaa barabarani siku kadhaa unasogezwa kidogo baada ya muda? Kama gari lilipita, mbwa alivuta mguu...? Tena ni labda tu, nilivyosema: picha hizi mbili hazitohi kuona kweli (mimi nimeona, wewe huajtaja).
Wataalamu wako njiani, tusivutane. Wataalamu watapima, watajua tarehe ya kifo. Wenyewe watatambuliwa, watajulikana kama ni maiti kutoka mbali zilizosafirishwa hapa au kama ni wenyeji. Mashahidi wataulizwa, miniti zinachukuliwa. Watasema tu.
(na tusivute: washairi wa Moscow atabuni hadithi mpya.... Anunuwasov atatunga maelezo ya kuvutia, watapuliza moshi ili kufunika kila habari ambayo hawapendi;
hawatapenda sehemu kubwa ya matokeo, sivyo?)
 
Na wanaogopa kupeleka silaha nzito maana wanajua Russia atazikamata na kuzi study. Hawajiamini kabisa.
 
Ficha upumbavu wako hata mara Moja Moja sio mbaya.
 
We mwumini wa njama - ukumbuke tu huyu comedian amechaguliwa na wananchi wake. Katika uchaguzi huru . Amechaguliwa kwa kura za kweli kabisa, tofauti na rais wa nchi amabako wana JF wengi wanaishi, na tofauti na rais wa nchi inayoshambulia Ukraine...
Ikikufariji endelea kuota ndoto kuhusu "watu waliomweka". Waliomweka ni haohao wnaopigana sasa dhidi ya wavamizi.
 
Nafikri ule mfano wa mwanamke kiherehere unakufaa sana unatwangwa unaachwa upumzike unywe maji unatwangwa tena halafu unatoka Kwa majirani anipige tena aone anipigeeeeee ...unatwangwa tena hiii nchi hiii eti Hawa ndio tegemezi la familia zao. .. hasara kubwa sana
 
Sipendi kutukana mtu, Ivi unazani kuiteka nchi ni kazi rahisi sana. Hata Russia Angekuja Tanzania antenatal tabu ileile. Moja Nchi sio kijiji, Na Ukraine haina tofauti sana na Tanzania kwa ukubwa, sasa unambie wateke nchi nzima na kumbuka Russia hajatumia Full force ni operation ndogo sana

Na kwa kuwa operation ni ndogo basi ujue hakuwa na lengo la kuteka nchi, tumia akili ya kulala tu wala haitaji PHD. Na ndio mana wanapiga wanagawa chakula na matibabu alafu wanapiga tena. Ukraine sio kanchi ni nchi inawatu na ilikuwa na vifaa vya kijeshi plus missionaries plus misaada ya nje, Wenyewe wanapigana vita Russia anafanya operation.
 
Ficha upumbavu wako hata mara Moja Moja sio mbaya.
Kwa hiyo unaita upumbavu nikisema: tusubiri tu utafiti wa maiti ulio njiani? Hupendi utafiti?
sawasawa. Ikikusaidia kutoa matusi, endelea tu. Si vema kuficha hisia moyoni. Onyesha tu yale yaliyomo ndani yako!
 
The Pentagon confirmed that the United States recently successfully flight-tested a Lockheed Martin hypersonic missile. The United States, Britain and Australia intend to jointly develop hypersonic weapons, writes FT.
Galip SV View attachment 2176850
North Korea waki test silaha zao, inakuwa Ni "Threat to Global Security"
 
ha hahaaa haaa, eti russia wanafanya operation, operation wangetumia hypersonic???
 
Pole ya Nini Sasa Ndugu Mtanzania?! Yours are just defeatist arguments...Kama unadai kuwa Putin hawezi kukubali kashindwa kwa hiyo vipi kwa upande wa Ukraine je wao watakubali kashindwa?! You have to give credit to Putin and his Russia..he is fighting against 30 countries as you have mentioned NATO...Russia itashinda Vita hivi, wait and see ..
 
wameshindwa kuteka miji mikubwa? Jukwa la chitchat linakufaa humu unaongea vitu ambavyo vipo juu ya umri wako
 
Kaka mapigano hayo umeshashindwa. Siri ya Urusi kushindwa Kyiv ni maandalizi mabaya. Si chakula tu, walishidwa pia kupeleka diseli na risasi mbele. Hapo sababu ya kuacha magari na vifaru ambayo vilikuwa bila hitilafu yoyote. . . .
RUSSIA hawajashindwa KIEV ila wameondoka baada ya mazungumzo yanayoendelea TURKEY
naona mnazidi kujitoa ufahamu tu vijana eeeeeh
 
Nebenzya at the UN Security Council about the fake in Bucha and the special operation in Ukraine:

— we came to you not because of the Ukrainian lands. We have come to bring the long-awaited peace to the bleeding Donbass. Not a truce, but a real, lasting peace;

- in the version of Kyiv and the West on the events in Bucha there are big inconsistencies;

— there were no reports of corpses after the withdrawal of Russian troops, and the condition of the bodies does not correspond to the time they were allegedly on the streets;

- Ukraine's accusations against the Russian military are not supported by any evidence;

- at the same time, Russia has hundreds, if not thousands of people ready to testify about the cruelty of Ukrainian nationalists;

“Zelensky should not let the West, which is ready to fight to the last Ukrainian, realize its plans – then it may be too late: “The Russian-speaking population believed in you, whose rights you pledged to protect. But these hopes were not destined to come true.
Galip SV
 
Roman Abramovich acquired the Turkish football club Göztepe.

This is written by the local edition of D-Smart Spor. According to him, all the details of the deal have been agreed, and it will be officially announced on Friday.

Göztepe, playing in the Turkish Super League, is based in the city of Izmir. In 1950, the team became the national champion.

Earlier, we recall, the UK imposed sanctions against Abramovich, under which London Chelsea also fell. The club was given a special license to continue its activities.
Galip SV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…