NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Hii dunia imeendelea vya kutosha na kuna vitu huwezi kudanganya kirahisi. Picha za satellite zinaonesha hiyo miili ikiwepo barabarani ule muda majeshi ya Urusi yanaondoka. Kingine wasikilize wale watu waliokuwepo kwenye eneo husika usikie walichokutana nacho wakati wako chini ya majeshi ya Urusi.Ume ulizwa kwann wingereza imekaa kikao cha dharura ili kujadili hilo sakata?
Kama una akili timamu utazitilia mashaka hizi tuhuma.
Hakuna anaye unga mkono mauaji lakini sio kumsingizia mtu ili aonekane mbaya.
Yaan maiti ina siku 4 ila haijaoza wala haina damu?
Unaseam kweli. Endelea kutumia mantiki kuchambua habari ya propaganda kutoka kila upande.mkuu mwambie hivi tufanye ni kweli askari wa NATO wanapigana Ukraine sasa mbona kichaa wao Putin alisema atakayeingilia hii vita cha mtema kuni atakipata . mbona hatukioni hicho cha mtema kuni kwa NATO?
Ikikusaidia, upuuze tu. Ila usishau kuulizia vyanzo na ushahidi ukimpata tena "great thinker" (sioni wengi..). Jinsi alivyosema mwenzetu: Putin alisema atakayejiingiza ataona cha mtema kuni, hadi sasa hatujaona nchi yoyote ya NATO kuona vile.yaani uliposema.mpaka Sasa hakuna mwanajeshi hata mmoja wa NATO,Basi nikakupuuza!!!!, Haya Mambo yako juu ya uwezo wako ,hizi thread uwe unasoma comment tu za ma great thinker,pengine utajifunza kitu!! Samahani Kama nimekukwaza !!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kha sikutegemea mchana muendelee kumuabudu Putin maana mpo kwenye swaumu, nilijua utaibuka jioni baada futuru heheheRussia hapigani na Ukraine bali anapigana na NATO & The US, bado tu huwezi kumsifia?!!
Vya Mrusi vilikua vinaaminika sana hususan kwa waarabu wenye dini yao. Vimeliwa mpaka jamaa akaona isiwe tabu akageuza, akakunja mkia na kugeuza.If that's the case, basi soko la vifaru vyote duniani limeharibika, kwani sio mrusi pekee anayeunda vifaru.
Isitoshe kama ni kweli, basi huo utakuwa ndio mwanzo wa new generation of military tanks.
Wapeleke drone zao waache blah blahMarekani imesema drones za Turkey aina ya Bayraktar TB2 zilishindwa kuyakinga majeshi ya aridhini ya Ukraine dhidi ya mashambulizi ya Russia kwa kuwa mifumo ya ulinzi ya anga iliyokuwa ikitumiwa na majeshi ya Russia ilikuwa ikizidungua kwa urahisi droni hizo.
Marekani yasema udhaifu wa droni hizo ktk kuharibiwa na mifumo ya usalama ya anga na hivyo kushindwa kulinda majeshi ya aridhini dhidi ya mashambulizi ya maadui unaonekana hata ktk mapigano ya Libya ambapo jumla ya drones hizo 39 zilidungushwa na kupotea, huko Syria droni 8 za aina hiyo hiyo zilidunguliwa, droni tatu zilidunguliwa katika mapigano ya Nagorno-Karabakh, na sasa hivi wanaendelea kuzihesabu idadi za droni hizo zilizodunguliwa na majeshi ya Russia huko Ukraine.
=======
View attachment 2175672View attachment 2175673
View attachment 2177169jaman nani ana nyepesi nyepesi kuhusu huyu general wa marekan? Nasikia wamemkamata huko mariupol
View attachment 2177169jaman nani ana nyepesi nyepesi kuhusu huyu general wa .
Aaah sisi hatuhitaji wala nyepesinyepesimarekan? Nasikia wamemkamata huko mariupol
Wewe amini si lazima utulazishe kuamini wote sisi tumekataa ko kisa padre ndo hasemi uongoUshuhuda kuhusu mauaji ya Bucha unazidi kutokea. Jana niliona kwenye matangazo ya habari: padri wa kanisa kubwa alimwambia mwanahabari eti siku moja wakati wa uvamizi wa Kirusi alikuta maiti barabarani mbele ya kanisa lake. Zote zilikuwa na kitambaa juu ya kichwa, mikono ilifungwa, zote zilikuwa na dalili za kuteswa, na kuuawa kwa kupiga risasai kichwani. Aliwazika katika bustani.
Naona ushahidi wa aina hiyo utazidi kutokea. Si lazima kubishana hapa maana utafiti unaanza. Wataalamu watachunguza watapata majibu. Mashahidi wako wengi tu.