Warusi ni wajinga sanaWakati anaamrisha majeshi yake kuivamia Ukraine bwana Putin alidai anataka kuondoa Manazi wanaoiongoza serikali ya Ukraine, hiyo ilikuwa tarehe 24 March, leo ni zaidi ya mwezi hawajaweza kuondoa hata nazi moja pale Kyiv,
Tarehe 19 March mwaka 2003, majeshi ya marekani yalianza kuishambulia Iraq kwa lengo la kumuondoa Rais Sadamu madarakani eti kwa sababu alikuwa anamiliki siraha za maangamizi.
anyway, wote, USA na Russia walitoa sababu za kijinga sana kuvamilia mataifa hayo mawili, lakini wote walikuwa na objective moja, kuangusha tawala za mataifa hayo.
Tarehe 9 April 2003, serikali ya Sadamu ilianguka, ilichukua wiki tatu kwa wamerekani kutimiza lengo.
leo ni zaidi ya mwezi toka Russia waivamie Ukraine, walichofanikiwa ni kubadili malengo ya uvamizi wao
nadhani nimeeleweka nachozungumzia.
Wanasoma kimyakimya afu wanakimbilia kwenye mapangoMkuu kitu kimoja inabidi uelewe ni kwamba US na NATO hawapo tayari kushuhudia Ukrane akipiga magoti kwa namna yoyote ile kwa Urussi hata achakazwe vipi.
MaigizoUrussi avuliwa chupi tena, mnakumbuka zile habari uchwara kwamba majeshi ya Ukraine 267 wamesalimu amri. Wataalam was vita na Ukraine wamepinga.
-Uliona wapi mateka akaruhusiwa kua na pistol yake.
-Mateka hawana majeraha wala tone la damu
-Mateka nguo safi View attachment 2178653View attachment 2178654
Kuna mengi. Naogopa jinai ya mauaji ya Bucha si ya mwisho tutakayoona. Ilhali marafiki wa Putin walileta hapa sijui mara kumi ngapi madai hayo yote ni feki, si vibaya kutafuta na kuonyesha hapa ushahidi halisi mara chache.Umebaki kukazia Bucha Bucha Bucha ...ndio mmebaki Hapo tu Buchani .... Mzee operesheni haijaisha .... Kuna maeneo mengi yanashambiliwa vipi tena upepo wa mkopo umewaishia
Mtu ashakwambia hataki conversations na wewe, lakini bado unaendea kulazimisha.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Et na wewe unajiita GT.
Yaani na weupe wako kichwani unajiita thinker .!!!!![emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255]
Kuna warusi wa buza watabishaVita vimeanza kua vitamu.View attachment 2178655
... lakini inachukua hatua baada ya hatua kuelekea huko . . .RUSSIA sio ZIMBABWE
Usiwe na wasiwasi - haitabaki vile. Warusi walijua kabla ya vita kwa nini waliwekeza sehemu kubwa ya utajiri wao si katika rubeli bali katika $$ na β¬β¬. Kinyume unaweza kujiuliza kwa nini wala China wala uhindi waliamua kuwekeza akiba kwa Rubel kabla ya vita???βοΈ The exchange rate of the euro on the Moscow Exchange fell below 81 rubles. for the first time since October 27, 2021. Dollar - below 75 rubles. for the first time since February 16th.
Tuone itakuwa muda gani hadi Ukraine inapata roketi za kuzamisha manowari . . .View attachment 2178810
The Ministry of Defense publishes footage of the launch of Caliber cruise missiles from a frigate of the Black Sea Fleet.
The strikes were carried out on Ukrainian bases for storing fuel and lubricants.
Ndo maana nakwambia boss, sababu nyie jeshi lenu ni jeshi kubwa lenye nguvu duniani mtaiita operation mnapelekea moto mdo mdo ila kwa raia wa Ukraine wao kwao ni vita kubwa sana maana wanakufa, makazi yao yanaharibika, wanapoteza viungo, mifumo ya fedha inaharibiwa, uwekezaji wao unaharibika n.k. kwao ni vita ya kukomboa ardhi yao, nchi yao na kuna raia wana silaha wapo front wakipambana kuzuia wasipoteze nchi yao kwenu na wanajitahidi sana.Hakuna VITA ambavyo hua vinasimama watu waongee watu wapewe mlo
Hilo limeonekana ama linaonekana kwenye hii OP pekee
Walipeleka MOTO mdo mdo sababu kuna maeneo mengi wanakaa WARUSI pia walienda kwa kazi maalum
Soma historia kidogo. Ni kawaida kabisa upande mmoja ukijaribu kuvuta wananchi wa upande mwingine wanaleta chakula na mengine.Hakuna VITA ambavyo hua vinasimama watu waongee watu wapewe mlo
Hilo limeonekana ama linaonekana kwenye hii OP pekee
Walipeleka MOTO mdo mdo sababu kuna maeneo mengi wanakaa WARUSI pia walienda kwa kazi maalum
kwani hapa tunafanya conservations ? Ficha ujinga wako mkuu .Mtu ashakwambia hataki conversations na wewe, lakini bado unaendea kulazimisha.
Unashida gani wewe?
mkuu jamaa wanajifurahisha tu . but uchumi wa Russia unaanguka mno .... lakini inachukua hatua baada ya hatua kuelekea huko . . .
Sorry for typo, I meant conversations.kwani hapa tunafanya conservations ? Ficha ujinga wako mkuu .
Hapa tunajadili na kubishana kwa hoja . huwezi ukaongea ugolo humu , then ukasema hutaki kukurekebishe au kukukosoa .
Labda nikukumbushe tu . mtandao huu ni wa Melo , ni yeye ndiye mwenye mamlaka na uwezo wa kunikataza nisimjibu MTU otherwise hakuna member mwingine anaeweza nizuia.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255]
Hapa issue ni Ukraine na Urusi, ..ya Iraq ni ushamba wako.Mbona walienda Syria SI ni jirani tu Urusi, Iraq ipo Marekani SI ndio ...!!?? Ficha ujinga wako siku Moja moja