Na huyo Ni mteja mmoja Tu - EU.Unajua €35b ni sawa na Tsh 88,497,747,450,000.00
Budget yetu ya mwaka ni 30,000,000,000,000. Almost budget ya miaka mitatu ya serikali ya Tanzania. Pesa hiyo Russia kaipata ndani ya mwezi mmoja.
Russia siyo Zimbabwe.
Kwa Putin hakuna mashoga bhna . Mashoga ni America na Islael[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ni kama mashabiki wa kichaa Putin walivyokimbilia kwenye ushoga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji631][emoji631][emoji631][emoji631][emoji631][emoji631]
Unatuambia viongozi wa EU ni wajinga na wapumbavu. Kwa hiyo tuamini hapa kuna hekima ya Morogoro inayojua mambo hayo?Hawa EU hawana akili kabisa Nishati wanategemea Russia, chakula wanategemea Russia afu wanajitapatapa hivi Russia akiamua kufight back si watapoteana??.
Right choice right time
Hungary is ready to pay in Rubles for Russian gas
Zimesha anza kununua na leo Ujerumani imesema itaziruhusu kampuni zake kununua mafuta kwa rubo.kichaa wenu
Putin alisema kuanzia tar 1 April . mataifa adui zake watanunua gesi kwa ruble . bila hivyo anakata mirija [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sasa hebu orodhesha nchi zinazolipa kwa hela ya [emoji635][emoji635] na orodhesha nchi zilizokatiwa huduma.
Hatutaki porojo hapa
[emoji636][emoji636][emoji636][emoji636][emoji636][emoji636][emoji636]
[emoji632][emoji632][emoji632][emoji632][emoji632][emoji632][emoji632]
[emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629]
[emoji633][emoji633][emoji633][emoji633][emoji633][emoji633][emoji633]
Hii ndio dawa yao.Belarus to pay foreign debts in Belarusian rubles
The decree of the government and the National Bank refers, in particular, to loans from the International Bank for Reconstruction and Development, the EBRD, the NIB. Belarus will repay debts in Belarusian rubles at the official exchange rate to the corresponding currency on the date of payment.
The Belarusian Cabinet called the decision a necessary measure due to sanctions and restrictions on payments.
Dah hawajamaa wanajua kupiga vitasa aiseh[emoji16]Belarus to pay foreign debts in Belarusian rubles
The decree of the government and the National Bank refers, in particular, to loans from the International Bank for Reconstruction and Development, the EBRD, the NIB. Belarus will repay debts in Belarusian rubles at the official exchange rate to the corresponding currency on the date of payment.
The Belarusian Cabinet called the decision a necessary measure due to sanctions and restrictions on payments.
Pro Russia kwa kujenga magorofa ya matumaini vichwani mwenu mko vizuri [emoji23][emoji23]Zimesha anza kununua na leo Ujerumani imesema itaziruhusu kampuni zake kununua mafuta kwa rubo.
haitakaa vile...Ruble REBOUNDS to pre-Ukraine operation levels
The ruble has recovered to its strongest levels since Russia's operation in Ukraine began in Moscow trade Thursday, after briefly touching 74.26 against the US dollar - its strongest level since Feb. 11.
The robust ruble performance comes as stocks indexes jumped higher on the Moscow Exchange, shrugging off a new round of sweeping Western sanctions.
Wanalipa kisirisiri ndyo maana Russian ruble goes stronger unexpectedlykichaa wenu
Putin alisema kuanzia tar 1 April . mataifa adui zake watanunua gesi kwa ruble . bila hivyo anakata mirija [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sasa hebu orodhesha nchi zinazolipa kwa hela ya [emoji635][emoji635] na orodhesha nchi zilizokatiwa huduma.
Hatutaki porojo hapa
[emoji636][emoji636][emoji636][emoji636][emoji636][emoji636][emoji636]
[emoji632][emoji632][emoji632][emoji632][emoji632][emoji632][emoji632]
[emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629]
[emoji633][emoji633][emoji633][emoji633][emoji633][emoji633][emoji633]
Mmoja hapa anakujibu wameshaanza kununua kwa Ruble kwa mujibu ya Halmashauri ya kichwa chake.Pro Russia wamevurugwa [emoji23][emoji23]kichaa wenu
Putin alisema kuanzia tar 1 April . mataifa adui zake watanunua gesi kwa ruble . bila hivyo anakata mirija [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sasa hebu orodhesha nchi zinazolipa kwa hela ya [emoji635][emoji635] na orodhesha nchi zilizokatiwa huduma.
Hatutaki porojo hapa
[emoji636][emoji636][emoji636][emoji636][emoji636][emoji636][emoji636]
[emoji632][emoji632][emoji632][emoji632][emoji632][emoji632][emoji632]
[emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629]
[emoji633][emoji633][emoji633][emoji633][emoji633][emoji633][emoji633]
Ila mkuu hata kama unalipwa ila unataka kuzidi unazi.Unatuambia viongozi wa EU ni wajinga na wapumbavu. Kwa hiyo tuamini hapa kuna hekima ya Morogoro inayojua mambo hayo?
Ingesaidia kujiuliza kwa nini wanafanya vile. Jaribio la kusema: "Wanalazimishwa na Marekani" halina mvuto wala mantiki.
Unaonaje kama viongozi wa EU wanafuata maoni ya wananchi wao walio wengi ambao wanaona Urusi ni hatari? Wanaoona kushambulia nchi ndani ya Ulaya (kwa sababu hupendi siasa yake) ni kitu kibaya sana? Wanaoana kwamba hatua ya aina hiyo inavunja msingi wa maendeleo yote ambayo nchi na wanachi wa EU walifanya katika miongo iliyopita?
Unaonaje kama watu wanaona haki na utaratibu mzuri ni muhimu kiasi cha kukubali kwa muda hasara kadhaa?
Isipokuwa ukiamini wewe mtaalamu-wa-mtaa-gani unaweza kuwaeleza wakazi na viongozi wa nchi nyingine hali ya uchumi wao na siasa yao (ilhali wenyewe hawaelewi kitu...) ???
Sawasawa. Labda ni kweli tu kwamba baada ya miaka mingi, ambako Wazungu walitaka kuwaelezea Watanzania uchumi wao (na kuleta upuuzi nyingi), haki ya kutangaza upuuzi kwa sasa iko upande wa Watanzania kadhaa...
Tatizo uwezo wa kuhimili huwa hawana kabisa.Nenda nao kihuni hivyo hivyo utaona wanavyotokwa mapovu Mkuu,baadae watakimbilia kuflood macomment ya 'hot news' [emoji23][emoji23]nyinyi ni wahuni . na mimi nawaahidi kwenda kihuni na nyinyi . mpaka mnyooke wapuuzi nyie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]