President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Ndio maana nimetokea kumpenda waziri mkuu wa Hangare hataki kupelekeshwa kabisa.Mpaka sasa hakuna taifa lolote ambalo halifanyi biashara na Russia hao EU wnanunua gas baba yao USA ameongeza supply ya wese na mbolea.
Tukisema West ni wanafiki na wakupuuzwa kuna watu humu ndani mnavimba kama mtu aliyekabwa na kokwa la embe. Marekani kashinikiza sana sanctions kwenye mafuta/gas ya Russia lakin sahv kimya kawaachia watoto wake msala wapambane huku yeye kaongeza supply ya wese [emoji28][emoji28].
Hawa EU hawana akili kabisa Nishati wanategemea Russia, chakula wanategemea Russia afu wanajitapatapa hivi Russia akiamua kufight back si watapoteana??.
Nchi nyingi za EU hazina ubavu mbele ya US, Ni wale watu wa Yes Sir, hawa watakuja shtuka muda umekwenda sana. Ndomana US anapigana sana kuweka vibaraka wake kila nchi unafikir kwanini? Akose upinzani.
Ni uzwazwa kuona raia wako wanateseka kisa US hawa viongozi ni wa hovyo kuliko tuko zama mpya sio zile za zaman sahv kila mtu anaakili na uelewa wa mambo.
GOD BLESS RUSSIA [emoji635]
[emoji23][emoji23][emoji23] wewe wa Manerumango hadi unajua wanalipa kisiri siri.Wanalipa kisirisiri ndyo maana Russian ruble goes stronger unexpectedly
[emoji16][emoji3]ipo wazi with all sanctions tungetegemea Russian economy & ruble fresh decline but n opposite uchumi na ruble vyote vinaimarika by dayz[emoji23][emoji23][emoji23] wewe wa Manerumango hadi unajua wanalipa kisiri siri.
😂😂😂😂😂😂 et wanalipa kisirisiri😀😀😀😀😀.Wanalipa kisirisiri ndyo maana Russian ruble goes stronger unexpectedly
lete ushahidi acha porojoZimesha anza kununua na leo Ujerumani imesema itaziruhusu kampuni zake kununua mafuta kwa rubo.
Baadhi openly Kama Hungary wameweka wazi German kashawaambia hao ndg zake wa NATO kwamba kwasasa hawez survive without Russian energy, vivyo hivyo for the rest,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] et wanalipa kisirisiri[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Yaani [emoji635][emoji635][emoji635] huyu anayetoa breaking news kila dakika ashindwe kuwaumbua kweupe?.
Anyway tuamini wanalipa kweli kwa siri yaani na [emoji631][emoji631][emoji631][emoji631] haijui hiyo siri ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora izo nchi za EU wangempa hata makonda aongoze.Mpaka sasa hakuna taifa lolote ambalo halifanyi biashara na Russia hao EU wnanunua gas baba yao USA ameongeza supply ya wese na mbolea.
Tukisema West ni wanafiki na wakupuuzwa kuna watu humu ndani mnavimba kama mtu aliyekabwa na kokwa la embe. Marekani kashinikiza sana sanctions kwenye mafuta/gas ya Russia lakin sahv kimya kawaachia watoto wake msala wapambane huku yeye kaongeza supply ya wese [emoji28][emoji28].
Hawa EU hawana akili kabisa Nishati wanategemea Russia, chakula wanategemea Russia afu wanajitapatapa hivi Russia akiamua kufight back si watapoteana??.
Nchi nyingi za EU hazina ubavu mbele ya US, Ni wale watu wa Yes Sir, hawa watakuja shtuka muda umekwenda sana. Ndomana US anapigana sana kuweka vibaraka wake kila nchi unafikir kwanini? Akose upinzani.
Ni uzwazwa kuona raia wako wanateseka kisa US hawa viongozi ni wa hovyo kuliko tuko zama mpya sio zile za zaman sahv kila mtu anaakili na uelewa wa mambo.
GOD BLESS RUSSIA [emoji635]
😂😂😂😂😂 asant mkuu......!!!!!!.🙏🙏🙏🙏🙏Tatizo uwezo wa kuhimili huwa hawana kabisa.Nenda nao kihuni hivyo hivyo utaona wanavyotokwa mapovu Mkuu,baadae watakimbilia kuflood macomment ya 'hot news' [emoji23][emoji23]
😂😂😂😂 ulivyo kiazi . hivi na Hungary nae ni taifa pinzani kwa 🇷🇺🇷🇺?.Baadhi openly Kama Hungary wameweka wazi German kashawaambia hao ndg zake wa NATO kwamba kwasasa hawez survive without Russian energy, vivyo hivyo for the rest,
Kwahesabu za kawaida kama sanctions zingekua zinafanya kazi Ruble na Russia economy zingekuwa mbaka sasa kwenye hali mbaya
hawa pro🇷🇺🇷🇺🇷🇺 usiseme wamevurugwa . hawa ni vichaa kama alivyo kiongozi wao Putin.Mmoja hapa anakujibu wameshaanza kununua kwa Ruble kwa mujibu ya Halmashauri ya kichwa chake.Pro Russia wamevurugwa [emoji23][emoji23]
Germany chancellor amesema makampuni yanaruhusiwa kununua gas straight from urusi, labda watanunua kwa TSH mkuu[emoji23][emoji23]Mmoja hapa anakujibu wameshaanza kununua kwa Ruble kwa mujibu ya Halmashauri ya kichwa chake.Pro Russia wamevurugwa [emoji23][emoji23]
Itaanguka lini !!!??haitakaa vile...
Walichopoteza wa Rusi tangia vita vianze[emoji631][emoji635][emoji1255] The United States uses "the most despicable methods" to prolong the conflict in Ukraine to make it as costly as possible for Moscow and Kiev, Russian Foreign Intelligence Service Chief Sergei Naryshkin says.
At the same time, Washington seeks to prevent the situation in Ukraine from spreading further to the West, he added.
Who recorded this!?Walichopoteza wa Rusi tangia vita vianzeView attachment 2179116
Weapons, Weapons, Weapons.[emoji779]Brussels: Ukraine Foreign Minister Dimitry Kuleba calls on NATO members to provide Kiev with arms
“My agenda is very simple. It has only three items on it. It’s weapons, weapons, and weapons."
Sio Hivyo tu Hata leo Wamesema Kule Mali Watu 300 wameuwawa hilo hawa wauaji wa CNN..BBC wala Sky sio habari kwao....mashetani kabisaNATO iliposhambulia Syria ili kumpindua Asad kwanini media hazikuona Mambo ya humalitarian mara genocide, au wale SI binadam. Sio Siri hii kitu inaudhi sana.