Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Marekani ina na mamlaka gani kulazimisha wa EU? Trump alijaribu kukataza Wajerumani wasinunue gesi ya Urusi. Kinyume chake, wakiamini kwamba biashara itajenga amani, walijenga bomba la Nordstream 2 ili wapate gesi ya Urusi. Marekani walilia hadi kupoteza sauti.
Sasa anakuja Bwana Putin na katika siku chache hali inabadilika. Nordstream 2 imekufa, baada ya miezi 4 wanamaliza makaa ya Urusi, mwisho wa mwaka mafuta ya Urusi, gesi wanendelea kuounguza kihatua ili wasiangushe uchumi...
Vilevile Obama na Trump walijaribu kuwalazimisha Wajerumani wawekeze katika jeshi. Walikataa.
Anakuja Bwana Putin, akijionyesha haheshimu sheria ya kimataifa wala kujali mikataba , tayari Ujerumani inatangaza sasa wanatenga € bilioni 100 za ziada kwa jeshi.

Unapata wapi picha hii kwamba Marekani inaweza kuamuru sasa? Kila dalili wananchi wa EU wamemtambua Putin kama hatari kwao. Kwa hiyo wako tayari kujitolea na kutoa sadaka fulani (hadi kiwango gani) kupambana na hatari. Haieleweki?
Hasa wakiona kuna unyama kama Bucha, na Putin anakana tu kinyume ya ushahidi na MASHAHIDI HAI wote,

KAMA angesema bahati mbaya kamanda fulani alikosa, ingekuwa tofauti, au angalau tufanye utafiti wa jeshi letu (jinsi marekani walivyosema baada ya My Lai huko Vietnam), ingekuwa tofauti, Maana watu wanaelewa, vita ni jhambo baya ianyoamsha unyama nda ni watu, jinai zinatokea pia upande wa Ukraine. Hivyo watu wanaona tu uwongo, uwongo, uwongo, ambayo ni hatari, basi wajikinge.
 
Hasa kwa mashoga. Lazima wainyenyekee US kwani wanapewa vilainishi bure na wakipata ukimwi hupewa ARVs bure

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Dunia Inahitaji Putin 3 tu
Amani Itatawala Na Dunia Itakuwa Na Raha,Haki kwa kila Taifa,Uhuru wakweli
PUTIN UISHI MIAKA 100
Na kwa hali inavozidi kuendelea, day tukitoka kwenye unipolarity kwenda kwenye multipolarity migogoro kona nyingi duniani itafutika hasa mashariki ya kati.

Wengi wanaweza wasilione hilo ila tukae tukijua sponsor wa harakati za uovu nyingi ni Pentagon chini ya US. Ile ni biashara yao so kutwa ku'organize matukio kisha biashara inaendelea.

Good sign naziona...
Pakistan hivi sasa wana kauli nzuri na India...

Saudia Arabia na Yemen wamekubali kukaa chini kuzungumza rather than fighting...

Azerbaijan na Armenia nao wamekubaliana waweke mazungumzo ya kidiplomasia...

Russia na Algeria nao pia wameamua kuungana kutokomeza magendo y kigaidi nchini apo...

Iraqi, Iran na Afghanistan wako na mahusiano mazuri na Russia. Wote hao wako na balozi zao Russia na hivi juzi balozi ya Taliban imepokelewa apo Russia. That means no more war. Zaidi kama kutakuwa na tofauti zitasuluhishwa kidiplomasia...

Na ukigeuka nyuma ukazifatilia kauli za Viongozi wa Russia unaoan hawana motives zozote za kuitawala dunia single handed peke yao.

What they are after ni kutoa mfumo wa mtawala mmoja huyu shoga wa magharibi na kuiweka dunia kwenye multipolarity, Dunia iwe na more than one influencers, ambao kwa pamoja watakaa kusuluhisha tofauti mbali mbali za kidunia.

Na kwa kuyaona haya that's why we stand with Russia, we stand with Putin [emoji2958]

The world have taken side with Putin [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] while media and that they so called "Fu***ng International Community" wako wanaumiza Raia wa Ukraine kutaka timiliza ajenda zao za u'Globalism.
 
EU Parliament adopts resolution calling to
🔹full embargo on Russian oil, coal, nuclear&gas
🔹plan on EU energy security
🔹kick 🇷🇺 out of G20, other intl orgs
🔹close 🇷🇺 ports
🔹disconnect all 🇷🇺 banks from SWIFT
🔹seize assets of 🇷🇺 officials&oligarchs linked to Putin regime



Wakati huo huo Jaapan Na South Korea wamesitisha huduma za nishati kutoka Urusi




FINLAND Anaenda kujiunga NATO leo kukamilisha mchakato

Britanicaa
 
Ulitegemea aseme nini tofauti!!?

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…