Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na we mzee unazid kukurupuka... Rudia hayo maandishi vizuri. Nakijua nachokiandika.

Nimesema 93 out of 193 member states wa UN... We waja na yako eti 175 kati ya waliopiga kura.

Nimezungumzia wapiga kura au nimezungumzia member states wa UN? Nyie viumbe mna akili gani lakini?

Sasa kama umeshindwa kutofautisha kati ya member states n walioshiriki kupiga kura unaweza kukaa chini kujadiliana na mie kweli wewe?

Then mwenyewe wajiona mwana mahesab [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka kwa nguvu. Em ficheni huo uzwazu walau kidogo tu.
 
Uelewa wake mpana unakutesa kama sio kukupa wivu.

Hata wewe unaweza kumfikia ukijikita kwenye usomaji wa mambo mbalimbali hasa vitabu au makala za mitandaoni.
 
Kumbe ulikuwa hulijui? basi makupa pole sana.
Mkuu. Umeshupaa kama USA hawezi kuishi bila Urusi kwenye oil...

Russian oil made up only about 3% of all the crude shipments that arrived in the U.S. last year, data from the U.S. Energy Information Administration show. U.S. imports of Russian crude so far in 2022 have dropped to the slowest annual pace since 2017, intelligence firm Kpler said.

Still, it may be surprising that the country imports any Russian oil at all, given that the U.S. produces more crude than Saudi Arabia
 

Kufikia wakatii huu unatakiwa ujue kwamba waga mimi sikurupuki, external debt ya urussi ni 150bn$

👉Russia and Russian companies owe about $150bn in foreign-currency debt. Russia's default on its external debt would be its first since the Bolsheviks failed to recognize the Tsar's debt
 
Mpaka Kesho bado ananunua japo kaweka vikwazo
Russian oil made up only about 3% of all the crude shipments that arrived in the U.S. last year, data from the U.S. Energy Information Administration show. U.S. imports of Russian crude so far in 2022 have dropped to the slowest annual pace since 2017, intelligence firm Kpler said.

Still, it may be surprising that the country imports any Russian oil at all, given that the U.S. produces more crude than Saudi Arabia
 
Uelewa wake mpana unakutesa kama sio kukupa wivu.

Hata wewe unaweza kumfikia ukijikita kwenye usomaji wa mambo mbalimbali hasa vitabu au makala za mitandaoni.


Uelewa wake mpana ni kwa manufaa yake, sitamani kuwa kama yeye, yeye aendelee tu kuwa kama alivyo na mimi nitaendelea kuwa kama nilivyo na wewe endelea kufikiri nateseka na kupata wivu. Kila mtu awe busy na mambo yenye manufaa kwake bila kuvunja sheria za JAMHURI.
 
Gonga tu [emoji23] mara elfu, bado unaonyesha kwamba huelewi namba. Katika kupiga kura kuna utaratibu. Hapo haidhuru ni wangapi ambao wangepiga kura kama wangehudhuria, lakini ni wangapi waliohudhuria na kupiga kura.
Mengine ni bure.
Inasaidia nini kukadiria kwamba Magufuli aliyepata kura milioni 8.8 mwaka 2015, alichaguliwa na asilimia 17 za raia milioni 51???? Ni bure kwa sababu alipata asilimia 58 za hao walioshiriki katika kura, yote mengine ni bure kabisa.
Kama ungekuwa mpinzani anayehitaji kujifariji kuhusu ushindi wa Magu mwaka ule, ungeweza kufanya michezo hii lakini wote wangekucheka.
Jinsi tunavyocheka sasa uki hesabu watu ambao hawakushiriki katika kura lakini wewe unataka kufanya utahmini wa kura.
(pamoja na hayo ni wazi: hao ambao hawakushiriki kabisa, walitaka kuficha kwamba wanaogopa kuonyesha bendera yao; wale walioshiriki lakini hawakusimama upande walijua kwamba hali halisi wanakubali maana kupinga ni lazima kusema "HAPANA", ukiabstain huhesabiwi.
 
Kama unatambua hilo hukuwa na haja ya kulalamikia hilo la uelewa wake, ungepuuza tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…