Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Top news for the day:

- Israeli security forces eliminated a terrorist who shot dead two people in the center of Tel Aviv;

- Serbian authorities will request information from Russia and NATO on the incident with the appearance of a fighter aircraft near an Air Serbia passenger plane flying from Belgrade to Moscow, President Aleksandar Vucic said;

— Germany must stop supplying Russian coal within a transitional period of 120 days under the new EU sanctions package, said German Chancellor Olaf Scholz.

Galip SV
 
Kitu ambacho Huwa hamuwlewi kuwa banhawapigwi watu ambao hawajawekeza sehemu husika.

Ni hivi ukiona mtu amepigwa ban basi ujue ana mali katika nchi husika hivyo zinakuwa freezed.
 
hakuna la maana huko, wameona covid imebuma, sasa wanatumia vita uchwara kulazimisha mfumuko wa bei wa vitu.

akili mtu wangu
 
Warusi wa jf aka Warusi wa kinondoni Moscow 😂
 
Ila urusi amekula kipigo si kidogo jamani tuache utani,hivi mnakumbuka ule msafara wa urusi wa kijeshi wa km 64 ulikoishia
Ulikumbana na changamoto nyingi mno kuanzia hali mbaya ya hewa, kuishiwa mafuta, upungufu wa chakula bila kusahau upinzani mkali kutoka kwa wazalendo wa Ukraine mwishowe waliamua kujiondoa kabisa na kujiimarisha huko Ukraine mashariki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…