[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanza data ni za Uongo hizo... Vidogo vingine vipuuze tu text zitakuwa nyingi...
Russia external debt ni 478B US dollar sio hizo 160 alizokurupuka kuandika....
Na kwa kufanya comparison na nchi ile inayotukuza mashoga na wasagaji iko hivi...
US anadaiwa deni la nje (External Debt) zaidi ya Dollar Trillion 21... Sawa na 102% ya GDP yake.
Russia anadaiwa deni la nje takriban Dollar Billion 478 sawa na takriban 26.9% ya GDP yake.
Kwa kulinganisha ni kua US ana deni kubwa mara 43 zaidi kuliko Russia ingawa in term of number US GdP iko valued mara 11 zaidi kuliko Russia.
Hapa ukitaka kuona uzito wa ukubwa wa deni kwa mlengo wa pato la taifa. Imagine hapo Tanzania deni lipo around 37% ya pato la taifa GDP na kelele ziko kiwango cha rami vipi ka ingekuwa kwa ulinganyo wa kubwa zaidi kuliko pato la taifa ka US? Ingawa mwisho w reli ni Japan.
So kwa hiyo consideration nchi ipi iko healthy?
Nenda tena kwenye mapato na matumizi. Russia mwaka ulopita kwa Quarter 1,2,3 na 4 alikuwa na Accumulative surplus ya zaidi ya Trillion 4 Ruble kwenye budget yake ambazo hizi kwa rate ya sasa ni zaidi ya Dollar Billion 50.... Zaidi ya Trillion 117 za kitanzania... Takriban Budget ya miaka mi4 ya TZ...
Ila kwa upande wa US ye yupo na deficit kwenye budget yake. Tena sio millions wala billions bali Trillion dollars...
US Budget Deficit by Year Compared to GDP, Debt, and Events
So ukiangalia hizi fact chini hapo
View attachment 2179541 Utagundua kua healthy economy sio ukubwa wa number kwenye makaratasi....
Na wala haiitaji degree kujua kua US anaendesha budget yake ya kujimudu kwa mkopo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ka wabongo wa tandahimba tu japo kuvimba na kujifanya gwiji wa kutoa msaada anaweza.