NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Unakubali ujinga, external debt ya urussi ni 150bn$.
Ni wivu tuUelewa wake mpana unakutesa kama sio kukupa wivu.
Hata wewe unaweza kumfikia ukijikita kwenye usomaji wa mambo mbalimbali hasa vitabu au makala za mitandaoni.
Hili ni badiliko kubwa. Finland ilishambuliwa na Urudi mara 2 katika karne ya 20. tangu kupata uhuru wake. Kabla ya hayo ilikuwa koloni ya Urusi. (nimerudia hapa mata kadhaa Urusi ni nchi ya ukoloni, kumbe marafiki wa Putin hawakujibu hata mara moja, naona sababu hawana jibu tayari tena hawana uhakika kuhusu historia hivyo wanaona salama zaidi kunyamaza...)Finland is preparing to apply for NATO membership, this could happen at the end of April, the newspaper Iltalehti reports.
Galip SV
Uchambuzi makini.Unakubali ujinga, external debt ya urussi ni 150bn$.
Ndiyo, azimio lilihitaji theluthi mbili za kura halali, likapata.Russia inaendelea kudhalilishwa, Nawambia urussi haitakua sawa milele mpaka tupate regime change. Putin sio mfalme
HUMAN RIGHTS COUNCIL: UN General assembly votes to suspend Russia from Human right council.
Israel supported the UN General Assembly's resolution to suspend Russia from the Human Rights Council.
93 countries voted in favor,
24 countries voted against,
54 countries abstained.View attachment 2180165
"Meanwhile, India and China, which have refused to condemn Russia's actions, continue to buy Russian crude."~The fear of sanctions is the beginning of wisdom. China akataa mafuta ya urussi kuhufia vikwazo.
Putin ally China rejects Russian oil despite steep discounts amid Western sanctions, report says
China is avoiding new Russian oil contracts despite steep discounts and Beijing's friendly relations with Vladimir Putin, according to a Wednesday Reuters report.
While China has refrained from penalizing Russia for its war on Ukraine, state refiners are falling in line with Beijing's recent call for caution by not signing new contracts as the West imposes sanctions.
Kijana, read to understand and not to reply. China inanunua mafuta ambayo contracts zao zilitiwa sahihi kabla mgogoro wa Ukraine haujaanza."Meanwhile, India and China, which have refused to condemn Russia's actions, continue to buy Russian crude."~
The Economics times
Hiyo ya kwako source yake ni ipo
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kumbe makonda na mke wake wana mali america nilikuwa sijui.Kitu ambacho Huwa hamuwlewi kuwa banhawapigwi watu ambao hawajawekeza sehemu husika.
Ni hivi ukiona mtu amepigwa ban basi ujue ana mali katika nchi husika hivyo zinakuwa freezed.
Tutaona kama inathibitishwa. Kwa sasa kuna habari kwamba makampuni ya China yanaendelea kununua mafuta kutoka Urusi kulingana na mikataba iliyopo. Lakini yamekataa kufanya mikataba mipya, ingawa Urusi iko tayari kuuza mafuta sasa kwa bei nafuu kabisa."Meanwhile, India and China, which have refused to condemn Russia's actions, continue to buy Russian crude."~
The Economics times
Hiyo ya kwako source yake ni ipo
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
You really think Israel's gas can replace Russian gas supplied in EU!?[emoji1787]Niliwaambia kwamba necessity is the mother of all invention, mzungu alietengeneza ndege ashindwe na mafuta.
The working plan, based on an agreement between Elharrar and her Egyptian counterpart that has yet to be finalized, is for Israeli natural gas to go through Egypt’s plant for liquefaction and then exported to Europe.
An Egyptian diplomatic source confirmed that there are “ongoing talks in light of requests from the European side to see how we can work together in the field of gas to be able to export more to the EU. It is an ongoing discussion that has not been finalized for Israel to export more to Egypt and then Egypt export more to the EU.”
View attachment 2180174View attachment 2180176
View attachment 2180175
Ulileta hoja ya kwamba putin ana chukiwa na wana nchi wa Ulaya.nisaidie> hoja gani?