Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mki calculate vifaa alivyo poteza russia msi sahau ba zile alizo ziache USA kwa wa Taliban

Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁😁 hapo unamnanga msemaji wa Putin bwana Peskov. Maana ni yeye katuambia juzi kuwa uvamizi waπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί huko πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¦ umeleta maafa kwa jeshi la πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ίna hata hivyo lengo lao halijatimia kwenye hii ngwe ya kwanza , akasema wanategemea malengo yao yatimie kwenye ngwe ya pili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Pro Ukraine mnatumia kiungo gani kulinganisha hasara aliyopata Russia na hasara aliyopata Ukraine au mmeshiba propaganda za Western Media, Jeshi la Urusi limebomoa miji mingi ya Ukraine na kuigeuza Magofu limewaua maelfu ya wanajeshi wa Ukraine pamoja na wanajeshi wa kujitolea waliochoka kula ugali. Jeshi la Urusi limelipua miundo mbinu yote ya kiulinzi ya Ukraine na kusababisha wanajeshi wa Ukraine kuishi kama digidigi na Rais wao wanajificha kwenye ma Mall na Hospital na Shule pamoja na kwenye vituo vya treni. Wakati huohuo mkumbuke Wanajeshi Shupavu wa Russia bado wapo Ukraine wanawachapa kimyakimya bila matangazo ukisikia milio ujue Ukraine kachomwa pumbu na kitu chenye ncha kali..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Biden tried to define the United States in one word, but something went wrong:

β€œAmerica is a nation that can be defined in one word. I was under... under... sorry, at the foot of the Himalayas with Xi Jinping. I traveled with him. Drove 17,000 miles when I was VP. But it is not exactly".
Galip SV
Your browser is not able to display this video.
 
I have never seen Ukraine do something good for me, for my children. This is not a normal country."

Residents of Mariupol told RT why they decided to stay in the city and how they treat the Russian and Ukrainian military.

Nikolay and his family are still in Mariupol because of his parents and his wife's mother, who have limited mobility. Speaking about Ukrainian soldiers, Mykola is categorical: β€œI believe that their goal is to wipe the east of Ukraine off the face of the earth.”

Olga is still unable to contact her family. She has two children, the youngest is only nine months old. When it comes to the Armed Forces of Ukraine, a woman raises her voice: β€œUkrainian TV is telling lies, heresy! We were a shield for the Ukrainians. They hide behind people."

Many people say only good things about our fighters. β€œWhen the Russians came, I feel safe, at least we can walk calmly,” says another resident of the city, Alena.

Galip SV
 
Tukimpiga Ukrain ndipo tutaenda mezani kwa sharti 1 tu, kuondoa vikwazo vyote vilivyowekwa na wahuni
proπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί tunawakumbusha maneno yenu ya mwezi mmoja uliopita πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
The Russians are going into Kyiv now with the intention of capturing and killing the President and his family.

Is the US and Europe going to continue to stand by ?
@Tsh Nyamizi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tunawakumbusha proπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ίmaneno yao mwezi mmoja nyuma
 
Putin amekataa hizo mambo. Amesema tayari ashaanza ^special operation,^ na lazima ikamilike. Too late for the president! Lazima Ukraine plus nchi zote za former USSR zirudi Russia.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sisi tunawakumbusha maneno yenu mwezi mmoja uliopita.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tunakumbushana tu ugoro wenu .proπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί
Kidume siku ya leo kaishachukua kyiev, mji mkuu wa Ukraine.

● Marekani yuko wapi???

● Umoja wa mataifa uko wapi???

● Umoja wa ulaya uko wapi???

● Umoja wa africa uko wapi???

Wamekalia porojo tu kenge hao.
 
Aiseee ...........!!!!!!!!!!!
Wewe umedata.....
Nimedata!Mimi na-offer taarifa ambayo watu pamoja na wewe hamna,halafu unasema nimedata, how stupid are you!Hii ni kuwa-wezesha kuelewa mgogoro wa Urusi na Ukraine vizuri.Bila kuwa na uhusiano wa historia zao,huwezi kuelewa kabisa mgogoro huo,utakuwa una-hang tu.At most ulipaswa kunishukuru,badala yake unanikebehi tena,ajabu sana.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…