Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hrhree MKU
Hii ndio DUNIA
 

Hao Japan waliambiwa na Putin uyo mnayemnyenyekea mnakumbuka alichowafanya??. Japan miaka billion hawez sahau yalotokea hiroshima sema hana jinsi.
 
Hakuna sehemu nilipo sema ya kwamba walikuwa wana wazuia raia kuondoka.

Nime sema wenda hilo shambulizi limefanywa kwa bahati mbaya baada ya kukosa shabaha au ni makusudi ili kuendea kuichafua Russia kwenye vita ya kipropaganda na kuiongezea shinikizo kimataifa yote yana wezekana.

Urusi iliacha kuyatumia haya makombora kutokana na uwezo wake mdogo wa kulenga shabaha.

Ukuu umeniuliza eti Ukraine ina faida gani kuwashambulia raia wake na mm ni kuulize Urusi ina faida gani kuwashambulia raia tena kwa makusudi wakati hata suala la bucha hali japoa?
Sidhani kama viongozi wa Urusi ni wajinga kiasi hicho.

Ukraine imefanikiwa kupata kupata silaa inayo itwa vyombo vya habari na inatumia vizuri.

Alafu kingine kombora lilitoka walaya jirani iliyo kusini mwa mji huo ulio shambuliwa na wilaya hiyo ina dhibitiwa na wana jeshi wa Ukraine na Urusi imeweka mpaka ushahidi maana mifumo yao ya ulinzi wanayo tembea nayo ililirekodi hilo kombora lakini vyombo vya habari vina jifanya haviuoni.
 
Na jana UK na Germ wamessema hawataweza kutimiza uhitaji zaidi wa silaha kwa ukrein kwa hio kuna mtu ataachwa mda sio mrefu apambane na hali yake
 

Hakuna bahati mbaya ni makusudi US na Ukraine ndo mipango yao hio ili Russia aonekane anaua raia. Russia alishausoma mchezo muda toka hata vita haijaanza ndomana kulikua na human corridor nyingi.

US akawapenyezea msikubali mbinu zikafeli wanaleta story za bucha wakafanikiwa kumtoa UNHCR ni propaganda.

 
Kuna watu wanachukia Ukraine kuwa na Rais aliyechaguliwa kidemokrasia kisa ni comedian!

Kuna watu wanachukia nchi huru ya Ukraine kutaka kujiunga NATO au Ulaya!
Akibadilisha wewe unaumia nini? Wanajeshi wa kwake bado umpangie jinsi wa kuwatumia??. Akili hizi kazi ipo hili jukwaa
 
Wajinga hawa mbona hilo Baraza lao linasaidia nn stupid....Kijiwe cha ujinga tu
 
Kwa hiyo na sisi Tanzania tungemchekea Iddi ?
Anachofanya Urusi ndicho alichofanya Iddi Amin, Kuvamia eneo la nchi nyingine. Pamoja na udhaifu wake, Ukraine hapaswi kumpigia magoti Urusi, anatakiwa ajilinde mpaka mwisho. Hizi nchi kubwa zinaonaga raia wake wana thamani sana kuliko nchi nyingine. USA ashafanya sana huu upuuzi na URUSI naye anaufanya. BULLIES.
 
Na jana UK na Germ wamessema hawataweza kutimiza uhitaji zaidi wa silaha kwa ukrein kwa hio kuna mtu ataachwa mda sio mrefu apambane na hali yake

Kila siku anapewa silaha zinaharibiwa na kuchukuliwa na majeshi ya Russia. Russia mpaka sasa wanashehena za silaha kutoka west hawana hata mpango nazo.

Eti slovakia kapeleka S-300 sasa hio kwa Russia itasaidia nini? Mbwa wako umemfuga unamjuaa in out ukaamua kumuuza sasa uliyemuuzia ndo anamtumia kama mlinzi getini akitegemea atakubwekea.
 
Urusi anatakiwa Kunyandua Hizi silaha mara tu zinapoingia ndani ya Ukraine..Kwa kweli Warusi mmetutia aibu sana sana...Mkwwara wote kumbe jeshi nyanya Ukraine tu mmeshindwa kuichukua dah....
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Na jana UK na Germ wamessema hawataweza kutimiza uhitaji zaidi wa silaha kwa ukrein kwa hio kuna mtu ataachwa mda sio mrefu apambane na hali yake

Kila siku anapewa silaha zinaharibiwa na kuchukuliwa na majeshi ya Russia. Russia mpaka sasa wanashehena za silaha kutoka west hawana hata mpango nazo.

Eti slovakia kapeleka S-300 sasa hio kwa Russia itasaidia nini? Mbwa wako umemfuga unamjuaa in out ukaamua kumuuza sasa uliyemuuzia ndo anamtumia kama mlinzi getini akitegemea atakubwekea.
 
Kuna watu wanachukia Ukraine kuwa na Rais aliyechaguliwa kidemokrasia kisa ni comedian!

Kuna watu wanachukia nchi huru ya Ukraine kutaka kujiunga NATO au Ulaya!

Hujui kuwa zelenskyy ni kibaraka wa US, kuchaguliwa na Wananchi sio kigezo. Kuanzia leo ndomana nakwambia hakuna lolote unalojua tumia jukwaa hili upate elimu.
 
Hujui kuwa zelenskyy ni kibaraka wa US, kuchaguliwa na Wananchi sio kigezo. Kuanzia leo ndomana nakwambia hakuna lolote unalojua tumia jukwaa hili upate elimu.
Kwani kama Ukraine wameamua kuwa na kibaraka wa US nchini mwao , Russia na wengine inawauma nini?
 
Ww mbona una ichukia Russia kisa kuwa kinyume na wamagharibi? acha kila mtu awe upande anao utaka.
Unaweza kutofautisha kati ya kuichukia nchi na kuchukia matendo yake maovu kama ya uvamizi na ubabe wa kijinga ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…