Tayari washaongeza MKUU
Unavyodhaania kwamba DON BAS na LUHANSK zitakua tena eneo la UKRAINE lile pole sana
UKRAINE hawezi akajiunga na NATO kwanza hii OP aliopigwa inapeleka mbele zaidi ya miaka 20 matarajio yao yakujikaribisha kwa NATO
Kwanza hii OP ikisimama eneo kubwa kule uwanda wa PWANI litakua chini ya RUSSIA pia ataachwa ainue vifusi vyake asimamishe miji yake
RUSSIA sio ZIMBABWE
@YodaThe Ministry of Internal Affairs of Russia signed an agreement on cooperation with the ministries of the DPR and LPR.
View attachment 2181468
Hapo kwenye migogoro ya mipaka, Russia ameshapigana na Karibu Kila Jirani yake kisa mpaka, Ikiwemo China ambaye watu wanaona ndio swahiba wa China...Kwanza nchi zote haziwezi kujiunga na NATO,kwa sababu nchi zote duniani haziwezi kukudhi vigezo vya kujiunga NATO. Hiyo ni hypothetical ya kitoto.
NATO iliundwa kwa ajili ya ulinzi dhidi ya USSR mwanzo wa vita baridi kati Magharibi na Ulaya Mashariki. Kilikuwepo na bado kitisho kikubwa cha USSR na sasa Urusi kuvamia nchi jirani za Ulaya ambazo hazionyeshi kuwa na muelekeo wa Urusi Kisiasa na Kiuchumi. Russia ina historia ndefu ya kuvamia nchi majirani na kugombania mipaka. Pia haipendi kuzungukwa na nchi zinazofuata demokrasia halisi na utawala wa sheria.
China sio nchi ya kidemokrasia, ni nchi ya kidekteta ya utawala wa chama kimoja cha Kikomunisti, Udikteta wa China ni wa kichama zaidi kuliko mtu mmoja.
Russia huwa inapenda kujitambulisha kama taifa la kidemokrasia ila sio kweli, uchaguzi wa Russia hauna tofauti na uchaguzi wa Rwanda, Uganda au Burundi. Viongozi wa upinzani wanafungwa kwa makosa ya mchongo na wanauwawa. Putin tayari amebadilisha Katiba ya nchi ili aendelee kubaki madarakani hadi mwaka 2030
Uingereza ni nchi ya kidemokrasia, kusema Uingereza sio demokrasia kwa sababu kuna ufalme ambao ni ceremonial ni strawman.
hiv haunaga source zingine zaidi ya tweeter? ili kusudi tuweze kufanya tathmin kama ni kweli
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Hata UK niyakidikteita tena udikteita wakifamiliaKwanza nchi zote haziwezi kujiunga na NATO,kwa sababu nchi zote duniani haziwezi kukudhi vigezo vya kujiunga NATO. Hiyo ni hypothetical ya kitoto.
NATO iliundwa kwa ajili ya ulinzi dhidi ya USSR mwanzo wa vita baridi kati Magharibi na Ulaya Mashariki. Kilikuwepo na bado kitisho kikubwa cha USSR na sasa Urusi kuvamia nchi jirani za Ulaya ambazo hazionyeshi kuwa na muelekeo wa Urusi Kisiasa na Kiuchumi. Russia ina historia ndefu ya kuvamia nchi majirani na kugombania mipaka. Pia haipendi kuzungukwa na nchi zinazofuata demokrasia halisi na utawala wa sheria.
China sio nchi ya kidemokrasia, ni nchi ya kidekteta ya utawala wa chama kimoja cha Kikomunisti, Udikteta wa China ni wa kichama zaidi kuliko mtu mmoja.
Russia huwa inapenda kujitambulisha kama taifa la kidemokrasia ila sio kweli, uchaguzi wa Russia hauna tofauti na uchaguzi wa Rwanda, Uganda au Burundi. Viongozi wa upinzani wanafungwa kwa makosa ya mchongo na wanauwawa. Putin tayari amebadilisha Katiba ya nchi ili aendelee kubaki madarakani hadi mwaka 2030
Uingereza ni nchi ya kidemokrasia, kusema Uingereza sio demokrasia kwa sababu kuna ufalme ambao ni ceremonial ni strawman.
Kabla ya vita serikali ya Ukraine ilikuwa ina dhibiti asilimia 70 ya majimbo hayo.Ni ujinga kusema Luhansk na Donbas, Luhansk ni sehemu ya Donbas na iliporwa na Urusi tangu mwaka 2014
Halafu unaposema tayari wameongeza vita imeisha?
Kabla ya vita serikali ya Ukraine ilikuwa ina dhibiti asilimia 70 ya majimbo hayo.
GANGA ZUMBUKUKU KATIKA UBORA WAKO WA UZUMBUKUKU........ebu leta mapicha ya ukraine ilivoharibiwa na cluster bombs ....cruiser missiles....ISKANDER M......[emoji18][emoji18][emoji18]
ErrorNi ujinga kusema Luhansk na Donbas, Luhansk ni sehemu ya Donbas na iliporwa na Urusi tangu mwaka 2014
Halafu unaposema tayari wameongeza vita imeisha?
Wabebe zote zinazoingia Ukraine from westMuda huu majeshi y urusi yameanza kuutafumu mji wa kharkiv mpaka inafika jana urusi ilikuwa ishaubeb jiji zima la izyum pia nimepata tetesi mji wa rubezinya umeshatekwa kama kawaida silaha za west nying zimebebwa
Mm nilikuwa nakurekebisha pale ulipo sema ya kwamba Urusi imeyadhibiti majimbo na Donesk na Luhansk mwaka 2014 na mm nili taka kukuelewesha ya kwamba hakuwa inayadhiti kikamilifu.Vita imeisha?
πππππ mnakana matapishi yenu .proπ·πΊπ·πΊπ·πΊπ·πΊ hayana hata kumbukumbu kuwa yalisema lengo la vita ni kuichukua mazima Kiev ππππππππUnaniuliza swali tena mimi? Wewe si umeleta hio hoja?. Usikurupuke kucomment kama hujui chochote itakusaidia bora uwe mjinga upate elimu kuliko kujikuta ni bingwa wa kucomment kumbe ni falasi tu.
Nina picha nyinyi za marehem wakirusi wakiiba sufuria na washing mashine nikuwekee Bibi?GANGA ZUMBUKUKU KATIKA UBORA WAKO WA UZUMBUKUKU........ebu leta mapicha ya ukraine ilivoharibiwa na cluster bombs ....cruiser missiles....ISKANDER M......[emoji18][emoji18][emoji18]
π ila ikiletwa na RT ni reliable zikiletwa na tofauti na RT ni propaganda mna mashaka nazo kwi kwihiv haunaga source zingine zaidi ya tweeter? ili kusudi tuweze kufanya tathmin kama ni kweli
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
proπ·πΊπ·πΊπ·πΊ mnacheza mdumange wa zelensky kisawasawa. Kila siku tunaambiwa humu maliupol na kharkiv zimeshachukuliwa MAZIMA na π·πΊπ·πΊπ·πΊπ·πΊ lakini cha ajabu kila muda mnaleta taarifa kuwa mapigano makari sana yamefanyika miji hiyo na π·πΊπ·πΊπ·πΊ ameshinda . sasa kama mmeshaumiliki mji je hayo mapigano nmapigana na nani ?ππππππWabebe zote zinazoingia Ukraine from west