ππππ tunakumbushana proπ·πΊπ·πΊπ·πΊ.!!!!!!!!!!kinacho fuata ni kuondoa serikali ya Ukraine madarakani na kuweka serikali nyingine tiifu
πππππ tunakumbushana matapishi yetu πππ#BREAKING US expects that [emoji1255] Kiev to fall in 96 hours β Newsweek
Teknolojia ya kirusi kwi kwi kwi
ππππππ tunaendelea kuwafukulia makabuli yenu .Jamaa anasambaza mabomu kama matone ya mvua. Hii vita ikimaliza siku nne basi hakutakuwa tena na nchi inayoitwa Ukraine
ππππtunakumbushana proπ·πΊπ·πΊπ·πΊ.Miji karibia 13 nadhani by asubuhi yule commedian wa Ukraine atakuwa mafichoni kama Russia itaendelea na strike
Video pleaseJamaa anasambaza mabomu kama matone ya mvua. Hii vita ikimaliza siku nne basi hakutakuwa tena na nchi inayoitwa Ukraine
@Nyamizi,Yani apigane atumie resources zote ili tu aweke Madarakani serikali tiifu,ndio utakuwa upumbavu gani sasa.Hapo lengo ni kuichukua Ukraine yote na kuwa sehemu ya Urusi kama ilivyokiwa awali-au hujasikiliza speech ya Putin babu.