Kijana wa Putin umevurugwa vibaya sana.Agenda yenu ya udini imekufa!? wanaosapoti urusi wote ni mashehe sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama vinyonga, Game ngumu mnabadilikia humu humu. Pro Nato wa mwanamtoti
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]...dahh nimezingua unajua sisi warussia ..hatupendagi ujinga .....PUT IN kawekeza uzalendo ndani yetu ukizingua tunapiga hapo hapo hatulazagib zege .......wacha nimtafute nim[emoji120][emoji120][emoji120][emoji56][emoji56]Umemkosea sana huyo jamaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].... Hana mambo ya hovyo ya kule jua linakozamia....
Hapo alikuwa akiwaelekezea kidole wazee wa twitter na G na wenzao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mchumi mbobeziπ€£π€£π€£π€£ jf bana.Sijibu sana... Mi mchumi mbobezi. Nawajibu tu kuchangasha genge .. lakini MAJIBU MNAYO... KUNA GDP,GNP na NNP... Ukiweza kunitofaitushia.. mtajua uwezo wako wa kiakili.
Hawa watoto wanasumbua sana ubongo haufikiri kabisa kila kitu ushabiki, Putin alishassema mtalipa kwa ruble na huwa hapindishi sasa Germany ananua gas na analipa kwa ruble sasa walitaka itangazwe kila media kuna vitu vingine vinafanyika kimya kimya na media za west haziwez ongelea hio ishi coz wataonekana wameshindwa na aibu kwao.
Mara ya mwisho nafatilia juzi habar za gazprom walisema kila kitu kinakwenda sawa. Mtu unampa mpaka tweet huyu farage anajua kabisa Germany wanalipa ruble sasa kwa tweet kama hii ukiiosoma unajua kabisa nini kinaendelea sasa hawa madogo wanakza mafuvu yao ni hasara kwakweli
View attachment 2182013
Kwamba mbongo anajua kuliko nigel farage. Hawa vijana acha niwaweke pending tu, napoteza muda tu. Ni ngumu sana kumuelimisha mtu mwenye mahaba yan anakua kama kapewa limbwata.
Ila wewe jamaa ni muongo sana ππππ yaani maneno unayatamka mwenyewe unamsingizia kichaa Putin.πππYani apigane atumie resources zote ili tu aweke Madarakani serikali tiifu,ndio utakuwa upumbavu gani sasa.Hapo lengo ni kuichukua Ukraine yote na kuwa sehemu ya Urusi kama ilivyokiwa awali-au hujasikiliza speech ya Putin babu.
Jitahidi kusoma vitabu ... Especially vya Espionage.. utatambua Kwa namna Gani dunia inamhitaji mrusi ... Serikali moja inamhitaji mafungano Kwa mahitaji ya nani... Nilibaki kimya mbishane .. ila nakupa nondo ... Jisomee .utajiona upo wapi na uwezo wako wa akili.Kijana wa Putin umevurugwa vibaya sana.
ππππππ duuh tunakumbushana tuMji mkuu wa Ukraine tayari upo chini ya Russia na mavifaru yanakatiza yapendavyo. Haka kanchi kaliingizwa kingi vibaya mno
Hutaki acha ... Nimechangia nyuzi nyingi sana .. sii hii .. fuatilia... Na hata humu nilisema .. HATUNA impact yeyote... Ufanyalo wewe Mimi yule na yule .. halina Afya katika liendelealo... Yes .. Father Kitima ndio alikuwa mkuu wangu wa chuo .. fuatilia vizuri sasa unijue ... Najibu sana mazinguzi... Katika thread hii .. we got no impact yet we spit what we swallow even you...Mchumi mbobeziπ€£π€£π€£π€£ jf bana.
Utasema nini kingine [emoji1787].Kijana wa Putin umevurugwa vibaya sana.
Dawa ya hawa ma pro west wa humu ndani JF ni kuwa dondoshea vinu vizito vya utosi .......CLUSTERS BOMBS ...CRUISER MISSILES.. ....MA ISKANDER M....na SATARN 2 ...humu humu mpaka waombe poo .....shenzi hawa .....[emoji36][emoji36][emoji36]Hawa watoto wanasumbua sana ubongo haufikiri kabisa kila kitu ushabiki, Putin alishassema mtalipa kwa ruble na huwa hapindishi sasa Germany ananua gas na analipa kwa ruble sasa walitaka itangazwe kila media kuna vitu vingine vinafanyika kimya kimya na media za west haziwez ongelea hio ishi coz wataonekana wameshindwa na aibu kwao.
Mara ya mwisho nafatilia juzi habar za gazprom walisema kila kitu kinakwenda sawa. Mtu unampa mpaka tweet huyu farage anajua kabisa Germany wanalipa ruble sasa kwa tweet kama hii ukiiosoma unajua kabisa nini kinaendelea sasa hawa madogo wanakza mafuvu yao ni hasara kwakweli
View attachment 2182013
Kwamba mbongo anajua kuliko nigel farage. Hawa vijana acha niwaweke pending tu, napoteza muda tu. Ni ngumu sana kumuelimisha mtu mwenye mahaba yan anakua kama kapewa limbwata.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji3][emoji3]Kila nikiingia humu sioni ule uchambuzi wenye logic, wamebaki watu wasiozidi 5 wenye uchambuzi wa kueleweka. Kuna kenge zinajaza server tu, yaani ushabiki wa simba na yanga, au ccm na chadema. Ahaa!!!
TunajielewaSasa mbona mnashangilia Luhansk, Donetsk na Crimea kujitenga kutoka Ukraine tena kwa fitina za Putin wala sio za raia wenyewe kutaka na mnailaani Ukraine inapojaribu kuyarudisha maeneo yake?
Mnajielewa?!
Ndio maana Nakwambia jifunze acha utoto .. UNAFAHAMU "THE GREAT FIRE OF LONDON".. hiivi mnasomeaga ujinga Gani huko shuleni....London after WW2 and Now, wazungu sio waarabu.
Ukraine itajengwa kuliko awali.View attachment 2181992View attachment 2181993
[emoji3][emoji3][emoji3] Bampa tu bampa hadi haya mapaka ya west nato yakae chiniKatika tathmini za kiuchumi... Hujitambui na haujui lolote kati katika consumer price indices...
Hujanijibu terminology hizo.... Za kiuchumi ...Mchumi mbobeziπ€£π€£π€£π€£ jf bana.
Mie mwenyewe nimestuka kidogo kumuona yule Root nnaemjua mie kabadilika kawa mropokaji zaidi kuliko mtoa fact (samahani kama nitakukwaza MKUU root)Bro .. uwezo wako mkubwa sana.. na sijawahi kujibu Kwa dhihaka ... Una uwezo mkubwa sana... Mi ndio maana nimebaki kuangalia tu ... Uwezo waku wa akili ni mkubwa sana .usijishushe kiwango hicho... Na vitani kubadili mbinu na mikakati ni kawaida sana kasome kitabu Cha Sun Tzu
Nzu -Art of War... Bless kaka ... Siezi kukupa lugha yeyote ya dhihaka Wala dharau... Lakini usijishushe kiwango hiko... Kila taarifa unayopata ichakate... Fanya Logic and Reasoning .. bless bro
Am Historian and am an Economist sasa wasije KIZEMBE ... Coment zangu wanazikimbia ...[emoji3][emoji3][emoji3] Bampa tu bampa hadi haya mapaka ya west nato yakae chini
Hii kaliningrad kama nimeiandika sawa sawaUnafahamu Battle of Kilinigrad ... !!? Na Kilinigrad ipo wapi.. !!! Na ni eneo la Urusi!? .... Nawaambia msome mjue Geopolitics... Humu mtabishaaaaaaa tutabishanaaaaa.... Mjinga yeyote akapige pale Kilinigrad...
ππππ Chechen ni hatari wakipewa masaa 24 wamkamate zelensky ni chapu tu ππππHahahaha hawa wahuni wakipewa order wakamalize show ni kitendo cha masaa 24 tu watakuwa washakamata kichwa cha Zelensky π