Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tajiri Mmarekani aliye Liberal anayechukiwa sana na wafahidhina "Conservatives" na wasioipenda demokrasia huko US na kwingine duniani kwa sababu ametoa zaidi ya nusu ya utajiri wake kusaidia harakati za demokrasia, haki, elimu na liberalism kwa ujumla duniani kote.
Kwani George sarous yeye ni nani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo Moto anakupelekea wewe zwazwa na familia yako , idiot . Hivi Ile misafara yenu ya silaha na wanajeshi wa kivita km 24 kuelekea kiev iliishia wapi ? Au
Hujui lolote.
Ule msafara mrefu zaidi hapa duniani wa silaha za kivita za Urusi ulifika salama salmin sehemu ulipotakiwa kwenda.hakuna hata gari moja iliyoharibika njiani.
Propaganda za Ukraine kuwaonesha video game ziliwapata wengi.
Ule msafara ulikua unalindwa vilivyo.
Wewe mtu wa buza huwezi ona ulinzi ule.
Ukraine na NATO kwa propaganda Urusi akasome.
 
Huyu ndo camanda mpya aliyepewa kazi maalum ukraine Alexander Dvornikov
View attachment 2183877


Anapeleka moto balaa hataki mazoea
Na ifahamike kuwa,yule kamanda alieondoka kazi yake imekwisha,ilikua ni Ile operation awamu ya kwanza ambayo Putin alitutangazia kuwa imeenda vizuri.
Sasa huyu mwamba kaja kwa hatua ya pili ya operation.
Huyu mwamba amekuja na mzuka balaa.
 
Kwa hiyo hiyo mikopo italipwa kwa pesa ya baba yako?
 
Bure kabisa, ngano ya dikteta Putin ni msaada au biashara? Kwa taarifa yako tunanunua ngano at market price ,kichaa Putin hafidii chochote hapo.

Tukiwaambia hamnazo bhs mkubali, sasa ulitaka upewe bure? Kubali Russia anakulisha hata kma unanunua akisitisha biashara na wewe unategemea nini huku nchini kitatokea?

Tuna nunua bidhaa kutoka china leo hii akasitisha biashara unategemea nini? Nyie watu akili zenu ni matope kabisa.
 
Ngoja nikuache huelewi hata maana ya ujinga.Halafu inaelekea unaabudu Wazungu.Mimi niliishi nao,nilisoma nao, nilikula nao,nilikuwa nawa-beat Chuoni,kwa hiyo to me Mzungu ni kama Mgogo tu,hawana la ziada.Nakupa pole sana wewe unaowaona special.Wale ni parasites tu ambao wanategemea resources zetu ili waweze kuishi.
 
Astaghfirullah,
umewaita parasites wadau wetu wa maendeleo wanaotupa hadi misaada ya kutahiri magovi, dawa za ARVs na TB!
Mjalaana wewe.
 
Hivi kwanini marekani asipeleke zile THAAD za kwake wanazo tamba nazo kwenye social media kwamba ziko poah ni kwanini wanawasukuma wenzao wapeleke hizo made in SOVIET ...[emoji53][emoji53][emoji53]
Aibu baba aibu,hayo machumachuma ni chujio TU kwa silaha za Urusi.
USA hawana kings ndugu.
Saudi Arabia Kila siku wahuni wanashambulia visima vya mafuta vyenye ulinzi wa hayo machumachuma.
Hata Iran alilipua Kambi ya jeshi la USA nchini Iraq bila machumachuma hayo kuona chochote.
Anaogopa aibu makombora ya Urusi yatakua yanapita TU juu ya machumachuma hayo na kwenda kupiga tageti.
Halafu atakosa soko na aibu.
Kumbuka kule Yugoslavia USA walipeleka kindege Chao walichokua wanakilingia na kujinasibu kuwa hakionekani kwenye rada yoyote.
Aaah Waserbia walikiona bwana kwenye rada na wakakitungua kwa kombora la zamani Sana la enzi za USSR.
Aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…