Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Bure kabisa, ngano ya dikteta Putin ni msaada au biashara? Kwa taarifa yako tunanunua ngano at market price ,kichaa Putin hafidii chochote hapo.
Kwani kilio wanacholia ulaya huwa wanapewa gesi bure!?
Hivi akili zenu mnazipeleka wapi!!?

Waziri wako anasema kununua bidhaa hizo(mbolea na ngano) nje ya Russia ndio sababu ya bidhaa hizo kupanda bei. Leo mbolea imefika zaidi ya 110000 kutoka 52000.
Kwa hao mabeberu rahisi ni vilainishi na ARVs tuu

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Wafahidhina [emoji777]
Wahafidhina[emoji818]
Kimarekani kimewakaa sana hadi lugha yetu adhwiimu mnachapia

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo Urussi anachoongea na anachokifanya tofauti kabisa, ndio wa Magharibi wanababiki kubunia bunia tu....ila inaonekana huko kuna janga kubwa linakuja hadi Marekani anasema Comedian atoe wanajeshi huko.
Idadi kubwa ya Askari wa Zelensky ni hatarini kuzungukwa...wako Kama 60,000 uwezekano mkubwa watafyekwa wote Kama hawataondoka haraka
 
Hivi kwanini marekani asipeleke zile THAAD za kwake wanazo tamba nazo kwenye social media kwamba ziko poah ni kwanini wanawasukuma wenzao wapeleke hizo made in SOVIET ...[emoji53][emoji53][emoji53]
Wanaogopa kudhalilishwa. Na hata wale maboya wanaozinunua watashituka kama Uturuki

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Ungenieleza kwa ufupi tu kulikoo kuandika maneno mengi ya kunikejeli tu bila kunifahamisha kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo yote ni mikopo yenye riba kubwa zinazotufanya Afrika kuwa masikini

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Wanaogopa kudhalilishwa. Na hata wale maboya wanaozinunua watashituka kama Uturuki

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Ndo maana turkey hatakagi kukurupuka kununua yale MA THAAD uchwara ...yeye yuko zake anaangalia mbilinge mbilinge za ....kalibr ..missiles .....cluster bombs ....cruiser missiles .....na yale ma iskander m..HUKO ....UKRAINE ..afu baadae waingie deal na mwamba PUT IN ....[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Issue hapa tumeambiwa ni NATO na siyo EU, pamoja na yote ngoja tusubiri na ningefurahi kweli huyo Mama ashinde halafu tuone kama France itajitoa
Utafurahia uchaguzi wa mwanasiasa ambaye ni mbaguzi wa rangi? Safi.
 
Hata unakopi maajabu yao kuhusu "Khazarian Mafia" ... SIyo parasite ni yule anayekopi tu?
 
Hiyo yote ni mikopo yenye riba kubwa zinazotufanya Afrika kuwa masikini

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Mkopo wa SGR ilikuwa mtoto wa Magu. Benki ya kutoa mkopo ni benki ya TZ iliyowezeshwa na taasisi za Uswidi na Denmark. Anayekopa anajua kwamba atapaswa kulipa kwa masharti aliyokubali. Kama alitumia akili, alifanya vile kwa makadirio ataona faida itakayolipa gharama za mkopo na kupunguza umaskini. Kama hakutumia akili, itakuwa ni hasara na kuongeza umaskini.
Unalalamika nini?
 
Kabla

Ya ukoloni ushawahi sikia ndui kichocho kopindupindu malaria au hiv africa. Kalagabaho sasa hata mafua yanakumaliza
Ya ukoloni umeshawahi kusikia mkoloni mkubwa duniani, pamoja na Uingereza alikuwa Mrusi? Na anaendelea kushika maeneo ya koloni alizoingiza ndani ya mipaka yake bila kuuliza wenyeji. Tofauti na Uingereza ambao angalau walimwacha kila mmoja aliyetaka kwenda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…