Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huo ndio mtazamo wako na ww heshimu mitazamo ya mwenzako anaye iona Marekani si chochote sio kumtolea mapovu.
Haya pumzika sasa na wewe usinitolee povu pia kwa kumtolea povu mwingine
 
Huu ndiyo ushamba wenyewe sasa,hivi unajiona ni wewe peke yako ndiyo umeishi nao[emoji23][emoji23],wewe endelea kuchangia mada tu hayo mambo ya umeishi nao wakati unabishana na mtu ambae hata humjui,hivi unataka kila mtu aweke hapa maisha yake,patatosha kweli humu.
 
 
Unapokuwa na shida huna uchaguzi. Inatulazimu kukopa kwa hao wezi. Ila Russia tunafanya biashara. Tena wanajali. Ndio sababu hata silaha zetu nyingi tunanunua kwao. Hawana masharti ya kijinga.

Tafauti na mabeberu. Huwezi fanya nao biashara mpaka wakuibie. Rejea rada.
Pia wanamasharti lazima uwaunge mkono hata kwenye upumbavu. Rejea Kenya wanavyotaabika kuilaani Urusi,huku nafsi zao zikiwasuta.

Mbaya zaidi wanawalazimisha marafiki na mashabiki zao kuwa mashoga na kuunga mkono mapenzi ya jinsia moja

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Kila siku huwa nawaambia hakuna silaha ya kuzuia makombora,hayo ma s-300,400,sijui Thaad au patriots nk ni matakataka yasiyokuwa na maana.
 
Kila siku huwa nawaambia hakuna silaha ya kuzuia makombora,hayo ma s-300,400 nk ni matakataka yasiyokuwa na maana.
Kwa akili yako unadhani Russia atengeneze silaha na auze nje na asiweze kuidhibiti!!?
NATO wanamchezea huyo comedian. Ndio sababu wanampa silaha zilizotengenezwa na mrusi. Tena za enzi ya usovieti. Wakijua kabisa atatembezewa kichapo. Wao wanachotaka ni kumchafua Mrusi na kumuharibia uchumi. Kibaya zaidi mbinu zao hazijafanikiwa.

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Ungekuwa unawajua usinge-waabudu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…