Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

We warned them here that US has a mix of options in its arsenal to wreck the economy of Russia. Russia is meant to settle its debt in USD but now offering Rubles to its creditors. US has been allowing Russia some degree of access to its frozen financial assets but the US has NOW decided a total blockage. Now, Russia can't pay in Rubles and this leads to the default.



Watch out as Russia credit rating starts to fall, which means Russia will have to pay heavy interest anytime it wants to borrow from any country. Russia is fighting economic war and conventional war at the same time, it will soon be sent back to the 300BC at this rate.
 
Kama kawaida yako wewe na wenzako hasira na emotions kwenye masuala ya msingi ndiyo yanayowatawala...
Kumbuka USA siyo tu ilikimbizwa Afghanistan Bali pia huko Vietnam..

Kumbuka pia huwezi ukajadili Vita vya Russia na Ukraine bila kuhusisha USA, NATO na nchi za magharibi...
 
Walikuwa wanadanganywa na media eti Russia hali mbaya.


Moto wanaopelekewa huko ni hatari wanakimbia balaa
Moto wanaopelekewa huko ni hatari wanakimbia balaa[/QUOTE]Jamaa Kuna audio yake akiongea na rafiki zake akiwaeleza wamezungukwa na warussi na hakuna namna ya ku-survive(silaha zimeisha na msosi hakuna), jamaa zake wanamwambia Kama Wana nguo za kiraia wavae hizo kuzugia jamaa anamjibu wameshajaribu kila mbinu lkn imeshindikana.Afu jamaa linalia kinyamaaa Kama litoto kidogo vile [emoji1][emoji1][emoji1]

Mwishowe wa siku mercenaries wanaweza kufanywa chochote kile sababu Sheria za kivita haziwalindi wao.Huyo na wenzake watauawa au watapelekwa gerezani milele Kama alivyosema FM wa Russia.

Halafu kumbe alishawahi kwenda kupigana againist Assad Kule Syria.
 
It is not a technical default. It is Force Majeure. Then no liability.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…