Mkuu nadhani nia ya Urusi undeclared ni kui-annex Ukraine kabisa.This has been done before,na nahisi hata sasa ndio nia yao.Ngoja tusubiri.Hi Vita itamalizika kwa Urusi kumega eneo la mashariki mwa Ukraine.
Shoga angu mwenye kishundu mjini... sasa lini uchumi wa Russia utashuka? Maana kusema utashuka bila hata kuweka facts au muda unakua ni umbea shoga angu. Hata mie naweza kusema dollar itapoteza dominance duniani.. maana kuropoka ni easy shoga... hehehee...Unataka niwe kama wale waliosema Operation ya masaa 72 tu na leo tunakwenda mwezi wa pili.Hapana siwezi kuweka time frame lakini uhakika nilionao ni muda ni Mwalimu mzuri sana.
Sio mkongwe anaitwa aunt nyamizi au mwite shoga akeSorry mkongwe, sikutegemea kama nitakukwaza.
Sitokukwaza tena, nitakaa mbali na "comments" zako.
Saa nyingine mabavu huwa yana saidia hasa kwa mtu mkaidi.Ni kweli. Mabavu hayajawahi kuwa na hitimisho sahihi la muda mrefu. Mwisho wa siku lazima uweke silaha chini mzungumze kama binadamu.
Huu utabiri wa kipuuzi/ushenzi.Time will be the best answer
Asante, uliona kama Irkut MC-21 imefika sokoni? Yaani wameuza lakini walipanga kuitoa kuanzia 2022. Halafu naona injini yake ni Pratt+Whitley, yaani Kiingereza. Haviathiriwi na vikwazo??? Wanatumia pia injini za Aviadvigatel ambazo ni kirusi. Ila hata kampuni hiyo inatumia vipuli kutoka Marekani (hiv yo hawakuweza kuuza hadi sasa kwa Iran),Na ukiangalia kampuni zote kwa sasa hakuna anayeagiza ndege kutoka boeing au Airbus.wameagiza kutoka sukhoiView attachment 2185086
DuhhhAsante, uliona kama Irkut MC-21 imefika sokoni? Yaani wameuza lakini walipanga kuitoa kuanzia 2022. Halafu naona injini yake ni Pratt+Whitley, yaani Kiingereza. Haviathiriwi na vikwazo??? Wanatumia pia injini za Aviadvigatel ambazo ni kirusi. Ila hata kampuni hiyo inatumia vipuli kutoka Marekani (hiv yo hawakuweza kuuza hadi sasa kwa Iran),
Irkut MC-21 ingelingana na Airbus A320 na Boeing 737. Hii ingesaidia kwa sehemu kubwa ya soko la ndani ya Urusi (si kwa yote - haifikii umbali)
Lakini kama inaathiriwa na vikwazo kuhusu vipuli - sijui kama itakuja.
Mkuu nadhani nia ya Urusi undeclared ni kui-annex Ukraine kabisa.This has been done before,na nahisi hata sasa ndio nia yao.Ngoja tusubiri.
Urusi hana tabia za kuua raia bila sababu, tafuta fix nyingineView attachment 2185178
View attachment 2185180
View attachment 2185179
Urusi Taifa la hovyo sana Hizi ni baadhi ya picha ya mauaji ya Bucha.
Asante, uliona kama Irkut MC-21 imefika sokoni? Yaani wameuza lakini walipanga kuitoa kuanzia 2022. Halafu naona injini yake ni Pratt+Whitley, yaani Kiingereza. Haviathiriwi na vikwazo??? Wanatumia pia injini za Aviadvigatel ambazo ni kirusi. Ila hata kampuni hiyo inatumia vipuli kutoka Marekani (hiv yo hawakuweza kuuza hadi sasa kwa Iran),
Irkut MC-21 ingelingana na Airbus A320 na Boeing 737. Hii ingesaidia kwa sehemu kubwa ya soko la ndani ya Urusi (si kwa yote - haifikii umbali)
Lakini kama inaathiriwa na vikwazo kuhusu vipuli - sijui kama itakuja.
Kweli ulisema nikajibu ujielimishe kwa bahati mbaya hujafanya. Hakuna jeshi linalogoma??? Unachekesha, kwanza fungua macho yako Afrika, eti serikali hizo zote za kijeshi zimetokea kwa kumtii amiri jeshi mkuu?? Unachekesha! Walimpindua na kujiweka mahali pake.Ila ww jamaa na umri ulionao huoni aibu kuandika uongo humu? yaani amiri jeshi mkuu atoe amri ya jeshi la nchi yake kwenda vitani jeshi ligome kwenda vitani?
Hivi we jamaa mbona unataka kutufanya mazuzu humu?
Nilisha kuambia hakuna jeshi lolote duniani hata huko kwa wamagharibi mnao sema wana demkirasia linalo weza kukaidi amri waliopewa na makamanda wao la sivyo utapewa kesi ya uhaini ambapo katika mataifa mengi ikiwemo Marekani hukumu yake ni kifo.
Narudia tena acha uongo unajadiliana na watu wenye uelewa na sio watoto.
Ni taifa kubwa ila linaongozwa na wahuni, majambazi na ma-mafia.View attachment 2185178
View attachment 2185180
View attachment 2185179
Urusi Taifa la hovyo sana Hizi ni baadhi ya picha ya mauaji ya Bucha.
Wanataka kuwaua kinyama sanaFire trucks are being brought to the Ukraine Asovstal Steel Plant. They will pump water into underground hideouts to DROWN 3,000 hold-out NAZIS
Fire trucks are being brought to the Azovstal Steel Mill in southern Mariupol, Ukraine . . . but there is no fire. The trucks are going to be used to pump water into the plant, to DROWN the three thousand Azov Regiment Nazis holed-up in the vast catacombs beneath the plant. Each fire truck will pump about 35,000 gallons per hour into the underground complex via the above-ground air ducts until all the NAZI troops are either drowned or otherwise suffocated to death.
The Azovstal steel complex is a major piece of infrastructure for Ukraine and for the region. Damaging it with bunker-buster bombs to get at the AZOV Regiment Nazis, Biolab workers, and (alleged) NATO Officers hiding from Russian troops there, is thought to be too high a price to pay. Said one Russian official who asked to remain anonymous "Nazis have no value, as humans or otherwise. The steel mill, however is quite valuable and important."
While bombing the plant has, for now, been ruled out, the plant can survive being inundated with water.
Using the nearby Kal'mius River to the north of the plant, and the nearby Sea of Azov to the south of the plant, multiple fire trucks can each pump about 35,000 gallons of water PER HOUR into ventilation shafts, to fill the vast underground tunnels with water.
At least ten fire trucks are said to be either on the way, or already at the plant, to begin drafting water from the River or the Sea, and pumping the water into the above-ground ventilation air shafts that carry fresh air into the cavernous tunnel network beneath the plant.
If the AZOV Nazis close off the air shafts, they will suffocate within days. If they do not shut off the air shafts, they will drown in days. Either way, the siege at the plant will be brought to an end in a manner that the plant itself can survive and recover from.
The water-flow operation to drown the NAZIS is REPORTEDLY set to begin tomorrow (Tuesday).
Asante, uliona kama Irkut MC-21 imefika sokoni? Yaani wameuza lakini walipanga kuitoa kuanzia 2022. Halafu naona injini yake ni Pratt+Whitley, yaani Kiingereza. Haviathiriwi na vikwazo??? Wanatumia pia injini za Aviadvigatel ambazo ni kirusi. Ila hata kampuni hiyo inatumia vipuli kutoka Marekani (hiv yo hawakuweza kuuza hadi sasa kwa Iran),
Irkut MC-21 ingelingana na Airbus A320 na Boeing 737. Hii ingesaidia kwa sehemu kubwa ya soko la ndani ya Urusi (si kwa yote - haifikii umbali)
Lakini kama inaathiriwa na vikwazo kuhusu vipuli - sijui kama itakuja.
Asante unacholeta inataja sehemu za mwili yaani mabvu. Injini hazikutajwa, angalau sioni. Tena inasema wanazaka kuleta 2021, sijaona kwamba walileta.Walishafanya muda maana vikwazo vilianza toka 2014 wala sio leoView attachment 2185205View attachment 2185207View attachment 2185208View attachment 2185209
Hilo limeshashindikana, labda wayapore hayo majimbo ya mashariki.Mkuu nadhani nia ya Urusi undeclared ni kui-annex Ukraine kabisa.This has been done before,na nahisi hata sasa ndio nia yao.Ngoja tusubiri.