NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Kumbe ni habari za 'nasikia' hizo ni porojo,leta habari za uhakika tujadiri,hizi nasikia achia watoto wadogoNasikia raisi wenu mpendwa kaanza kuwakamata raia wa nchi yake wenye asili ya Urusi ili kuishinikiza Urusi iwaachie wanajeshi wake walio tekwa huko maliopol.
Wakati huko nyuma mlituamisha ya kwamba Ukrain ime wateka wana jeshi wengi wa Urusi sasa kama ina wanajeshi ilio wateka kwanini wasiende kufanya mabadilishano wapewe wanajeshi wao?
Urussi ni nchi maskini tena maskini kweli mbele ya US ki uchumi,hili nalo unataka tubishane?Huyo hapo superpower wenu wa dunia anailaumu Urusi kwa kuyafanya maisha ya wamarekani kuwa magumu.
Alafu kuna dada mmoja ana itwa Nyamizi kutoka nchi ambayo raia wake wanaishi chini ya $moja ana kwambia Urusi ni nchi maskini na Marekani ni kila kitu ndani ya dunia.View attachment 2185954
Show big bigIran nao wamepeleka mfumo wa bavar 373 huko russiaView attachment 2184942
Wewe jamaa bana nikikukumbuka inabidi nicheke tu. Swali lako sitakujibu.Unayajua malengo ya Russia kwenye hii operation? Tuanzie hapa usikute hujui hat plan za Russia
Kuna wengi sana hapa wameangukia katika hiyo category, unaona kabisa huyu anakoelekea angekuwa karibu na anaepingana nae angerusha ngumi,sijui ni kukosa kazi au ndiyo hulka ya mtu ya kugombana na a total stranger ambae hata hujui anafananaje [emoji846]Ni mbaya sababu ukilichukulia too serious utajikuta analichukulia too personal kwa watu wenye mtazamo tofauti na unayotaka kusikia halafu litazaa hasira za hapa na pale mwishowe lugha zisizofaa.
Sipendi sana kugombana na a total stranger.Kwa kukutendea haki naomba ukae kwa Ignore list.[emoji2][emoji2][emoji2]
Leisure time yako ni 24 hours boss!?
Samahani lakini!
Yupo Kakonko analima michikichi...Nakuta hii kuhusu shujaa Kadyrov (kwa washabikiw ake hapa):
View attachment 2186018
Is it true that the Chechen warlord Ramzan Kadyrov is in Ukraine right now?
It’s a funny tale. The tale of Ramzan Kadyrov, supposedly a badass and dangerous warlord. He knows how to talk the talk, sure. But lately he’s been a little… hesitant, to walk the walk. First he claimed to be “near Kiev” — he wasn’t, someone spotted him in his native lands.
Next he claimed that he “really, really is in Ukraine”. Won’t you believe him? So Kadyrov releases a picture. It’s him, in Ukraine. Ah, evidence! Sweet evidence, at last. Now no one can doubt Mr. Kadyrov isn’t secretly terrified of Ukrainian snipers to the point of faking his presence in Ukraine…
Only he did fake it. Because there are no Rosneft gas stations in Ukraine. He’s praying on the ground, supposedly for the victory of his troops… but he’s nowhere near the war zone. He’s safe and sound at home. A TikTok hero, trying and failing to score Cool Guy points online.
Mm nawakwepa. Nikiona huyu anaelekea kwenye lugha chafu namkwepa, akinikera sana nampa majibu yanayomstahili halafu namkwepa. Nataka kwenye hizi mada kuwe kijiweni pa burudani sio karaha.Kuna wengi sana hapa wameangukia katika hiyo category, unaona kabisa huyu anakoelekea angekuwa karibu na anaepingana nae angerusha ngumi,sijui ni kukosa kazi au ndiyo hulka ya mtu ya kugombana na a total stranger ambae hata hujui anafananaje [emoji846]
Keshasahau kama yeye ndiyo alianza kutoa lugha ya kejeli,hawa ndiyo Pro Russia,wanaongea mambo mengi mno hadi hata hakumbuki alichoongea dk 10 zilizopita[emoji23][emoji23][emoji23] sasa hapo tusi likowapi ?. Kumbe mm kukwambia asante Dada ni tusi ?.
Wewe kuniita Mimi MATA....!!!. Hujaona kuwa ni tusi . ila Mimi kukushukuru inaonekana nimekutukana [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Basi [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] mkuu . nafuta maneno yangu .