Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Unapoteza muda wako kumjibu mtu ambae hata mgambo hajahudhuria,achilia mbali JKT.
Haya mambo Yako juu sana ya uelewa wa watu wengi.
Habari ya ulinzi wa mipaka na usalama wa nchi sio habari za kitoto.
Urusi wanajua wanachokifanya na Marekani anajua Urusi wameshajua.
Kuna vitu vingine hatuambiwi TU,wala hata Warusi wengi Hawa ijui, lkn Putin na watu wake wa usalama wanavijua.
 
Yani kitu wasikujuwe Warusi wenyewe ila ukijuwe wewe mmatumbiwa wa Nyamisati?

Mbona Wabongo mna vituko sana?πŸ˜„πŸ˜„
 
kutana na proπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί asiyeamini vyombo vya taarifa kutoka west . ila anaamini CIA ni chombo kinachokusanya data na chenye uhakika.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wameona uongo siku zote haufui dafu kwenye ukweli .....na kweli inaweka mtu huru asa imebidi tu wawe wakweli ...maana hamna namna ....
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwa hiyo tunakubaliana sasa hivi taarifa kutoka vyanzo vya west ni vya uhakika ?. Sio propaganda tena? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unatype mapovu ukiwa Mbagala kwa nyoka
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huyo ni proπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί mwenzio naona unamtafuna tafuna πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo tunakubaliana sasa hivi taarifa kutoka vyanzo vya west ni vya uhakika ?. Sio propaganda tena? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bruhh ...we mwenyewe unapitia humu habari zinazotoka west zile za mwanzo na mpaka hivi juzi zilikuwa ni za propaganda tupu ....nyumbu mlivoona russia anapiga palipo vimba ndo imebidi muwe wakweli ......hata wewe mwenyewe unajua kabisa kuwa west ni waongo kupindukia ila kwa sababu ya upro west ulionao huezi kwenda against nao .....
 
Mtu ambaye before vita alikuwa na wafuasi laki sita Telegram saiv ana million 2+.....
Anafuatiliwa zaidi katika vita hii as an individual.

Nachosema mie hakuna ubaya hata asipoenda na akiongea sana, yeye ni political leader. Sio general wa jeshi.
nakukumbusha tu . hata shetani anao wafuasi wengi kuliko Mungu . Ingawa watu hao wameumbwa na Mungu huyohuyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Kuwa na wafuasi wengi si kigezo cha kuwa UKO KATIKA NJIA SAHIHI .πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›.
Jaribu kuchunguza hata humu tu weka tangaza kuwa unagawa Bible za bure . harafu Joannah na yeye atupie hapa kuwa Leo anatafuta mwanaume wa kula nae bata. Utaona nani atapata notification nyingi huko pm.πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 

Hivi wale wachawi wa Ukraine waliokua wanataka mroga Putin wamefikia wapi?
 
Wafanyeje sasa na Putin anawaumbua!? Inabidi wamseme tu hivyo hivyo hata kama wanaongopa. Utasikia Russia dhaifu, Putin kichaa, mara Russia msikini, Russia bully, watake ushahidi sasa uone watavyoruka na kupotezea [emoji1787]
Wengi wao ni watu wenye akili timamu na ujuzi vizuri tu sema wamechagua upande unaoshindwa na hivyo inakuwa ngumu kuusemea/kuutetea.

Jaribu kuangalia michango ya ProRussia alafu ulinganishe na ile ya ProNato humu ndani. Watu walibanwa mpaka wakakimbilia mambo ya dini/imani huko nako wakafurushwa vibaya, aibu!!

Sasa kazi yao ni kusubiria wenzao wanakujaje wajue watajibu vipi. Hawana kipya cha kuleta vikwazo vimebackfire na groundini ndio kwanza kichapo kipo sound B. Kila wanalotarajia litokee kwa urusi uhalisia unakwenda kinyume na matarajio yao.


Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Russia will perceive convoys delivering arms from NATO states to Ukraine legitimate targets for its military once they reach Ukrainian territory, Deputy Foreign Minister Sergey Ryabkov warned in an interview published on Wednesday.

Regular contact with the US is impossible for Russia, considering β€œWashington’s unabashed support for militaristic intentions of the Kiev regime, the pouring of modern weapons” into the country by NATO members, the diplomat said. Moscow’s goal now is to make it abundantly clear for the US and its allies that Russia will use harsh methods in response to attempts to hurt its military in Ukraine.

β€œWe are warning that American-NATO transports carrying weapons across the Ukrainian territory are considered legitimate military targets,” he stressed
===
rt.com
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ uzuri akili yenu proπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί wa humu naijua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Nakupa siku 2 ntakuja kukukumbusha πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Je unaamini kweli kuna njama ya CIA kupunguza hadhi ya Urusi?? Kwa elimu yako tutumie namba gani?
 
Kwahio sasa Western media sio biased tena tulete habari zao.
 
Yote uliyosema hayabadilishi nilichoandika....
Maana sikuwa nazungumzia katika Angle ya usahihi na kukosea.
 
Hamna aliyechanganyikiwa akaweza kuingia jf tena straight kwenye huu uzi. Hizo ligha zenu ProNato tumezizoea ni uthibitishi mmezidiwa.

  • NATO wanaisaidia Ukraine kwa hali na mali hivyo ni sahihi kusema Russia anapigana na Ukr na NATO.
  • NATO hawajaingiza rasmi jeshi lao kwenye vita hivi hivyo ni sahihi pia kusema 'NATO ijiingize vitani'

Hakuna mgongano hapo 'contradiction'.
Hiyo ya mwisho ilikuwa ni meme. Utakuwa unafeli kama meme unaitafsiri km chanzo cha habari

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…