The struggle is real kwa Pro Russia,nimecheka wanavyoparurana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmepoteana .....!!!!.
Mnalaluana wenyewe kwa wenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji848][emoji848][emoji848]
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ you're upset now with insultsMkuu huyu tunamuongelea ni member tofauti yuko hapa hapa,lugha yake inatufanya tumkwepe,hatupendi mtu anaeporomosha matusi non stop.
BREAKING NUUZ ....anawachelewesha ilitakiwa atembeze bakora PHASE 2
Waweke screen Zelensky huyooPro Ukraine, lini na sisi Binge letu LA Tanzania litahutubiwa na Zelensky-naona Mabunhe yote ya Nchi za Ulaya na Asia amemalizia nadhani ni zamu yetu Tanzania sasa.
Kwqni ni ajabu kulaluana ....hata ndani ya kinywa chako ulimi na meno vina pambanaga some time ila baadae vina patana ......[emoji56][emoji56][emoji23][emoji23][emoji23] mmepoteana .....!!!!.
Mnalaluana wenyewe kwa wenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji848][emoji848][emoji848]
Kumbe wanwaonea huruma TU.
πππ akili za proπ·πΊπ·πΊ ni hatari sana .ππππKumbe wanwaonea huruma TU.
Da aisee Russia ni nchi ya kiungwana sana.
Kumbe wakitaka kuwalioua watoa maamuzi walioko Kiev wanaweza ila hawataki TU .
Da aisee.
Umetoka Kremlin kuongea na Putin? Salama lakini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] you're upset now with insults
RUSSIA sio ZIMBABWEUmoja wa akina mama EU wanajiandaa kwenda kumuomba msamaha PutinView attachment 2186069View attachment 2186070View attachment 2186071
Binge ni nini mkuu?Pro Ukraine, lini na sisi Binge letu LA Tanzania litahutubiwa na Zelensky-naona Mabunhe yote ya Nchi za Ulaya na Asia amemalizia nadhani ni zamu yetu Tanzania sasa.
Hawa wanatakiwa wapikwe mchemsho [emoji48][emoji48][emoji48]Zaidi ya wanajeshi 1000 wa jeshi la Ukraine waliokuwa wakipambana huko Mariupol wamejisalimisha kwa majeshi ya Russia yaliyowaweka 'mtu kati' kwa zaidi ya siku 40.
Hiyo ndiyo faida ya ile mbinu yakivita ya Russia ya kuuzingira miji na kuipelekea moto mkali wa makombora na mizingi...jeshi hilo liliishiwa silaha, chakula na majeruhi wakawa hawana njia ya kupata dawa (hakuna panya wala kitu chochote kilikuwa kinaingia au kutoka isipokuwa kwa idhini ya majeshi ya Russia)
View attachment 2186200View attachment 2186201
πππ proπ·πΊπ·πΊπ·πΊ mmepoteana . π€π€π€π€Samahani mkuu nlikujibu kimakosa kuna yule Mmarekani wa Bonyokwa ndio nlimkusudia
wasisahau katika mchemsho huo kuweka na limau NyamiziHawa wanatakiwa wapikwe mchemsho [emoji48][emoji48][emoji48]
Strrong state with a strong presidentTodayβs struggle in Ukraine, which is happening for a number of reasons, is [essentially] a direct war between NATO and Russia ... Russia is going to the end, and, believe me, it will win.β
We talked with political expert Bassam Al-Bunni. He stated that Russia is now opposed to American world hegemony:
βDo not forget that Russia is a self-sufficient state, capable of fully providing itself with food, of course, with the exception of delicacies, which you can do without.
At the same time, the European Union, the West as a whole, and the whole world depend on Russian grain, energy, ore, fertilizers, which directly affects the consumer basket of the population of European and other countries.
Therefore, the West cannot subjugate Russia, as it was in the 90s of the last century, because today Russia is a strong state with a strong president who has the political will to make any difficult decisions.β
Galip SV View attachment 2186215
Iliwahi nikuta hiyo, sana hamu nao, ni bora utweet kwa KIMATUMBI nahisi hawatoelewa.Daah wanasema Democracy sasa ipo wapi? Huyu jamaa alikua anapost mambo yanayoendelea pale ukraine kala ban, Twitter ukiwa Russia side wanakuban.View attachment 2186279
Sasa kama wanashinda huko ukraine mbona wanaban account za watu? Shenzi sana
Mh salama nilienda kuongeza umakini baada ya kuwaweka kati raia wakakamavu wa Ukraine na leo wamejisalimisha na mm nimepata wasaa wa kuja kuwapa taarifa hapaUmetoka Kremlin kuongea na Putin? Salama lakini [emoji23][emoji23][emoji23]